We unatafuta sababu ya kupata ukimbizi wa kisiasa kwa madai ya kuikosoa serikali. Tafuta mzungu mwingine uolewe huko, maana hii ya kutukana imebuma
umeonaaa hata mieKiukweli huyo mange namkubali kiaina
Nini lengo la thread hii?Mange Kimambi ndiye mtu anayeogopwa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kuliko mtu yeyote yule duniani. Kwa jinsi ambavyo amekuwa akitukana matusi ya nguoni, kudhalilisha, kusambaza habari za uongo kuhusu Ikulu kwa kusema Makamu wa Rais ameandika barua kujiuzulu nk. Ninakiri wazi kuwa Mange Kimambi hakuna anyeweza Kumgusa maana Marekani siyo Mbali angeshafikiwa zamani sana.
Kwa jinsi alivyomtukana Waziri Mstaafu Rita Mlaki matusi ya nguoni yeye na familia yake, Niwashauri tumpigie Magoti Mange na tumbembeleze Ili apunguze matusi na udhalilishaji la sivyo kile alichokuwa akikitaka wakati anagombea tumpe maana hakuna namna
Hakuna cha Usalama wa Taifa, Hakuna Cha polisi, Hakuna cha interpol, hakuna cha Cyber, hakuna cha Ikulu
Tujifunze Kukiri na Kukubali kuwa Mange Ametushinda. Na kama ndivyo acha tu aendelee kutukana na tusiwaone mkilalalmika ktk mitandao kuwa mmetukanwa
Hapo miaka ya nyuma kulikuwa na hadithi ya 'Akana ka Nsungu' wale watu wazima watakua wamenielewa. Ilikua inapatikana kwenye vitabu Fulani vya kiingereza kabla havijaanza kutumika vile vya akina 'Neema and Mussa, Mr and Mrs Daudi'. Age vitabu vya kina Neema and Mussa vinatumika, kile kingine kikawekwa pembeni, kikawa kinaitwa 'Kitabu cha Kiingereza cha zamani'Huyu dada kwa asiye na akili atamuna ni kichaa,,lakini kwa wenye akili lazima uhisi kuwa baada ya uchaguzi kuisha kuna kitu au shadi ya kitengo kinono,,alikikosa ccm
Na ndio maana kipindi cha kampeni katika page ya insta aliipamba sana ccm na kutukana wapinzani,,,lakini baada ya mzee wa bajeti kuingia. Huyu dada alibadili msimamo gafla,,na kuhamia upinzani
My take....kuna ahadi ya fedha yawezekana alipewa kuipigia kampeni ccm...lakini hakupewa ....labda ndio chanzo
Afu sikuelewi ujue!Sasa ni haki gani hiyo unayodai unaipenda?
wamemtumia kipindi cha kampeni sana tuu!!nahisi kuna tatizo kubwa sana mahali, na nahisi Huyo dada kuna siri nyingi sana anazijua kuhusu vigogo mbalimbali, ngoja tusubiri...iko siku haki itatendeka
Mkuu hapa porojo tu chit chat kwa tusio na ajiraNini lengo la thread hii?
Heshima yako..Hapo miaka ya nyuma kulikuwa na hadithi ya 'Akana ka Nsungu' wale watu wazima watakua wamenielewa. Ilikua inapatikana kwenye vitabu Fulani vya kiingereza kabla havijaanza kutumika vile vya akina 'Neema and Mussa, Mr and Mrs Daudi'. Age vitabu vya kina Neema and Mussa vinatumika, kile kingine kikawekwa pembeni, kikawa kinaitwa 'Kitabu cha Kiingereza cha zamani'
The Boss aliwahi kuniomba nimsimulie kisa cha 'Akana ka Nsungu' nikasahau kufanya hivyo.
Ukisoma kisa cha 'Akana ka Nsungu' huwezi ukampuuza Mange Kimambi.
Huyu dada kwa asiye na akili atamuna ni kichaa,,lakini kwa wenye akili lazima uhisi kuwa baada ya uchaguzi kuisha kuna kitu au shadi ya kitengo kinono,,alikikosa ccm
Na ndio maana kipindi cha kampeni katika page ya insta aliipamba sana ccm na kutukana wapinzani,,,lakini baada ya mzee wa bajeti kuingia. Huyu dada alibadili msimamo gafla,,na kuhamia upinzani
My take....kuna ahadi ya fedha yawezekana alipewa kuipigia kampeni ccm...lakini hakupewa ....labda ndio chanzo
Mi nilikua najiuliza Mange kimambi ni nani hasa!! Maana amekua hana brake kwa mdomo!! Na in short namwona insta !! She is real starbon !!fearless!! Ni dhahir sirikari inamwogopa coz hana cha kuficha wala staha !! Yy anachokifikiria ndo anaandika!!Mange Kimambi ndiye mtu anayeogopwa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kuliko mtu yeyote yule duniani. Kwa jinsi ambavyo amekuwa akitukana matusi ya nguoni, kudhalilisha, kusambaza habari za uongo kuhusu Ikulu kwa kusema Makamu wa Rais ameandika barua kujiuzulu nk. Ninakiri wazi kuwa Mange Kimambi hakuna anyeweza Kumgusa maana Marekani siyo Mbali angeshafikiwa zamani sana.
Kwa jinsi alivyomtukana Waziri Mstaafu Rita Mlaki matusi ya nguoni yeye na familia yake, Niwashauri tumpigie Magoti Mange na tumbembeleze Ili apunguze matusi na udhalilishaji la sivyo kile alichokuwa akikitaka wakati anagombea tumpe maana hakuna namna
Hakuna cha Usalama wa Taifa, Hakuna Cha polisi, Hakuna cha interpol, hakuna cha Cyber, hakuna cha Ikulu
Tujifunze Kukiri na Kukubali kuwa Mange Ametushinda. Na kama ndivyo acha tu aendelee kutukana na tusiwaone mkilalalmika ktk mitandao kuwa mmetukanwa
Kwann isimfate sasa kama mkono wake ni mrefu na wenye nguvu! Binafsi huyu Dada kwa matusi hapana, aletwe tujue kama haimuogopiSerikali aiwezi kumuogopa
mange mwenyewe sindo huyu hapa, anawasikiliza kumbeHaluna lolote porojo tu!
Mtoa mada ukute mange in hasimu wako so unamchongea atumbuliwe ili wakusaidie kulipa kisasi chako
matusi ya mange yana athari kwa mtu mmoja mmoja hayana athari kwa mustakabari wa usalama wa nchi na ndio maana system inampuuza.
siku atakapo jaribu kuutukana mfumo au kuongea vitu sensitive vya nchi,hatopona.
atatumwa jasusi mmoja kwenda kumdunga polonium-210 huko huko US.tz litakuja jeneza tu.
ndio mange mwenyewe huyo, huoni anajaribu kuneutralize mamboUtakuwa mjomba wake wewe