Mimi kama rais wa majobless wamenituma nikueleze kwanza wako very proud kuwa majobless, ila bundle zao ni monthly subscribe unlimited bundle.
Bundle zina speed ya 4g point something, sasa wewe mjasiariamali unayetumia bundle za jero za promotion free 50mb ziko limited speed na time so that u cant enjoy the taste of internet.
Pia kuna ujumbe wako kutoka kwa majobless kwamba wengine wamefanikiwa kuajiliwa hapahapa jf baada ya jf kutangaza ajira za umoderator, kwahiyo majobless wanakutumia tu ujumbe wewe ndio loser maana wenzio wanaenjoy mtandao huku wanalipwa na jf kwa kazi yao ya umoderator.
Last but list, hili niangalizo nakupa mimi sijui hata umejiunga lini utakapoanza kulambwa ban za mwezi mpaka miezi mitatu ndio utaijuwa power of majobless.
Maana majobless wapo ndani chombo cha maamuzi, ogopa sana majobless popote pale uwakutapo, majobless kina kawawa waliokuwa wapiga gumzo mnazi mmoja ndio walileta uhuru wa Tanganyika.