Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Ivi binamu unafahamu vizur social network inaitwa LINKED IN? Au geniveros haujawahi kusikia huu mtandao? Bas mdau wangu kanifuata kule PM kaniambia mbona watu wanawaaribia radha humu? Wameniambia niwatangazie kuwa kuna mtandao unaitwa linked in ni kwa ajili ya wafanyakazi na wafanyabiashara so wameniambia niwaambie wote wafanyakazi na wafanyabiashara waende uko, watuache majobless humu tuendelee kupeana raha za jiji.
So kama nilivyokwambia binamu, nisaidie kutangaza message mtaa wa pili waende kuleee
achana na hao vipereto...!!!
tutawaambia huku watuachie sie team#majobless
Last edited by a moderator: