NDO MAANAAAAA! Alafu we ZE BOSS SI ALIKUULIZA UMEOLEWA UKASWMA HUJAOLEWA? Au umeolewa juzi eeehnheeeeeee? Hatualikani?
Haijalishi...yale maswali ni valid kabisa na mpaka sasa hakuna aliyeyajibu kwa ukamilifu.
Zaidi ya hapo ni excuses zisizo na mashiko.
Hapana chezea Ustaadh bana teh teh teh....
k
Hahahaaaaaa! Naona warumi umeingia 1st 11, bada ya kukaa reserve vya kutosha!
Kwa hio warumi watu wakimtia midole kumchokoa mambo yake awaangalie tu wanavoyaingilia mambo yake kinyume na maumbile? Kisa na mkasa? Msomi! Hahahaaaaaa! Atakuwa mwehu! AN EYE FOR AN EYE!
Watu mipapa yao iko bond wametulia na wamenyooka! Watu wengine sio wa kuachiwa!
Hahahaaaaa! DEFEAT YA LEILA KUPIGWA PUMB ASIMALIZE SHULE KUMKOMOA MANGE HAHAHAHAAAAAAAAAA! Nacheka kwa uchungu mkubwa sanaamie! Bhoke anapa As tu huko, Mungu masimamie asiwe HIGH SCHOOL DROP OUT!Lara eti mange atatoa lini ile weaving yake maana ipo kichwani karibia miezi 5 sasa nywele hazimnukii muzungu....
Hahaaaaa! WE UNAJUA HII VITA YA MANGE NI NEVER ENDING, inalala tu na kupoa next week tuko uwanjani. Ndo raha ya kuwa mwanajeshi YOU LIVE TO DIE ANOTHER DAY! Hahahaaaaaa!
Kama Jide is TOO COWARD TO FIGHT HWR WARS ANAWAACHA MMUMCHOKOE MTAKVYO ITS HER BAD! Mange mwanajeshi, haonewi kisengerema sengerema. Anajulikana kwa KUWASULUBISHA NA KUWATUNDIKA ADUI ZAKE WOTE!Mfano mzuri kwa dada yetu LADY JAYDEE ambaye naamini ana umaarufu zaidi kuliko mange, na ana MAADUI wengi kuliko hata huyo mange ambao kila siku wanamtukana kwenye mtandao, sitaki kuamini kama mange ana maadui kuliko jide. Jide ana dharau na kiburi kuliko hata uyo mange lakini hata siku moja hajawahi kunyanyua mdomo wake kumjibu hata mmoja, unajua ni kwa nini? analinda HESHIMA yake kwenye JAMII, Utatukana wangapi na mpaka lini ikiwa kila siku maadui wanaongezeka?. Nadhani mange ni msomi so anaelewa
Hahahaaaaa! DEFEAT YA LEILA KUPIGWA PUMB ASIMALIZE SHULE KUMKOMOA MANGE HAHAHAHAAAAAAAAAA! Nacheka kwa uchungu mkubwa sanaamie! Bhoke anapa As tu huko, Mungu masimamie asiwe HIGH SCHOOL DROP OUT!
Leyla sija admit defeat nakupenda sanaa ACHA KUPIGWA FREE P KAGRADUATE HIGH SCHOOL KWA FAIDA YAKO!
Hahahaaaaaaaa! MI NDO NIMEMALIZA HAPO LABDA UWEKE WEWE PART 2 AU COTRADICTING CONTINUATION! Hapo mimi ndo mwisho!Mmmmh kwa hyo ndo mwisho wa hadithi ya mange??nna ombi kesho kaa utulie uingie chimbo utulsetee who is mange part two..mana leo umekurupuka,,baaada ya mbuta nanga kuweka ule uzushi ukaja kusawazisha bahati mbaya ukawa deep in shalo
Hahahaaaaa! DEFEAT YA LEILA KUPIGWA PUMB ASIMALIZE SHULE KUMKOMOA MANGE HAHAHAHAAAAAAAAAA! Nacheka kwa uchungu mkubwa sanaamie! Bhoke anapa As tu huko, Mungu masimamie asiwe HIGH SCHOOL DROP OUT!
Leyla sija admit defeat nakupenda sanaa ACHA KUPIGWA FREE P KAGRADUATE HIGH SCHOOL KWA FAIDA YAKO!
Mfano mzuri kwa dada yetu LADY JAYDEE ambaye naamini ana umaarufu zaidi kuliko mange, na ana MAADUI wengi kuliko hata huyo mange ambao kila siku wanamtukana kwenye mtandao, sitaki kuamini kama mange ana maadui kuliko jide. Jide ana dharau na kiburi kuliko hata uyo mange lakini hata siku moja hajawahi kunyanyua mdomo wake kumjibu hata mmoja, unajua ni kwa nini? analinda HESHIMA yake kwenye JAMII, Utatukana wangapi na mpaka lini ikiwa kila siku maadui wanaongezeka?. Nadhani mange ni msomi so anaelewa
Hahahahaaaaa! Naona masters, mume yahaya, linda sijui nini vimewaishia mnaanza weaving! HAHAHAAAA! SIJUI ANALITOA LINI KWA KWELI!Hivi lara una usingizi ama?Umeulizwa shost yako atatoa hilo weaving lake lini wewe unaenda kumkurupukia leila.Ama kweli leyla anakunyima usingizi kha!!!!
Lara eti mange atatoa lini ile weaving yake maana ipo kichwani karibia miezi 5 sasa nywele hazimnukii muzungu....
Kama Jide is TOO COWARD TO FIGHT HWR WARS ANAWAACHA MMUMCHOKOE MTAKVYO ITS HER BAD! Mange mwanajeshi, haonewi kisengerema sengerema. Anajulikana kwa KUWASULUBISHA NA KUWATUNDIKA ADUI ZAKE WOTE!
Usifosi watu wafanane wakati kila mtu ana moyo wake.
Sio wewe mdogo wako ANAINGIA NA TOCHI HAHAHAAAA! My bad, nitarudi kusoma vizuri.kwa hio mumeo nae fisadi au yupo na Zito kwwnye movemwnt zake ndani ya chama?lara mi na mme wewe hahaaaa...!angalia hata comments zangu...!Na ni CHADEMA DAMU MIMI..!
Hahahahaaaaa! Naona masters, mume yahaya, linda sijui nini vimewaishia mnaanza weaving! HAHAHAAAA! SIJUI ANALITOA LINI KWA KWELI!
Jamani mbona inaonyesha mtoa mada ni miss neddy yaani tunachezeana vichwa sio?