Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

Naomba kujua wanabodi kama Wakili Fatma Karume ana undugu na familia ya Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume.

Na Je ni mwanachama wa CHADEMA?

View attachment 547337

Sent using Jamii Forums mobile app
HUYU NI MTOTO WA RAIS MSTAAF WA Z'BAR NDG ABEID AMAN KARUME. Mama yake ni bi Shadia Himid Karume mke wa mstaafu. Mjombaake ni Mansour Himid galacha la CUF huko Unguja. upande wa mama yake ni purely Arabs (mama na Babu yake) na upande wa Baba ni Purely Bantus (baba,bb,babu) thats y ni shombshombe. Babu zake kiumeni ni aliyekuwa Rais wa kwanza wa Z'Bar na M/kiti wa BM na kikeni ni Mwanajeshi aliyeshiriki ktk Mapinduzi ya Z'Bar.
 
Iudia tena kusoma vizuri habari hiyo kisha jibu swali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anajua kila kitu huyo, ila hataki kuamini kwamba Lissu anaweza kutetewa na Wakili msomi tena mtoto wa Rais mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzaibar, pia mjukuu wa Rais wa kwanza wa Zanzabar.
 
Umeelewa swali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…