Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
nimekuelewa na nimeuliza cos umeonekana kujua it was just me and my curiosity na si kwasababu nimekosa la kuongea. by the way kumbe tuko kwenye league ...didn't know....

ila ye anavyowaweka wale marehemu kule??? I wish she could think like u jus for a minute and remove those pics too bad haelewagi mwanamke yule.

Watu saingine janja tuu! Hamna mtu alieprovide evidence kuwa dada yule katutoka kweli! Wangetuma death certificate au picha inadhibitisha kuwa kweli katutoka angetoa. Sio janja yenu kumnusuru mtu na michambo mnatoa claim inaninginia!
 
hatavkm mzazi ni mzazi hasa mama akumbuke ye mtoto awa nje ya ndoa alipaswa amheshimu mama yke kwa kumleta duniani angemetoaje?
hiyo vita unayomchochea mwenzio siri zake zote hadharani
tushajua kwamba mumewe mzungu mtaani
wako houston km kwetu mbagala
ashawahi kuiba kpnd anasoma usa akashtakiwa
mwanawe anasoma st.kayumba za usa
NO WAR ZAIDI YA AIBU....!

WEWE MUMEO YUKO WAPI KAMA UNAE? Hahhaaaaaa! The funny part is mtu una audecity ya kumdiss Mange wakati mwenyewe majngaaaaa! Ooooh majangaaaa! HAHAHAAAAA! Mi nachekaga tu.
 
My dear lara 1 you're better than this. sina mengi yakusema hapa tutaongea faragha, naheshimu tu uhuru wako wa kutoa maoni.

Kwakweli Matola ,siku zote huwa namkumbali Lara atuletee mambo kule MMU kwahili sikubaliani naye .
 
Last edited by a moderator:
My dear lara 1 you're better than this. sina mengi yakusema hapa tutaongea faragha, naheshimu tu uhuru wako wa kutoa maoni.
NOUGH IS ENOUGH WANA MUONEA SANAA YATIMA WA WATU! Its not fair. Its ab8ut time i had to set the record straight.
 
WEWE MUMEO YUKO WAPI KAMA UNAE? Hahhaaaaaa! The funny part is mtu una audecity ya kumdiss Mange wakati mwenyewe majngaaaaa! Ooooh majangaaaa! HAHAHAAAAA! Mi nachekaga tu.

Hivyi nyinyi watu mnajuana humu kumbe! ehe ngoja nikae pembeni niangalie movie .
 
nitam sue kuniharibia jina....

Bey yuko huku hadi amesahau kufturu lols umpe pole zake.

gahahaha mwaga cheche bey sponsor wako niko hapa win a ticket to dubai eid el fitri inakuja kill the so called kubwa la madui be a sterling of this movie lol
 
Watu saingine janja tuu! Hamna mtu alieprovide evidence kuwa dada yule katutoka kweli! Wangetuma death certificate au picha inadhibitisha kuwa kweli katutoka angetoa. Sio janja yenu kumnusuru mtu na michambo mnatoa claim inaninginia!

No that Lady (waziri)alianza kumkandia yule mwenye pua kubwa... mwishoni akasema yule Dada kafariki na kuomba picha itolewe na mkuu wa kaya ya u turn ila ndio akagoma

na sidhan ka kuna mantiki maana wengi waliwekwa picha zao kwanini atajwe yule tu ndio kafa..... when there is smoke there is fire....
 
Hahaaaaa! MWAMBIE ASEME SUUU PAPA LAKE LIANIKWE KWENYE BLOG! Watu wanaoendesha beef na Mange hamna kitu kabisaa ukiwashabikia watakuua na pressure! Umelichungulia kwa mbali lakini?

Hamna wala hata simshabikii yeyote zaidi namuoneahuruma coz i think something is not okey in her mind
Hv kila mtu mkorofi who the hell is she?
Mi nasema nlikua namkubali but nilimkataa the day alivyosema eti duka lenyewe la mkpo so kumbe ilimuuma alitaka awe yeye tu juu eti?
Kiukweli mange amepewa elimu ila busara zero na huo umaarfu wa kwenye mitandao tu mtaani kwetu ye na hao anaogombana nao wenzie wako juu
 
NAENDA KUFUTURU NITARUDI BAADAE HUMU! Ifike mahala msidandie treni kwa mbele.
 
Hahaaa! Mange ni Short tempered, halafu sababu ni mpare anapenda snaaa Kesi. Yupo radhi kuuza ngombe kwa kesi ya kuku kuliko ashindwe.

Anachokose Mange ni kushindwa KU LET BYGONES BE BYGONES! Pia hapendi mtu amzidi kwa lolote. Mtu akimzidi tu hata kama alikuwa anampuuzia zamani anamuwasha hapo hapo. Na ni mkavu anaweza kukuchamba leo kesho akakusifia kama Cynthia Mzirai.

The issue is ALL THESE BATTLES MAKE HER RICH, KWANINI AACHE? AND LIKE PEOPLE WILL LET HER BE HATA AKIAMUA KUACHA!
hahaha hiyo sababu ya kuwa mpare haiwezi kuwa ya mSingi!

Ni katika sakata lipi unakubali yanayo semwa juu yake ni kweli?

Unaamini yanayo semwa juu yake ni uongo mtupu? Una kubali kuwa kwa kuwa ni short tempared Kuna uwezekano ana tenda bila kufikiri kwa makini bali ana chukulia kila jambo kwa ubaya?
Je una kubaliana nami Kuna uwezekano anaona hawezi kukosea na kukosolewa?
 
WEWE MUMEO YUKO WAPI KAMA UNAE? Hahhaaaaaa! The funny part is mtu una audecity ya kumdiss Mange wakati mwenyewe majngaaaaa! Ooooh majangaaaa! HAHAHAAAAA! Mi nachekaga tu.

suala sio mume wangu yuko wapi
ye mwenywe anapenda kuonekana yupo juu kumbe majalala its oke her dad was rich enhee sasa kampata mzungu hana kitu km jogoo wakuchorwa ndo mana anakpga kwa nje apate pesa za kujikimu.
Kauvaa mkenge watu wanamwaga ugali na maji ya kunywaaa
We cheka tu ila ukweli bosy wako kafulia mwambie arudi bongooo sie tupo tunamsubiri
 
hahaha hiyo sababu ya kuwa mpare haiwezi kuwa ya mSingi!

Ni katika sakata lipi unakubali yanayo semwa juu yake ni kweli?

Unaamini yanayo semwa juu yake ni uongo mtupu? Una kubali kuwa kwa kuwa ni short tempared Kuna uwezekano ana tenda bila kufikiri kwa makini bali ana chukulia kila jambo kwa ubaya?
Je una kubaliana nami Kuna uwezekano anaona hawezi kukosea na kukosolewa?

Mimi nashindwa kuelewa anamtetea, halafu anakubali kuwa ana mapungufu ambayo watu wanayaongelea. Unajua wengine tunatoa ushauri tu kama tunavyoona mambo yanavyoenda kwenye mitandao lakini unaonekana nawe ni adui wa Mange.
Lara anatambua sana kama Mange ana madhaifu yake japo hataki kuukubali ukweli, hakuna binadamu hasiye na mapungufu yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom