Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Huyu kishachukua Umarekani hahitaji tena kuomba awe mkimbizi.

We unatafuta sababu ya kupata ukimbizi wa kisiasa kwa madai ya kuikosoa serikali. Tafuta mzungu mwingine uolewe huko, maana hii ya kutukana imebuma
 
acha a endelee kutukana maana wkt wa kampeni alimtukana sana mzee nywele nyeupe wakawa wanafurahia n.a. bado
 
Mange Kimambi ndiye mtu anayeogopwa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kuliko mtu yeyote yule duniani. Kwa jinsi ambavyo amekuwa akitukana matusi ya nguoni, kudhalilisha, kusambaza habari za uongo kuhusu Ikulu kwa kusema Makamu wa Rais ameandika barua kujiuzulu nk. Ninakiri wazi kuwa Mange Kimambi hakuna anyeweza Kumgusa maana Marekani siyo Mbali angeshafikiwa zamani sana.

Kwa jinsi alivyomtukana Waziri Mstaafu Rita Mlaki matusi ya nguoni yeye na familia yake, Niwashauri tumpigie Magoti Mange na tumbembeleze Ili apunguze matusi na udhalilishaji la sivyo kile alichokuwa akikitaka wakati anagombea tumpe maana hakuna namna

Hakuna cha Usalama wa Taifa, Hakuna Cha polisi, Hakuna cha interpol, hakuna cha Cyber, hakuna cha Ikulu

Tujifunze Kukiri na Kukubali kuwa Mange Ametushinda. Na kama ndivyo acha tu aendelee kutukana na tusiwaone mkilalalmika ktk mitandao kuwa mmetukanwa
Nini lengo la thread hii?
 
Huyu dada kwa asiye na akili atamuna ni kichaa,,lakini kwa wenye akili lazima uhisi kuwa baada ya uchaguzi kuisha kuna kitu au shadi ya kitengo kinono,,alikikosa ccm
Na ndio maana kipindi cha kampeni katika page ya insta aliipamba sana ccm na kutukana wapinzani,,,lakini baada ya mzee wa bajeti kuingia. Huyu dada alibadili msimamo gafla,,na kuhamia upinzani
My take....kuna ahadi ya fedha yawezekana alipewa kuipigia kampeni ccm...lakini hakupewa ....labda ndio chanzo
Hapo miaka ya nyuma kulikuwa na hadithi ya 'Akana ka Nsungu' wale watu wazima watakua wamenielewa. Ilikua inapatikana kwenye vitabu Fulani vya kiingereza kabla havijaanza kutumika vile vya akina 'Neema and Mussa, Mr and Mrs Daudi'. Age vitabu vya kina Neema and Mussa vinatumika, kile kingine kikawekwa pembeni, kikawa kinaitwa 'Kitabu cha Kiingereza cha zamani'
The Boss aliwahi kuniomba nimsimulie kisa cha 'Akana ka Nsungu' nikasahau kufanya hivyo.
Ukisoma kisa cha 'Akana ka Nsungu' huwezi ukampuuza Mange Kimambi.
 
Sasa ni haki gani hiyo unayodai unaipenda?
Afu sikuelewi ujue!
Mimi nadai haki hapa? Sidai haki yoyote..
Ila ya kaisari mpeni kaisari..
Mumemuanza wenyewe kaja msiempenda mnakuja kulia lia tulieni awanyooshe. Ili mkimtia jela sawa lakini kawafunua ufuska wenu wote
 
Binadamu wa kawaida hawezi kuporomosha matusi kihivyo bila kuwa na hofu ya Mungu, serikali ni chombo kikubwa nitashangaa km itashughulika na Mange labda kwa kumsaidia tu nikumpeleka kwenye nyumba ya vichaa
 
Hapo miaka ya nyuma kulikuwa na hadithi ya 'Akana ka Nsungu' wale watu wazima watakua wamenielewa. Ilikua inapatikana kwenye vitabu Fulani vya kiingereza kabla havijaanza kutumika vile vya akina 'Neema and Mussa, Mr and Mrs Daudi'. Age vitabu vya kina Neema and Mussa vinatumika, kile kingine kikawekwa pembeni, kikawa kinaitwa 'Kitabu cha Kiingereza cha zamani'
The Boss aliwahi kuniomba nimsimulie kisa cha 'Akana ka Nsungu' nikasahau kufanya hivyo.
Ukisoma kisa cha 'Akana ka Nsungu' huwezi ukampuuza Mange Kimambi.
Heshima yako..
Aisee kumbe hukumsimulia ... Tuwekew hicho kisa cha huyu jamaa.. Kuna member humu ndani anatumia hilo jina
 
Mtoa mada ukute mange in hasimu wako so unamchongea atumbuliwe ili wakusaidie kulipa kisasi chako
 
Huyu dada kwa asiye na akili atamuna ni kichaa,,lakini kwa wenye akili lazima uhisi kuwa baada ya uchaguzi kuisha kuna kitu au shadi ya kitengo kinono,,alikikosa ccm
Na ndio maana kipindi cha kampeni katika page ya insta aliipamba sana ccm na kutukana wapinzani,,,lakini baada ya mzee wa bajeti kuingia. Huyu dada alibadili msimamo gafla,,na kuhamia upinzani
My take....kuna ahadi ya fedha yawezekana alipewa kuipigia kampeni ccm...lakini hakupewa ....labda ndio chanzo

Kaanza zamani hata kabla ya hapo kutukana watu.
 
Mange Kimambi ndiye mtu anayeogopwa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kuliko mtu yeyote yule duniani. Kwa jinsi ambavyo amekuwa akitukana matusi ya nguoni, kudhalilisha, kusambaza habari za uongo kuhusu Ikulu kwa kusema Makamu wa Rais ameandika barua kujiuzulu nk. Ninakiri wazi kuwa Mange Kimambi hakuna anyeweza Kumgusa maana Marekani siyo Mbali angeshafikiwa zamani sana.

Kwa jinsi alivyomtukana Waziri Mstaafu Rita Mlaki matusi ya nguoni yeye na familia yake, Niwashauri tumpigie Magoti Mange na tumbembeleze Ili apunguze matusi na udhalilishaji la sivyo kile alichokuwa akikitaka wakati anagombea tumpe maana hakuna namna

Hakuna cha Usalama wa Taifa, Hakuna Cha polisi, Hakuna cha interpol, hakuna cha Cyber, hakuna cha Ikulu

Tujifunze Kukiri na Kukubali kuwa Mange Ametushinda. Na kama ndivyo acha tu aendelee kutukana na tusiwaone mkilalalmika ktk mitandao kuwa mmetukanwa
Mi nilikua najiuliza Mange kimambi ni nani hasa!! Maana amekua hana brake kwa mdomo!! Na in short namwona insta !! She is real starbon !!fearless!! Ni dhahir sirikari inamwogopa coz hana cha kuficha wala staha !! Yy anachokifikiria ndo anaandika!!
 
Mtoa mada ukute mange in hasimu wako so unamchongea atumbuliwe ili wakusaidie kulipa kisasi chako

Mange ana maadui kila kona, hata likimtokea jambo mtu akiwa smart haitajulikana ni nani ksamua kumzima kivyovyote.
 
matusi ya mange yana athari kwa mtu mmoja mmoja hayana athari kwa mustakabari wa usalama wa nchi na ndio maana system inampuuza.

siku atakapo jaribu kuutukana mfumo au kuongea vitu sensitive vya nchi,hatopona.

atatumwa jasusi mmoja kwenda kumdunga polonium-210 huko huko US.tz litakuja jeneza tu.

Mbona ana mu attack hadi muheshimiwa? Ila nahisi anafuatiliwa kimya kimya na siku zake zina hesabika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom