Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Ajulikane kwa nani kama wewe umeishamjua??
Waambie, wamebaka fani.Mkuu, hakuna kitu tunachovaa Mawakili kinachoitwa beeb. Tuna bibs and robes. Usizungumze usivyovijua
Kweli yupo kimkakati zaidiNa kwa taarifa yako Wakili Msomi Fatma Karume kwenye kesi hii sio wakili tu, anamsimamia Lissu kwenye hili kimkakati. Tulizana uone.
Tundu Lissu ni habari nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kijana hapa anauiza kama kaoewa.Binti bora kabisa,mtetezi wa haki za wanyonge.
Ni mtoto wa rais wa kwanza Zanzibar
Sent using Jamii Forums mobile app