Ivi binamu unafahamu vizur social network inaitwa LINKED IN? Au geniveros haujawahi kusikia huu mtandao? Bas mdau wangu kanifuata kule PM kaniambia mbona watu wanawaaribia radha humu? Wameniambia niwatangazie kuwa kuna mtandao unaitwa linked in ni kwa ajili ya wafanyakazi na wafanyabiashara so wameniambia niwaambie wote wafanyakazi na wafanyabiashara waende uko, watuache majobless humu tuendelee kupeana raha za jiji.
So kama nilivyokwambia binamu, nisaidie kutangaza message mtaa wa pili waende kuleee
Habari majobless wenzangu.

Watu wanapenda sana ninavyowa quote unajua? Maana kuna siku kuna mtu nilim quote maskin akaja pm kunishukur eti Mimi siringi kila mtu nam quote, bichwa lilivimbaje? Inabid sasa ivi niwe expensive sana ntakuwa si quote watu ovyo
hahahaaa...!!!binamu bwana we s ndo mkurugenzi wetu majoblesa jobless...!
tumechoka sana mpaka mabichwa yanaongezeka upana..!!
Mie ndo mkurugenzi Wa majobless
TANGAZO TANGAZO TANGAZO,wanakijiji wote mnaomba mkusanyike,ile vita iliyoahirishwa jana itakua leo dk chache zijazo,amir jesh wa mtaj simu leo yuko fiti na kwa taarifa tulizo nazo n kwamba pigo atakalitoa hakijawahi tokea tokea kuumbwa kwa ulimwengu,historia itatengenezwa leo.
Karibuni.
Watu wanapenda sana ninavyowa quote unajua? Maana kuna siku kuna mtu nilim quote maskin akaja pm kunishukur eti Mimi siringi kila mtu nam quote, bichwa lilivimbaje? Inabid sasa ivi niwe expensive sana ntakuwa si quote watu ovyo
Tupo aiseeh , available 24hours vip mkuu umeshindaje uko
Binamu me ntalia ujue...labda ndo utanielewa..
Achana na huyo kiazi..pliiiz.
asa bosi leo kula kwa nani mana mbili haikai tatu haisimami...#!!
Mimi nipo fresh jobless mwenzangu,nasikia umeukwaa ukurugenzi.
Mimi naombeni umesenja.