warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kweli JF Sio Magazeti Pendwa Useme Utahonga waandishi .........
Dah binamu ntakuja azima dictionary yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli JF Sio Magazeti Pendwa Useme Utahonga waandishi .........
We kitobo unayefanya kazi unafuata nn humu? Eti ma jobless hyo jobful yako iko wap mpak sasa ivi unahaha kutafuta dudu humu? yani we kahaba Wa kizee nitafungua account mia kwa ajili yako ili tu nikuonyeshe hii sio blog ya mmachinga wenu, upuuz wenu peleken uko kweny blog yake
Kweli umaarufu unatafutwa kwa namna yeyote, nakumbuka ticha wangu mmoja alikuwa anatushauri
"vijana jitahidini kutafuta umaarufu, jamba hata mbele za watu uwe maarufu"
aaaaahaaaaaa nimecheka mno wallahDid i hear you calling urself famous?
Sasa huo umaarufu wako ws jf umekusaidia kusaini mikataba mingapi ya kuwa brand ambassador hadi mm niutake?
HUo umaarufu wako unakuingizia ngapi kwa mwezi hadi niutake?
huo umaarufu wako umekusaidia kununua bikini ngapi za kuvaa ukiwa unatoa matured coments kwenye thread zinazohusu mambo ya beach?
Nakukumbusha tena,ww mwenyewe ndo ulinifata,ukaanza kuleta dharau,sasa ulivyo quote coment ambayo sikuelekeza kwako si ilimaanisha unataka majibishano na mm?sasa mbona nikikujibu unaleta udictator wakutaka kutaka nikae kimya?
Hizo reputation power zako pelela bank basi uka exchange upate pesa!!
Majobless bana.
Mtaji simu mapato liles.
m.z.x
Eti tunawaita majobless halafu tunashinda hapa na nyie!!Nani ashinde hapa na majobless!!angarien vizur muda wenye shughuli zetu tumeingia na muda nyie majobless mmelala jana na muda mmeingia hapa leo.Eti Gmt,sasa nyie mnafanya kaz/biashara saa ngap ilhal,jana nzima mko hapa hadi usiku,na leo tena hao mmejikusanya mmeshinda hapa na mtalala hapa na mtsamkia hapa,au nyie siku moja ina 72 Hours,maana kama n 24 hrs bas mmh ujobless ni mzigo.
Sishangai mkitumia muda mwingi kuharibia wenzenu shughuli zao sbb nyie niii
Mtaji Simu mapato likes.
Mtoa mada tafuta kazi ufanye hata Mange akijulikana ni maskini haitakufanya ww tajiri.
Mtaji simu........
Eti tunawaita majobless halafu tunashinda hapa na nyie!!Nani ashinde hapa na majobless!!angarien vizur muda wenye shughuli zetu tumeingia na muda nyie majobless mmelala jana na muda mmeingia hapa leo.Eti Gmt,sasa nyie mnafanya kaz/biashara saa ngap ilhal,jana nzima mko hapa hadi usiku,na leo tena hao mmejikusanya mmeshinda hapa na mtalala hapa na mtsamkia hapa,au nyie siku moja ina 72 Hours,maana kama n 24 hrs bas mmh ujobless ni mzigo.
Sishangai mkitumia muda mwingi kuharibia wenzenu shughuli zao sbb nyie niii
Mtaji Simu mapato likes.
Mtoa mada tafuta kazi ufanye hata Mange akijulikana ni maskini haitakufanya ww tajiri.
Mtaji simu........
mwee jamani bado mko na Mange tu....
Mbona Povu Da Mangeee...
Bibie nae kajipatia umaarufu kwa ajili ya matusiKuna mmoja alijisaidiaa roundabout wee alikua maarufu balaaa
Mimi kama rais wa majobless wamenituma nikueleze kwanza wako very proud kuwa majobless, ila bundle zao ni monthly subscribe unlimited bundle.
Bundle zina speed ya 4g point something, sasa wewe mjasiariamali unayetumia bundle za jero za promotion free 50mb ziko limited speed na time so that u cant enjoy the taste of internet.
Pia kuna ujumbe wako kutoka kwa majobless kwamba wengine wamefanikiwa kuajiliwa hapahapa jf baada ya jf kutangaza ajira za umoderator, kwahiyo majobless wanakutumia tu ujumbe wewe ndio loser maana wenzio wanaenjoy mtandao huku wanalipwa na jf kwa kazi yao ya umoderator.
Last but list, hili niangalizo nakupa mimi sijui hata umejiunga lini utakapoanza kulambwa ban za mwezi mpaka miezi mitatu ndio utaijuwa power of majobless.
Maana majobless wapo ndani chombo cha maamuzi, ogopa sana majobless popote pale uwakutapo, majobless kina kawawa waliokuwa wapiga gumzo mnazi mmoja ndio walileta uhuru wa Tanganyika.
Wee si uachane naee khaa kwani lazima umquote anachangamsha jukwaaa bana achanq nae
Tupo na vibaraka Wa mange tunawechezesha kigodor kwanza binamu
Jobless @ work
Unajisikiaje kurumbana na ma jobless? Unapata experience gan kwa mfano ikiwa wewe ni mfanya kazi labda? Bora mbea kuliko wewe MNAFIK na MCHAWI mkubwa.
poa binamu.....
nakuona tu kuna sehem nimekugongea like umenichekesha sana.....
Matusi yako ya jana yakinitengezea mod kinoma,naomba leo usirudie yale ya jana,leo nipe ambayo hayajawahi kutumika.mm nikitukanwa huwa najisikia rsha kweli,naomba unitukane tena mkuu.
Yani Jana I did sacrifice my ID simply because of you, n thanks God now my heart is clean , ya Jana was just a trialer n was just a promo, ule ulikuwa utambulisho tu ndugu, if you want to know me more just dare me n continue to dig me in my forest, u will suffer the consequences