Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Mleta thread tengua kauli kumuita mange kimambi MWANAHARAKATI au labda km una maana yako binafsi
Unaelewa nini kuhusu neno HARAKATI, na MWANAHARAKATI ni mtu wa aina gani. Pambanua kwanza maana ya uanaharakati ndio ulete hoja yako yakufuta kauli,ukipata majibu basi utakuwa umeshajielewesha mwenyewe nakujiongezea uelewa juu ya neno HARAKATI.
 
Unaelewa nini kuhusu neno HARAKATI, na MWANAHARAKATI ni mtu wa aina gani. Pambanua kwanza maana ya uanaharakati ndio ulete hoja yako yakufuta kauli,ukipata majibu basi utakuwa umeshajielewesha mwenyewe nakujiongezea uelewa juu ya neno HARAKATI.
Ssawa ndugu yake mwanaharakati mange kimambi.....
 
Hili swali ungeuliza mapema wakati anaanza mambo yake ule wakati wa kampeni 2015 alivyokuwa anamchamba Lowasa lingekuwa na mantiki sana, na huu usingekuwa mjadala tena maana jipu hili lingekamuliwa mapema badala ya kupakwa mafuta leo asingefikia hatua hii, ila kwa kuwa aliekuwa anatukanwa alikuwa Lowasa na ccm hawakuwa wanampenda Lowasa walimshangilia na kumita shujaa, sasa leo ushujaa umekomaa kwake tuvumilie tu.
 
Si ndo watu wwnyewe nyie msio elewa maisha ni nn mnakula na kulala sasa hayo matusi habu nenda kwa baba ako kamkosoe kwa kumtukana si ndo mnavyofundishwa na mange sio.
Mange hatufundishi sisi anawafundisha nyie manyumbu ndio maana serikali yenu imeanza kujitete kwa kila anachokisema Mange.........Na siku hizi mnalipwa buku3 sio 7 tena mtaisoma sana namba
 
Nadhani we we unafata mkumbo hebu ingia kwenye account yake uniambie anafanya kazi gani zaidi ya kulelewa na mzungu tu na mpaka mzungu kamchosha.

Mkuu unaweza kuniambia kosa la mange ni lipi hapo kuongea ukweli au kaongea kipi cha uongo ili hoja ianze hapo?
 
**NI MWANAMKE MWENYE MATATIZO YA AKILI NA MTINDIO WA UBONGO HUKO INSTAGRAM..
 
Nimepitiasehemu nimeiona hii habari nikaona ni vyema kuisambaza kwaajili ya kufanikisha shughuli za Dada yetu mpendwa Mange Kimambi. Samahani kwa mavazi katika picha hii kama yata wakwaza wengine... Huyu ni mwanaharakati


Mange Kimambi
Mwanadada mtazania anaeishi nchini Marekai ambae amejichukulia umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram kutokana na harakati zake za kisiasa katika kuikosoa serikali na viongozi bila uoga,Mange kimambi amewaomba watanzania na wadau wengine wanaoguswa na harakati zake wamchangie pesa kidogo ili aweze kuendesha vizuri harakati hizo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Mange Kimambi ameto wito kwa wadau wote kumchangia ili kuweza "kumkeep busy" kwa muda wa masaa 15 kila siku kufanya harakati.

"Nimeona harakati zangu ziendelee based on donation na sio malipo,yaani kwamba atakaeona anaweza kuchangia chochote ili kunikeep online"
"Mtu atakuwa anaweza ku-donate anytime akijisikia yeye kwa amount anayoweza yeye"
 
Ko kelele za cku zote zile kumbe lengo n kuja kufika huku kwenye kuchangiwa? Kwel kaz ngumu [emoji21] [emoji21] [emoji30]
Nasie tunaomsuportg kwa coment msitusahau cz nasi ni wanaharakat wenzie
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…