TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Ndio utajiri huo wa kupata viewers auuuu?? Msaidie lara kujibu maana anauliza badala ya kujibu
Loh mi sipendi jinsi anavyotukana watu... I don't care hata awe na followers 45millions au 5. Aache si vizuri.
Hata kama anachokozwa matusi ndio suluhu?