nimekuelewa na nimeuliza cos umeonekana kujua it was just me and my curiosity na si kwasababu nimekosa la kuongea. by the way kumbe tuko kwenye league ...didn't know....
ila ye anavyowaweka wale marehemu kule??? I wish she could think like u jus for a minute and remove those pics too bad haelewagi mwanamke yule.
hahahaha anaitwa Heaven on Earth sio hearth sawa eeeeeh kaaa tayari hii trela picha kamili bado chezea lara 1 kubwa la maadui sterling sijui nani humu apige risasi zimamalize
hatavkm mzazi ni mzazi hasa mama akumbuke ye mtoto awa nje ya ndoa alipaswa amheshimu mama yke kwa kumleta duniani angemetoaje?
hiyo vita unayomchochea mwenzio siri zake zote hadharani
tushajua kwamba mumewe mzungu mtaani
wako houston km kwetu mbagala
ashawahi kuiba kpnd anasoma usa akashtakiwa
mwanawe anasoma st.kayumba za usa
NO WAR ZAIDI YA AIBU....!
Mange mwenyewe hy sura puuuuuuu. Kwanza lara ndiyo Mange mwenyewe msijibizane naye.
My dear lara 1 you're better than this. sina mengi yakusema hapa tutaongea faragha, naheshimu tu uhuru wako wa kutoa maoni.
WEWE MUMEO YUKO WAPI KAMA UNAE? Hahhaaaaaa! The funny part is mtu una audecity ya kumdiss Mange wakati mwenyewe majngaaaaa! Ooooh majangaaaa! HAHAHAAAAA! Mi nachekaga tu.
nitam sue kuniharibia jina....
Bey yuko huku hadi amesahau kufturu lols umpe pole zake.
Watu saingine janja tuu! Hamna mtu alieprovide evidence kuwa dada yule katutoka kweli! Wangetuma death certificate au picha inadhibitisha kuwa kweli katutoka angetoa. Sio janja yenu kumnusuru mtu na michambo mnatoa claim inaninginia!
hahahaha usilolijua ni kama usiku wa giza nene
Hahaaaaa! MWAMBIE ASEME SUUU PAPA LAKE LIANIKWE KWENYE BLOG! Watu wanaoendesha beef na Mange hamna kitu kabisaa ukiwashabikia watakuua na pressure! Umelichungulia kwa mbali lakini?
hahaha hiyo sababu ya kuwa mpare haiwezi kuwa ya mSingi!Hahaaa! Mange ni Short tempered, halafu sababu ni mpare anapenda snaaa Kesi. Yupo radhi kuuza ngombe kwa kesi ya kuku kuliko ashindwe.
Anachokose Mange ni kushindwa KU LET BYGONES BE BYGONES! Pia hapendi mtu amzidi kwa lolote. Mtu akimzidi tu hata kama alikuwa anampuuzia zamani anamuwasha hapo hapo. Na ni mkavu anaweza kukuchamba leo kesho akakusifia kama Cynthia Mzirai.
The issue is ALL THESE BATTLES MAKE HER RICH, KWANINI AACHE? AND LIKE PEOPLE WILL LET HER BE HATA AKIAMUA KUACHA!
NOUGH IS ENOUGH WANA MUONEA SANAA YATIMA WA WATU! Its not fair. Its ab8ut time i had to set the record straight.
WEWE MUMEO YUKO WAPI KAMA UNAE? Hahhaaaaaa! The funny part is mtu una audecity ya kumdiss Mange wakati mwenyewe majngaaaaa! Ooooh majangaaaa! HAHAHAAAAA! Mi nachekaga tu.
huyo nae hajui lolote......
akajambe mbele lols.......... watu wana majibu...
NAENDA KUFUTURU NITARUDI BAADAE HUMU! Ifike mahala msidandie treni kwa mbele.
hahaha hiyo sababu ya kuwa mpare haiwezi kuwa ya mSingi!
Ni katika sakata lipi unakubali yanayo semwa juu yake ni kweli?
Unaamini yanayo semwa juu yake ni uongo mtupu? Una kubali kuwa kwa kuwa ni short tempared Kuna uwezekano ana tenda bila kufikiri kwa makini bali ana chukulia kila jambo kwa ubaya?
Je una kubaliana nami Kuna uwezekano anaona hawezi kukosea na kukosolewa?