Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Anaibua mengi..ata N/Wazir ana jibu hoja zake
7eca9cded1c8026b500a57ea74120281.jpeg
 
Mleta thread tengua kauli kumuita mange kimambi MWANAHARAKATI au labda km una maana yako binafsi
Unaelewa nini kuhusu neno HARAKATI, na MWANAHARAKATI ni mtu wa aina gani. Pambanua kwanza maana ya uanaharakati ndio ulete hoja yako yakufuta kauli,ukipata majibu basi utakuwa umeshajielewesha mwenyewe nakujiongezea uelewa juu ya neno HARAKATI.
 
Unaelewa nini kuhusu neno HARAKATI, na MWANAHARAKATI ni mtu wa aina gani. Pambanua kwanza maana ya uanaharakati ndio ulete hoja yako yakufuta kauli,ukipata majibu basi utakuwa umeshajielewesha mwenyewe nakujiongezea uelewa juu ya neno HARAKATI.
Ssawa ndugu yake mwanaharakati mange kimambi.....
 
Hili swali ungeuliza mapema wakati anaanza mambo yake ule wakati wa kampeni 2015 alivyokuwa anamchamba Lowasa lingekuwa na mantiki sana, na huu usingekuwa mjadala tena maana jipu hili lingekamuliwa mapema badala ya kupakwa mafuta leo asingefikia hatua hii, ila kwa kuwa aliekuwa anatukanwa alikuwa Lowasa na ccm hawakuwa wanampenda Lowasa walimshangilia na kumita shujaa, sasa leo ushujaa umekomaa kwake tuvumilie tu.
 
Si ndo watu wwnyewe nyie msio elewa maisha ni nn mnakula na kulala sasa hayo matusi habu nenda kwa baba ako kamkosoe kwa kumtukana si ndo mnavyofundishwa na mange sio.
Mange hatufundishi sisi anawafundisha nyie manyumbu ndio maana serikali yenu imeanza kujitete kwa kila anachokisema Mange.........Na siku hizi mnalipwa buku3 sio 7 tena mtaisoma sana namba
 
Nadhani we we unafata mkumbo hebu ingia kwenye account yake uniambie anafanya kazi gani zaidi ya kulelewa na mzungu tu na mpaka mzungu kamchosha.

Mkuu unaweza kuniambia kosa la mange ni lipi hapo kuongea ukweli au kaongea kipi cha uongo ili hoja ianze hapo?
 
Habarini wanajamvi,

Nimekuwa nikimsikia mwanadada Mange Kimambi kama Mwanamama na Mwanaharakati Wakitanzania anayeishi nchini Marekani anaefanya harakati zake kwa njia ya Mitandao ya Kijamii kama vile INSTAGRAM na FACEBOOK.

Mwanamama huyo amekuwa akitoa hoja mbali mbali ziwe hasi au chanya zinazohusu Serikali, Taasisi na hata watu binafsi na anaonekana kupata mashabiki wengi hasa vijana wanaotumia mitandao hiyo ya kijamii.

Je? Mwendelezo wa harakati hizi unaweza kuwa na athari gani kwa vijana na watu wa rika zote wanaomfuatilia?
**NI MWANAMKE MWENYE MATATIZO YA AKILI NA MTINDIO WA UBONGO HUKO INSTAGRAM..
 
Nimepitiasehemu nimeiona hii habari nikaona ni vyema kuisambaza kwaajili ya kufanikisha shughuli za Dada yetu mpendwa Mange Kimambi. Samahani kwa mavazi katika picha hii kama yata wakwaza wengine... Huyu ni mwanaharakati


Mange Kimambi
Mwanadada mtazania anaeishi nchini Marekai ambae amejichukulia umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram kutokana na harakati zake za kisiasa katika kuikosoa serikali na viongozi bila uoga,Mange kimambi amewaomba watanzania na wadau wengine wanaoguswa na harakati zake wamchangie pesa kidogo ili aweze kuendesha vizuri harakati hizo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Mange Kimambi ameto wito kwa wadau wote kumchangia ili kuweza "kumkeep busy" kwa muda wa masaa 15 kila siku kufanya harakati.

"Nimeona harakati zangu ziendelee based on donation na sio malipo,yaani kwamba atakaeona anaweza kuchangia chochote ili kunikeep online"
"Mtu atakuwa anaweza ku-donate anytime akijisikia yeye kwa amount anayoweza yeye"
 
Ko kelele za cku zote zile kumbe lengo n kuja kufika huku kwenye kuchangiwa? Kwel kaz ngumu [emoji21] [emoji21] [emoji30]
Nasie tunaomsuportg kwa coment msitusahau cz nasi ni wanaharakat wenzie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom