Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
U are too soft sweetheart, I pitty u

D battle line has bn drawn.
Hayo ya aipiti yuuu yua tuuu sofiti ni too late,nasubiria kombora sweetheart.
Usinihurumie,nipe pigo moja uniyeketeze nipotelee mbali nisiwakere tena majobless.
Nataka mm na ww tuingie vitani.
Im a worrior,bn fighting all my life.
Im not scared of a battle.
M.x.z
 
Hahaaaaaa.
Shida yangu mchumba ni nina hamu unitukane tena,jana ulinifurahisha sana.

Wala sikutukani , naona unajisikia raha mwenyew beefing with warumi eeh? Unaona fahar mwenyewe?, aya ngoja nikupe kampani baby wangu maana sina kazi
 
Last edited by a moderator:
Mimi kama rais wa majobless wamenituma nikueleze kwanza wako very proud kuwa majobless, ila bundle zao ni monthly subscribe unlimited bundle.

Bundle zina speed ya 4g point something, sasa wewe mjasiariamali unayetumia bundle za jero za promotion free 50mb ziko limited speed na time so that u cant enjoy the taste of internet.

Pia kuna ujumbe wako kutoka kwa majobless kwamba wengine wamefanikiwa kuajiliwa hapahapa jf baada ya jf kutangaza ajira za umoderator, kwahiyo majobless wanakutumia tu ujumbe wewe ndio loser maana wenzio wanaenjoy mtandao huku wanalipwa na jf kwa kazi yao ya umoderator.

Last but list, hili niangalizo nakupa mimi sijui hata umejiunga lini utakapoanza kulambwa ban za mwezi mpaka miezi mitatu ndio utaijuwa power of majobless.

Maana majobless wapo ndani chombo cha maamuzi, ogopa sana majobless popote pale uwakutapo, majobless kina kawawa waliokuwa wapiga gumzo mnazi mmoja ndio walileta uhuru wa Tanganyika.

Mwambie huyo mwanadada sunglass, sisi hatutegemei bundle za ofisi na tupo online 24hours we muache ajifanye kuiga maisha wakati yeye ni karubandika wa kizazi kipya
 
Last edited by a moderator:
Binamu taratibuu...wakikuban na ID hii tutakumiss ujue....

Mpotezeee

Wala binamu, yani ninavyopenda umbea na kuwapa maubuyu unadhan nitajibanisha sasa ivi? Nataka nimpe tu kampani huyu mdada maana ana enjoy sana kuchat na Mimi, wala usijal tupo pamoja binamu
 
Wala sikutukani , naona unajisikia raha mwenyew beefing with warumi eeh? Unaona fahar mwenyewe?, aya ngoja nikupe kampani baby wangu maana sina kazi

Sema hakyamungu baby mama.
Hilo la kazi hata tusiliongelee mana lishakua tatizo sugu.
Siku ukinizalia hao twins uloniahid itabid nikuachie kijiwe cha kuchomes mahind kikusaidie huduma za madogo mm ntabaki na genge langu.
 
Last edited by a moderator:
Sema hakyamungu baby mama.
Hilo la kazi hata tusiliongelee mana lishakua tatizo sugu.
Siku ukinizalia hao twins uloniahid itabid nikuachie kijiwe cha kuchomes mahind kikusaidie huduma za madogo mm ntabaki na genge langu.

U are trying to switch on the car baby, I'm too afraid if u start the engine , I pittty you if you can survive
 
"My Mother Put me in Weusi Shule that means Black School in Swahili"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom