Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.

Wee si uachane naee khaa kwani lazima umquote anachangamsha jukwaaa bana achanq nae
 
Kweli umaarufu unatafutwa kwa namna yeyote, nakumbuka ticha wangu mmoja alikuwa anatushauri
"vijana jitahidini kutafuta umaarufu, jamba hata mbele za watu uwe maarufu"

Kuna mmoja alijisaidiaa roundabout wee alikua maarufu balaaa
 
aaaaahaaaaaa nimecheka mno wallah
 

Jobless @ work

Unajisikiaje kurumbana na ma jobless? Unapata experience gan kwa mfano ikiwa wewe ni mfanya kazi labda? Bora mbea kuliko wewe MNAFIK na MCHAWI mkubwa.
 

Mbona Povu Da Mangeee...
 

Makubwa haya,ujumbe mreefu umejaa vapour,sasa kama nyie ni mods mbona mnalambwa ban.

Sasa kwa taarifa yako,mm nikipigwa ban hata ya milele humu jf wateja wataendelea kuja gengen mwangu kama kawa.
Kazi kwenu nyie mtaji simu mapato like.
Hata ukipigwa ya siku moja lazima uumwe sbb huna kingine mfanyacho hspa dunian zaid ya kuwekeza kwenye likes hapa jf.

Afu usisahau kuja kwenye interview.
 
Wee si uachane naee khaa kwani lazima umquote anachangamsha jukwaaa bana achanq nae

Ngoja nilete ubuyu binamu nimuonyeshe huyu kipapa u jobless Wang, huyu lazima agongwe online binamu, anajiongeza sana mm nammudu huy binamu , ebu nishike ntaua mtu nipewe ban ya maisha
 
Jobless @ work

Unajisikiaje kurumbana na ma jobless? Unapata experience gan kwa mfano ikiwa wewe ni mfanya kazi labda? Bora mbea kuliko wewe MNAFIK na MCHAWI mkubwa.

Najisikia raha kunako mtima.
Kuhusu swali lako la napata mfsno gan,jibu ni napata mfano wa example.
Swali jingine?
Ukiuliza usisahau kunirushia katusi japo kamoja,natanguliza shukrani.
Hahahahaaaaaaa
 
poa binamu.....

nakuona tu kuna sehem nimekugongea like umenichekesha sana.....

Aaaa aaaah wapi uko binamu? Ebu nikumbushe?

Hao vibaraka Wa mange(angeitwa walau Beatrice tungekoma) kama wamelipwa na mange waje kumpa sifa za kijinga bas watalima lami humu, warudishe tu pesa JF no corruption/ rushwa only facts allowed, akahonge kwa shigongo( nimesahau kumbe GPL alishaharibu) dah mbona ana kazi kote kaaribu huyu zombie alivyokuwa ana laana , hakubariki mbinguni wala jehanamu
 
Matusi yako ya jana yakinitengezea mod kinoma,naomba leo usirudie yale ya jana,leo nipe ambayo hayajawahi kutumika.mm nikitukanwa huwa najisikia rsha kweli,naomba unitukane tena mkuu.

Yani Jana I did sacrifice my ID simply because of you, n thanks God now my heart is clean , ya Jana was just a trialer n was just a promo, ule ulikuwa utambulisho tu ndugu, if you want to know me more just dare me n continue to dig me in my forest, u will suffer the consequences
 
Nani bingwa wa matusi aje atumie itsalam wake anitukaneeee weeeee,napenda sana.
Mtaji simu mapato likes.
 

I dare you.
Nasubiri hilo movie.
Mtaji simu mapato likes.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…