Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Nani mjinga zaidi Mange au watu wanaomchukulia Mange seriously.!?
Kweli..sisi ni wajinga..ila katufumbuwa macho wengi sana... Kwani pale ndy hasa BASHITE.. Alipopatikana.....NA ulikuwa unamjuwa BASHITE WEWE?na hata alivyoanza KUMTAJA BASHITE si alionekana CHIZI?leo imegundulika kumbe BASHITE KAFOJI KWELI.....uzuri wa huyu DADA anaongea na evedence....hapayuki tu.....yule haongei bila DATA...na anatupiwa na watu wa huku tanzania...na wapo watu kama wewe mnampa FALSE EVIDENCE.... na huwa ana CROSS CHECK kabla hajazitoa hewani
.maana kishajuwa kuna watu kama wewe mmetumwa kupotosha..ili ionekane anaongea UONGO......KWA wale wa LUMUMBA nina hakika HAMTAMUELEWA kamwe...LABDA YESU ASHUKE...sababu ANAPIGA PALE PALE kwenye KIDONDA KIBICHI....maumivu lazima
 
Nyie mnaoongozwa na bashite mmeongezeka iq kiasi gani?
 
Swali zuri Mange ni nani?? Jibu Mange ni mwanamke Jasiri anaejitambua Asiyependa kuona MTU anaonewa na kunyanyaswa, ni mwanaharakati wa ukweli Asiyemuogopa MTU yeyote,na Anatabia za kiume, Mange kimambi mmoja ni sawa na wanaume 20 wa DAR wale wanaowahi nyumbani saa12 jioni kwa kuwaogopa Panya_Road
 
Mbona mmeshindwa kuzaa na Museveni?
 
Nenda insta utapata habari zake leo ni ligi yake na worper kuna michambo ya harari[emoji23][emoji23]
Umenifanya nihamishe makazi insta... Mange si wa sport sport!!! Si kwa kumuumbue mwenzake vile... Eti mnuka nyapu!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Athari ni kama hii umeacha shuhuli zako umefungua thread ndefu tu ya kumjadili.
Ni kweli Mkuu....Huyu mama ame na anatumika kuwafundisha vijana wengi UBAYA katika kuwaondolea MAADILI na UZALENDO wa nchi yao..

Wengi wanasahau kuwa yeye (Mange) ni MIGULU BAJA...Kwa maana yeye ni NDUMILA KUWILI...Mguu moja ndani mmoja kwa MZUNGU ALOSTO....

Kikiwaka hapa yeye hatokuwepo..
 
Mange ni nani awakosoe wajirekebshe? Acha upuuz likubwa mwili tu
 
Nadhani we we unafata mkumbo hebu ingia kwenye account yake uniambie anafanya kazi gani zaidi ya kulelewa na mzungu tu na mpaka mzungu kamchosha.
Liambie hlo, na anajisema mwenyew mahakama imemwambia atafte kaz
 
Reactions: e2n
Mange kuna mambo anayaongea ni u kweli mtupu japo kuna mengine anayajua yeye kifupi anathubutu anafaa kuwa mbunge au mkuu wa mkoa
 
Aongelee bongo ili mumteke
 
Reactions: e2n
Si ndo watu wwnyewe nyie msio elewa maisha ni nn mnakula na kulala sasa hayo matusi habu nenda kwa baba ako kamkosoe kwa kumtukana si ndo mnavyofundishwa na mange sio.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…