Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
NDO MAANAAAAA! Alafu we ZE BOSS SI ALIKUULIZA UMEOLEWA UKASWMA HUJAOLEWA? Au umeolewa juzi eeehnheeeeeee? Hatualikani?

lara mi na mme wewe hahaaaa...!angalia hata comments zangu...!Na ni CHADEMA DAMU MIMI..!
 
k
Hahahaaaaaa! Naona warumi umeingia 1st 11, bada ya kukaa reserve vya kutosha!

Kwa hio warumi watu wakimtia midole kumchokoa mambo yake awaangalie tu wanavoyaingilia mambo yake kinyume na maumbile? Kisa na mkasa? Msomi! Hahahaaaaaa! Atakuwa mwehu! AN EYE FOR AN EYE!

Watu mipapa yao iko bond wametulia na wamenyooka! Watu wengine sio wa kuachiwa!

Mfano mzuri kwa dada yetu LADY JAYDEE ambaye naamini ana umaarufu zaidi kuliko mange, na ana MAADUI wengi kuliko hata huyo mange ambao kila siku wanamtukana kwenye mtandao, sitaki kuamini kama mange ana maadui kuliko jide. Jide ana dharau na kiburi kuliko hata uyo mange lakini hata siku moja hajawahi kunyanyua mdomo wake kumjibu hata mmoja, unajua ni kwa nini? analinda HESHIMA yake kwenye JAMII tena dada wa watu hana ata mastaz kama mange ila mstaarabu japokuwa kibur, Utatukana wangapi na mpaka lini ikiwa kila siku maadui wanaongezeka?. Nadhani mange ni msomi so anaelewa
 
Lara eti mange atatoa lini ile weaving yake maana ipo kichwani karibia miezi 5 sasa nywele hazimnukii muzungu....
Hahahaaaaa! DEFEAT YA LEILA KUPIGWA PUMB ASIMALIZE SHULE KUMKOMOA MANGE HAHAHAHAAAAAAAAAA! Nacheka kwa uchungu mkubwa sanaamie! Bhoke anapa As tu huko, Mungu masimamie asiwe HIGH SCHOOL DROP OUT!
Leyla sija admit defeat nakupenda sanaa ACHA KUPIGWA FREE P KAGRADUATE HIGH SCHOOL KWA FAIDA YAKO!
 
Hahaaaaa! WE UNAJUA HII VITA YA MANGE NI NEVER ENDING, inalala tu na kupoa next week tuko uwanjani. Ndo raha ya kuwa mwanajeshi YOU LIVE TO DIE ANOTHER DAY! Hahahaaaaaa!

Ipo siku atakua historia tu ...!
 
Mfano mzuri kwa dada yetu LADY JAYDEE ambaye naamini ana umaarufu zaidi kuliko mange, na ana MAADUI wengi kuliko hata huyo mange ambao kila siku wanamtukana kwenye mtandao, sitaki kuamini kama mange ana maadui kuliko jide. Jide ana dharau na kiburi kuliko hata uyo mange lakini hata siku moja hajawahi kunyanyua mdomo wake kumjibu hata mmoja, unajua ni kwa nini? analinda HESHIMA yake kwenye JAMII, Utatukana wangapi na mpaka lini ikiwa kila siku maadui wanaongezeka?. Nadhani mange ni msomi so anaelewa
Kama Jide is TOO COWARD TO FIGHT HWR WARS ANAWAACHA MMUMCHOKOE MTAKVYO ITS HER BAD! Mange mwanajeshi, haonewi kisengerema sengerema. Anajulikana kwa KUWASULUBISHA NA KUWATUNDIKA ADUI ZAKE WOTE!

Usifosi watu wafanane wakati kila mtu ana moyo wake.
 
Mmmmh kwa hyo ndo mwisho wa hadithi ya mange??nna ombi kesho kaa utulie uingie chimbo utulsetee who is mange part two..mana leo umekurupuka,,baaada ya mbuta nanga kuweka ule uzushi ukaja kusawazisha bahati mbaya ukawa deep in shalo
 
Jamani mbona inaonyesha mtoa mada ni miss neddy yaani tunachezeana vichwa sio?
 
Hahahaaaaa! DEFEAT YA LEILA KUPIGWA PUMB ASIMALIZE SHULE KUMKOMOA MANGE HAHAHAHAAAAAAAAAA! Nacheka kwa uchungu mkubwa sanaamie! Bhoke anapa As tu huko, Mungu masimamie asiwe HIGH SCHOOL DROP OUT!
Leyla sija admit defeat nakupenda sanaa ACHA KUPIGWA FREE P KAGRADUATE HIGH SCHOOL KWA FAIDA YAKO!

Jamani nijibu tumchangie hela boss wako akashonee weaving nyingine hahaaaaaa
 
Mmmmh kwa hyo ndo mwisho wa hadithi ya mange??nna ombi kesho kaa utulie uingie chimbo utulsetee who is mange part two..mana leo umekurupuka,,baaada ya mbuta nanga kuweka ule uzushi ukaja kusawazisha bahati mbaya ukawa deep in shalo
Hahahaaaaaaaa! MI NDO NIMEMALIZA HAPO LABDA UWEKE WEWE PART 2 AU COTRADICTING CONTINUATION! Hapo mimi ndo mwisho!
Mi siwezi kusoma kitu alichoandika mgonjwa wa akili! Hata iweje! HIVI KESI YA KUBAKWA NA MBUNGE ILIISHAJE.? Hahaaaaa! Point zenu of reference ndo zinanichshaga kabisaaaa! Mbunge alikosa wa kumaka kwa kweli!
 
Hahahaaaaa! DEFEAT YA LEILA KUPIGWA PUMB ASIMALIZE SHULE KUMKOMOA MANGE HAHAHAHAAAAAAAAAA! Nacheka kwa uchungu mkubwa sanaamie! Bhoke anapa As tu huko, Mungu masimamie asiwe HIGH SCHOOL DROP OUT!
Leyla sija admit defeat nakupenda sanaa ACHA KUPIGWA FREE P KAGRADUATE HIGH SCHOOL KWA FAIDA YAKO!

Hivi lara una usingizi ama?Umeulizwa shost yako atatoa hilo weaving lake lini wewe unaenda kumkurupukia leila.Ama kweli leyla anakunyima usingizi kha!!!!
 
Mfano mzuri kwa dada yetu LADY JAYDEE ambaye naamini ana umaarufu zaidi kuliko mange, na ana MAADUI wengi kuliko hata huyo mange ambao kila siku wanamtukana kwenye mtandao, sitaki kuamini kama mange ana maadui kuliko jide. Jide ana dharau na kiburi kuliko hata uyo mange lakini hata siku moja hajawahi kunyanyua mdomo wake kumjibu hata mmoja, unajua ni kwa nini? analinda HESHIMA yake kwenye JAMII, Utatukana wangapi na mpaka lini ikiwa kila siku maadui wanaongezeka?. Nadhani mange ni msomi so anaelewa

Binamu yule msomi asiyeekimika,ndo wale wale hata kwetu wapo...!???ana maaduui wa kujitaftia ili apate umaarufu maana kausaka kwenye magazeti shigongo kambania haya asa plan B atukane watu maarufu si unajua ukitembea na WARID UTANUKIA...?!!!NDO MRS CHORII...!
 
Jamani mbona inaonyesha mtoa mada ni miss neddy yaani tunachezeana vichwa sio?
Hahahaaaaa! Lazima uone maruwe ruwe mikombora imekukolea mujarabuuuuuuuuuuuuuuu! Mtoa mada mie LARA 1! Miss neddy yumo kichwani kwako!
 
Hivi lara una usingizi ama?Umeulizwa shost yako atatoa hilo weaving lake lini wewe unaenda kumkurupukia leila.Ama kweli leyla anakunyima usingizi kha!!!!
Hahahahaaaaa! Naona masters, mume yahaya, linda sijui nini vimewaishia mnaanza weaving! HAHAHAAAA! SIJUI ANALITOA LINI KWA KWELI!
 
Kama Jide is TOO COWARD TO FIGHT HWR WARS ANAWAACHA MMUMCHOKOE MTAKVYO ITS HER BAD! Mange mwanajeshi, haonewi kisengerema sengerema. Anajulikana kwa KUWASULUBISHA NA KUWATUNDIKA ADUI ZAKE WOTE!

Usifosi watu wafanane wakati kila mtu ana moyo wake.

Kama JIDE ameweza kupambana na CLOUDS MEDIA ambao sio mtu mmoja ni troops hili na bibie kapambana tena peke yake na kawaburuza akina ruge watu wenye pesa zao na hadhi zao hao akina mbuta nanga watamuwezea wapi?

Lengo langu sio kufananisha mtu ila najaribu kukuonyesha how smart n educated people should behave. Mange angeachana na hiz local n cheap BEEF za kiswahili, kwanza mtu upo ulaya kutwa kufuatilia maisha ya bongo inahuu? Ajenge bifu za maana na zenye faida kwenye maisha yake na ambazo hazitamshusha hadhi yake ya usomi
 
lara mi na mme wewe hahaaaa...!angalia hata comments zangu...!Na ni CHADEMA DAMU MIMI..!
Sio wewe mdogo wako ANAINGIA NA TOCHI HAHAHAAAA! My bad, nitarudi kusoma vizuri.kwa hio mumeo nae fisadi au yupo na Zito kwwnye movemwnt zake ndani ya chama?
 
Hahahahaaaaa! Naona masters, mume yahaya, linda sijui nini vimewaishia mnaanza weaving! HAHAHAAAA! SIJUI ANALITOA LINI KWA KWELI!

Mie nimesaidia kufikisha ujumbe maana mdau aliuliza mda mrefu ukawa unapotezea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom