Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Hahaa hilo neno tu MUKE YA....kalianzisha Mange MUKE YA MUZUNGU..Mange kawa affect kila sehemu lazima mshinde humu kumsakama.Chukua basi break kidogo ukasafishe ikulu ubadil na kuful ndo uje uendeleze majungu.

Afu we ndo yule uliekua unamuomba msamaja baada ya kukublock...!@
Eti nsamehe sirudiii tena kukushauri ntakua nakusifia tu daah...!
!Umaskini wa akili mbaya sana..!
Duniani anaabudiwa Mungu tu mbuzi mawe weee...!
 
Duh! We umejuaje kama mumewe kahamia Hyuston?
Swali zuri Sheikh.
Sasa muulize siku aliyokaa hata dk 10 kufikiria jinsi yakutengeneza maisha yake kama anajua.Ila habari zoote za watu anaowajulia mtandaon anazo,busy kujua kufuatilia maisha ya watu ambao hata hawajui kama ana exist.
 
mwenzetu unawezaje kumjuwa jobless? by the way kazi yako inamsaidia yeyote humu?

mimi nimefikia conclusion kwamba wewe huna elimu yoyote unadhani member wa jf wapo manzese, arusha na mwanza tu.

kwa mfano unaelewa lolote kuhusu gmt? je unajuwa Japan ngapi saa hizi? vipi kuhusu Perth Australia? una elewa lolote kuhusu port moresby Papua new guinea? unajuwa brunei ni saa ngapi saa hizi? kazi uliyonayo bwana bize man umeshawahi kufika Alaska? vipi Montreal Quebec city saa hizi ni lunch au dinner? au ni breakfast time? unapajuwa bogota?

subiri siku utakayo pata bahati ya kupanda ndege safari ya masaa 8, utatoka kwenu asubuhi na utafika asubuhi pia huendako nadhani ndio utaanza to think like a man.

Majobless bana.
Issue ya gmt nishagusia kule juu.
Kaoge bas kwanza uvae na kufuli safi ndo uje tena kupiga umbea maana mmh!!!
 
goma tu huyo hana lolote yani angejua....!
ye anajua jf ni ya majobless tu
tatizo ameshkrem hivyo baas..!

Jf kuna members wana shughuli zao za maana ila hawashindi hapa 24/7 kama nyie.Yani nyie hivi hata mna wapenzi wakuspend nao time out of Jf?
Ila nani anataka mpenz Jobless!!
 
Tafuta kazi ufanye mkuu.

we binti weweee.....!!!!
we msichana weee....!!!!
we mtoto weweeee....!!!!
we mtoto weweeeee....!!!
we mtoto weeeweeeeeeeee....m!!!!
jishikilie...!!!!
tena jing'ang'anize hapo utakapojishkila..!!!!
tena ujishklir haswaaaa...!!!!
km uko kwenye daladala ya gongo la mboto afu umesimama mlangoni...!!!
ohoooo..!!!!
we nleteee hashuo za mganga wa kienyeji kuagiza mgonjwa ampelekee makelele ya kariakoo..!!
au unaleta hashuo za dafu...!
shuti lichokolewe...!!!
enhee nsipokua na kazi inakuhusu nin?!!!
km hii ndo kazi yangu...!!!je?!!!
samahani...!!!
tena samahaniii we mbibi...!!!
ujinyanyue tena mbibi ujinyanyue vizuri...!!!
jiangalie....!!!!
we haya tu...!!!
 
hizi ndio sababu zilizofanya Tanzania kuwa ranked in top 10 poor iq's population kwa sababu taifa limezalisha watu mazuzu kama huyu asiyejielewa.

kwamba ili uwe bize badi uee muuza genge, mtu ksma huyu ukimwambia unatengeneza pesa online hawezi kukuelewa na sidhani kama anajuwa hata freelancer ni kitu gani? bora kufuga nguruwe kuliko kuwa na viumbe mizigo kama hawa.

Hahaaa tafuta kaz ufanye mkuu.
Sasa muda wakuendesha online business zenu mnaupata wapi ilhal 24/7 mko hapa MAJOBLESS CAMP?
majobless bana.
 
Jf kuna members wana shughuli zao za maana ila hawashindi hapa 24/7 kama nyie.Yani nyie hivi hata mna wapenzi wakuspend nao time out of Jf?
Ila nani anataka mpenz Jobless!!

mwanamme atakaemtaka m/mke km wewe kazi anayo...!!!
upo km jogoo wa kuchorwa...!!
huwiki wewe.....!!!
hutagi wewe....!!!
haudonoi..!!!
we unajua maana ya celebrities forum?!!!
unajua maana ya jamiii forum...!!!
au una kiranga cha kuku..?!!!!
unawaza mapenzi tuu...!!!
akili fupi!!!pole sana una stress za kutoswa kumbee...!!
 
pole sana mdada
tatizo we unacomplicate maisha sawaaa....!
relax.....
take a deep breath....!
then enjoy urself...!
maisha ni zaid ya hayo unayoyajua wewe mama...!

Umenitusi kiniita mama.
Mm sijaKutukana mkuu.
Mm najua mtu anaye complicate maisha ni yule anayespend muda wake kufuatilia maisha ya watu.
 
Umenitusi kiniita mama.
Mm sijaKutukana mkuu.
Mm najua mtu anaye complicate maisha ni yule anayespend muda wake kufuatilia maisha ya watu.

we kuniita mi jobless sio tusi....!???
vinanoga vya mwari eeeh...?!!!
vya kungwi havinogi...?!!!
eti...?!!!
una mamlaka gani ya kuniita mi joblesss...
?!!!
 
mwanamme atakaemtaka m/mke km wewe kazi anayo...!!!
upo km jogoo wa kuchorwa...!!
huwiki wewe.....!!!
hutagi wewe....!!!
haudonoi..!!!
we unajua maana ya celebrities forum?!!!
unajua maana ya jamiii forum...!!!
au una kiranga cha kuku..?!!!!
unawaza mapenzi tuu...!!!
akili fupi!!!pole sana una stress za kutoswa kumbee...!!

Mmmmh aiseee
 
Hahhaaaaaaa! MAX HAKUTUKANWA NA MANGE ILIWEKWA PICHA PUBLIC VIEW AKA PUBLIC OPINION YA WADAU HAIKUWA NZURI SASA HAPO MANGE KAKOSA NINI? Who is she to control public opinion? Mbona hii forum ya Max watu wanaweka topic, Mange anatukanwa na haweki post kumshutumu Max, coz sio Max alieanzisha uzi ni mimi. Huoni Max alitumia feedback positively hakujibizana, kajenga image yake positively saivi akiwekwa public opinion itakuwa tofauti.
Diamond kawekwa kama NEWS coz ni star, MBONA ANAWEKWA KUSIFIWA MARA KIBAO, na yeye humkuti anamjibu Mange coz anajua ile media.
Zadock namuogopa mwanasheri huyu mimi WALIKUWA NA BEEF KUBWA TENA ALIFUNGULIWA CASE NA MANGE amlipe implants zake. Wale wanajuana!
Tk alianza choko choko mwenyewe!
Mange sio chizi aanze tu kumchamba mtu! SOUZA nae alimbeep kupigiwa anawaya waya!

I fear this is a generation and the likes of those women who have no brains but somehow managed to lie their hands on cash!

Simjui mange wala wewe lara1 but as a third party, nikiangalia mabandiko hapa sioni ishu! Which brings me to my question: How in the name of hell did these fools become successful while smart people elsewhere are poor? Wonders will never end!

These days we see these fools even making fun of the educated few!
 
kuna watu wanapenda kuchokonoa asa ngoja kwanza nimuone anataka nini...!!!

Duuu yaani sijui nimwelewaje huyu jamaa
Kipi hasa kinamfanya awaits wenzie majobless?
Kama yeye kazi yake inambana kiasi hcho so yeye
Watu wangekua hawamake money wangepata wapi nguvu ya ya kukaa jf?
Au wanasurf bure?
Hajui wengine hawapo Tanzania?
 
Afu we ndo yule uliekua unamuomba msamaja baada ya kukublock...!@
Eti nsamehe sirudiii tena kukushauri ntakua nakusifia tu daah...!
!Umaskini wa akili mbaya sana..!
Duniani anaabudiwa Mungu tu mbuzi mawe weee...!
Mkuu inaonesha unsijua dunis ya msnge zaidi yangu.
What r u talking about?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom