Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Mange nampenda sana huyo dada na kwa biashara ndo inanifanya nimpende zaidi.........
Sikujua cv yake thanx kwa mrs Matola nimemjua leo!!!!!!!!!!!!!!!
cku moja ntafanya nae biashara hata ya vitenge nimsuport
 
Last edited by a moderator:

Mume wako anaingiaje hapa ....

ye kaamua kuweka maisha yake hadharani ndio maana tunayachambua ..... na we siku ukimuweka wako hadharani na blog kama vile ndio tutaanza kumchambua pia.....hapa Mumeo unae ama huna hahusiki hata.
 
 
Last edited by a moderator:

"Short tempered"
 
umewahi kusoma Chemistry....

kuna kitu kinaitwa "catalyst" sasa wewe tunaweza kukuita hivyo kuwa ni "catalyst"

mi na chemistry mbali mbali nilivyomaliza neshno form two nilishukuru kutua zigo la sayansi lol ufafanuzi pls kuhusu hiyo catalyst
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…