Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Ivi binamu unafahamu vizur social network inaitwa LINKED IN? Au geniveros haujawahi kusikia huu mtandao? Bas mdau wangu kanifuata kule PM kaniambia mbona watu wanawaaribia radha humu? Wameniambia niwatangazie kuwa kuna mtandao unaitwa linked in ni kwa ajili ya wafanyakazi na wafanyabiashara so wameniambia niwaambie wote wafanyakazi na wafanyabiashara waende uko, watuache majobless humu tuendelee kupeana raha za jiji.

So kama nilivyokwambia binamu, nisaidie kutangaza message mtaa wa pili waende kuleee

achana na hao vipereto...!!!
tutawaambia huku watuachie sie team#majobless
 
Last edited by a moderator:
Ivi binamu unafahamu vizur social network inaitwa LINKED IN? Au geniveros haujawahi kusikia huu mtandao? Bas mdau wangu kanifuata kule PM kaniambia mbona watu wanawaaribia radha humu? Wameniambia niwatangazie kuwa kuna mtandao unaitwa linked in ni kwa ajili ya wafanyakazi na wafanyabiashara so wameniambia niwaambie wote wafanyakazi na wafanyabiashara waende uko, watuache majobless humu tuendelee kupeana raha za jiji.

So kama nilivyokwambia binamu, nisaidie kutangaza message mtaa wa pili waende kuleee

Binamu usijali tutapeleka ujumbe, watuache majobless na ujobless wetu, utafikiri wanatuletea chakula mezani
 
Last edited by a moderator:
Watu wanapenda sana ninavyowa quote unajua? Maana kuna siku kuna mtu nilim quote maskin akaja pm kunishukur eti Mimi siringi kila mtu nam quote, bichwa lilivimbaje? Inabid sasa ivi niwe expensive sana ntakuwa si quote watu ovyo

hahahaaa...!!!binamu bwana we s ndo mkurugenzi wetu majoblesa jobless...!
tumechoka sana mpaka mabichwa yanaongezeka upana..!!
 
TANGAZO TANGAZO TANGAZO,wanakijiji wote mnaomba mkusanyike,ile vita iliyoahirishwa jana itakua leo dk chache zijazo,amir jesh wa mtaj simu leo yuko fiti na kwa taarifa tulizo nazo n kwamba pigo atakalitoa hakijawahi tokea tokea kuumbwa kwa ulimwengu,historia itatengenezwa leo.
Karibuni.

jaman jamani mi huyo mange wenu CMPENDI kabisa mashauzi yake mtu hela hana ila ni shidaaaaaa
 
Watu wanapenda sana ninavyowa quote unajua? Maana kuna siku kuna mtu nilim quote maskin akaja pm kunishukur eti Mimi siringi kila mtu nam quote, bichwa lilivimbaje? Inabid sasa ivi niwe expensive sana ntakuwa si quote watu ovyo

Binamu me ntalia ujue...labda ndo utanielewa..
Achana na huyo kiazi..pliiiz.
 
Mimi naombeni umesenja.

Umeupata binamu, tutakuwa tunakutuma mitaa ya pili kule kusambaza ujumbe aka maubuyu, yani binamu kwenye hiyo sector nimekupendelea ukizembea tu nakupiga chin maana kuna wenzio wengi wanaitak hiyo nafas
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom