Hahaa hilo neno tu MUKE YA....kalianzisha Mange MUKE YA MUZUNGU..Mange kawa affect kila sehemu lazima mshinde humu kumsakama.Chukua basi break kidogo ukasafishe ikulu ubadil na kuful ndo uje uendeleze majungu.
Swali zuri Sheikh.Duh! We umejuaje kama mumewe kahamia Hyuston?
yap nakula kwako,navaa kwako,nalala kwako.
What else....?!!!!!!!
mwenzetu unawezaje kumjuwa jobless? by the way kazi yako inamsaidia yeyote humu?
mimi nimefikia conclusion kwamba wewe huna elimu yoyote unadhani member wa jf wapo manzese, arusha na mwanza tu.
kwa mfano unaelewa lolote kuhusu gmt? je unajuwa Japan ngapi saa hizi? vipi kuhusu Perth Australia? una elewa lolote kuhusu port moresby Papua new guinea? unajuwa brunei ni saa ngapi saa hizi? kazi uliyonayo bwana bize man umeshawahi kufika Alaska? vipi Montreal Quebec city saa hizi ni lunch au dinner? au ni breakfast time? unapajuwa bogota?
subiri siku utakayo pata bahati ya kupanda ndege safari ya masaa 8, utatoka kwenu asubuhi na utafika asubuhi pia huendako nadhani ndio utaanza to think like a man.
goma tu huyo hana lolote yani angejua....!
ye anajua jf ni ya majobless tu
tatizo ameshkrem hivyo baas..!
Tafuta kazi ufanye mkuu.
hizi ndio sababu zilizofanya Tanzania kuwa ranked in top 10 poor iq's population kwa sababu taifa limezalisha watu mazuzu kama huyu asiyejielewa.
kwamba ili uwe bize badi uee muuza genge, mtu ksma huyu ukimwambia unatengeneza pesa online hawezi kukuelewa na sidhani kama anajuwa hata freelancer ni kitu gani? bora kufuga nguruwe kuliko kuwa na viumbe mizigo kama hawa.
Jf kuna members wana shughuli zao za maana ila hawashindi hapa 24/7 kama nyie.Yani nyie hivi hata mna wapenzi wakuspend nao time out of Jf?
Ila nani anataka mpenz Jobless!!
pole sana mdada
tatizo we unacomplicate maisha sawaaa....!
relax.....
take a deep breath....!
then enjoy urself...!
maisha ni zaid ya hayo unayoyajua wewe mama...!
pole aisee mi si msukuma ila nimeolewa huko nafahamu jitahidi ujue
Umenitusi kiniita mama.
Mm sijaKutukana mkuu.
Mm najua mtu anaye complicate maisha ni yule anayespend muda wake kufuatilia maisha ya watu.
mwanamme atakaemtaka m/mke km wewe kazi anayo...!!!
upo km jogoo wa kuchorwa...!!
huwiki wewe.....!!!
hutagi wewe....!!!
haudonoi..!!!
we unajua maana ya celebrities forum?!!!
unajua maana ya jamiii forum...!!!
au una kiranga cha kuku..?!!!!
unawaza mapenzi tuu...!!!
akili fupi!!!pole sana una stress za kutoswa kumbee...!!
Huo muda ntaupata wp tena mpenz
Maisha yenyewe haya ni ngumu
Hahhaaaaaaa! MAX HAKUTUKANWA NA MANGE ILIWEKWA PICHA PUBLIC VIEW AKA PUBLIC OPINION YA WADAU HAIKUWA NZURI SASA HAPO MANGE KAKOSA NINI? Who is she to control public opinion? Mbona hii forum ya Max watu wanaweka topic, Mange anatukanwa na haweki post kumshutumu Max, coz sio Max alieanzisha uzi ni mimi. Huoni Max alitumia feedback positively hakujibizana, kajenga image yake positively saivi akiwekwa public opinion itakuwa tofauti.
Diamond kawekwa kama NEWS coz ni star, MBONA ANAWEKWA KUSIFIWA MARA KIBAO, na yeye humkuti anamjibu Mange coz anajua ile media.
Zadock namuogopa mwanasheri huyu mimi WALIKUWA NA BEEF KUBWA TENA ALIFUNGULIWA CASE NA MANGE amlipe implants zake. Wale wanajuana!
Tk alianza choko choko mwenyewe!
Mange sio chizi aanze tu kumchamba mtu! SOUZA nae alimbeep kupigiwa anawaya waya!
Mmmmh aiseee
nenda kijijin likizo moja utajua mi nlienda desemba last year nimerudi niko vizr
Hahaha mkuu umepanick kudaadeeki.SIONGEI NA MFUGO NAONGEA NA WENYE MFUGO.....SAWAAAA...?!!!!
Pole sana mamytoooo...!!
ALIYEKUTUMA MWAMBIE HUJANIKUTA...!!!!
DOMO LA UDAKU WEEEE...!
kuna watu wanapenda kuchokonoa asa ngoja kwanza nimuone anataka nini...!!!
Mkuu inaonesha unsijua dunis ya msnge zaidi yangu.Afu we ndo yule uliekua unamuomba msamaja baada ya kukublock...!@
Eti nsamehe sirudiii tena kukushauri ntakua nakusifia tu daah...!
!Umaskini wa akili mbaya sana..!
Duniani anaabudiwa Mungu tu mbuzi mawe weee...!