Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa nini kuhusu neno HARAKATI, na MWANAHARAKATI ni mtu wa aina gani. Pambanua kwanza maana ya uanaharakati ndio ulete hoja yako yakufuta kauli,ukipata majibu basi utakuwa umeshajielewesha mwenyewe nakujiongezea uelewa juu ya neno HARAKATI.Mleta thread tengua kauli kumuita mange kimambi MWANAHARAKATI au labda km una maana yako binafsi
Ssawa ndugu yake mwanaharakati mange kimambi.....Unaelewa nini kuhusu neno HARAKATI, na MWANAHARAKATI ni mtu wa aina gani. Pambanua kwanza maana ya uanaharakati ndio ulete hoja yako yakufuta kauli,ukipata majibu basi utakuwa umeshajielewesha mwenyewe nakujiongezea uelewa juu ya neno HARAKATI.
Si wameongeza IQ ya kwenda kuandamana na BASHITE kule ariakoo ety?Nyie mnaoongozwa na bashite mmeongezeka iq kiasi gani?
Mange hatufundishi sisi anawafundisha nyie manyumbu ndio maana serikali yenu imeanza kujitete kwa kila anachokisema Mange.........Na siku hizi mnalipwa buku3 sio 7 tena mtaisoma sana nambaSi ndo watu wwnyewe nyie msio elewa maisha ni nn mnakula na kulala sasa hayo matusi habu nenda kwa baba ako kamkosoe kwa kumtukana si ndo mnavyofundishwa na mange sio.
Nadhani we we unafata mkumbo hebu ingia kwenye account yake uniambie anafanya kazi gani zaidi ya kulelewa na mzungu tu na mpaka mzungu kamchosha.
**NI MWANAMKE MWENYE MATATIZO YA AKILI NA MTINDIO WA UBONGO HUKO INSTAGRAM..Habarini wanajamvi,
Nimekuwa nikimsikia mwanadada Mange Kimambi kama Mwanamama na Mwanaharakati Wakitanzania anayeishi nchini Marekani anaefanya harakati zake kwa njia ya Mitandao ya Kijamii kama vile INSTAGRAM na FACEBOOK.
Mwanamama huyo amekuwa akitoa hoja mbali mbali ziwe hasi au chanya zinazohusu Serikali, Taasisi na hata watu binafsi na anaonekana kupata mashabiki wengi hasa vijana wanaotumia mitandao hiyo ya kijamii.
Je? Mwendelezo wa harakati hizi unaweza kuwa na athari gani kwa vijana na watu wa rika zote wanaomfuatilia?
Ana kazi gani marekani?
**NI MWANAMKE MWENYE MATATIZO YA AKILI NA MTINDIO WA UBONGO HUKO INSTAGRAM..
unawivu ww yule mtu c wa mchezo mchezo**NI MWANAMKE MWENYE MATATIZO YA AKILI NA MTINDIO WA UBONGO HUKO INSTAGRAM..
