Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
hahaha hiyo sababu ya kuwa mpare haiwezi kuwa ya mSingi!

Ni katika sakata lipi unakubali yanayo semwa juu yake ni kweli?

Unaamini yanayo semwa juu yake ni uongo mtupu? Una kubali kuwa kwa kuwa ni short tempared Kuna uwezekano ana tenda bila kufikiri kwa makini bali ana chukulia kila jambo kwa ubaya?
Je una kubaliana nami Kuna uwezekano anaona hawezi kukosea na kukosolewa?
Kusema kweli YAUKWELI NAYAJUA ILA HASEMWI KAMWE KAMA YAKE NA KISA, MWAMY, ET AL! Ila haya ya online UONGO MTUPU! The good part is HUWAGA ANAJIBU SHUTUMA ZOTE KWENYW BLOG KUANZIA AQUISATION MPAKA FACTS ANAWEKA KAMA WMAIL ZA KUOMBWA URAFIKI ETC.
Tatizo wanaomsema HAWANA BASIS YA SHUTUMA ZAO! Ukiuliza umejuaje nimesikia, kilamtu kasikia, HAJATOKEA MTU WA KUSEMA MIMI NASEMA MANGE ABCD KAMAUNABISHA SEMA SUUUU NITOE USHAHIDI, hamnaaaaaaaa! Bla bla bla!
 
Nyo watu wa darisalama.siwajui mimi, huyo mange sijui kimambi mara nasikia sinta wa necha., aaah sielewi chochote, no coments
 
suala sio mume wangu yuko wapi
ye mwenywe anapenda kuonekana yupo juu kumbe majalala its oke her dad was rich enhee sasa kampata mzungu hana kitu km jogoo wakuchorwa ndo mana anakpga kwa nje apate pesa za kujikimu.
Kauvaa mkenge watu wanamwaga ugali na maji ya kunywaaa
We cheka tu ila ukweli bosy wako kafulia mwambie arudi bongooo sie tupo tunamsubiri
Hahhaaaa! WEWE SI UNAMSEMA MUMEO WA MWENZIO? Anapenda kuonekana wapi? ULIITWA KWENYE BLOG SI KIRANGA CHAKO KIMEKUPELEKA! Ametoa tangazo katikati ya taafifa ya habari kujielezea alivo juu?

MZUNGU KWA MTU KAMA BAKHRESA ANAWEZA SEMA HANA KITU NDIO NDO MAANA NIKAKUULIZA WEWE MUMEO ANA NINI HADI UMUONE MUME WA MWENZIO HANA KITU? Usikute mumeo payroll 800,000 afu busy kwenye social media MZUNGU HANA KITU WAKATI ANAJIACHIA LASVEGAS wakati nyie hata nauli ya las vegas ukute hamna! Doooooh!
FAR PLAY THIBITISHA ULIVONAVI WEWE KBALA HUJAMSEMA MWENZIO TUJUE KAMA UKO QUALIFIED KUTOA ACCUSATION KAMA HIO! Ndo maana mwenye phd ana haki ya kusem mwenye masters hajasoma ila wa sekondari hana hio haki.
 
hapa hamna treni wala bajaj mi nakukubali sana ila hapa leo team tofauti
Kuwa na amani tu, humu tutapeana makavu mpaka mwishooo thread ikifungwa hatuweki vinyongo. Huoni Dinazarde anajificha kwenye mgongo wa LIKES Hahahaaaaa! Ngoma nzito.
 
an eye for an eye makes the world blind...........

huo ubaya kwa ubaya Max angeamua kuufanya si wangefikishana mbali..... silence is the best weapon sometimes. sasa kubwabwaja anakobwabwaja mama yule wa water Mark kuandika gazeti za Rai... kunashangaza......

mbaya zaidi kweli kadelete water mark kwann asingejifanya.mpole akakubali kosa yaani hii issue ingeisha kiulaini na wala watu wasingejari nn kimetokea.. sasa hayo magazeti ya rai na kutukana watu wasio na hatia hadi yule dada marehemu aliyepiga picha na suozy daah
 
Mimi nashindwa kuelewa anamtetea, halafu anakubali kuwa ana mapungufu ambayo watu wanayaongelea. Unajua wengine tunatoa ushauri tu kama tunavyoona mambo yanavyoenda kwenye mitandao lakini unaonekana nawe ni adui wa Mange.
Lara anatambua sana kama Mange ana madhaifu yake japo hataki kuukubali ukweli, hakuna binadamu hasiye na mapungufu yake.
USHAURI MMEOMBWA.? Si muwashauri ndugu zenu? Kuna ulazima gani nyie kungangania kumshauri mtu asietaka ushauri wenu? Mi hata siwaelewagi.
 
Lara andika kwa herufi ndogo utaeleweka tu hayo ma capital letters yanachosha kusoma....

hapa na mimi nimecheka! eti KEPITO LETAZI, hivi huyu mange ndo yule aliemtumia mwenzie email ya kuwa kaliwa makalio?
 
eti yatima wa watu we lara kwani ye ndio kawa wa kwanza kwa huo uyatima hapa duniani????
Kama sio yatima SHUKURU MUNGU SIO KUMSEMA YATIMA WA MUNGU KWAMBA SIO WA KWANZA DUNIANI! Hakupenda awe hivo, aliekupa wewe wazazi ndo kamnyima yeye wazazi wenye maisha marefu.
 
USHAURI MMEOMBWA.? Si muwashauri ndugu zenu? Kuna ulazima gani nyie kungangania kumshauri mtu asietaka ushauri wenu? Mi hata siwaelewagi.

hili nalo ndo kosa jingine la mange na washauli wake
 
USHAURI MMEOMBWA.? Si muwashauri ndugu zenu? Kuna ulazima gani nyie kungangania kumshauri mtu asietaka ushauri wenu? Mi hata siwaelewagi.

Haya mama umeshinda, naona unataka kunitukania ndugu zangu sasa.
 
Yaan Lara 1, nimekupenda bure leo, ni kweli Mange anamapungufu mengi ila binafsi nampenda sana, kupitia yeye nilipata ari ya kurudi shule kuchukua degree ya pili, ninafanya kazi na biashara zangu ambazo ninafanikiwa sana, n lastly ndoa yangu was almost dead bt kupitia blog yake nikagundua kumbe natakiwa ni work on my marriage na I have good time sasa... ki ukweli shes one woman and ahalf, sema ni huo uchizi wake sometimes......ila nampenda to death
 
unapokuwa msomi tena mama una watoto kadhaa u have to act like one. dawa ya moto sio moto wala mafuta. mange nakupenda bcoz ur hard working women ila jifunze kukubali kosa na usipende kufurahisha binadamu ili wakuone we hushindwi kitu. wewe ni mama unatengeneza dunia ya maadui wakati watoto wako wanaishi humohumo mhhh sijui unawaza nn...
 
Kusema kweli YAUKWELI NAYAJUA ILA HASEMWI KAMWE KAMA YAKE NA KISA, MWAMY, ET AL! Ila haya ya online UONGO MTUPU! The good part is HUWAGA ANAJIBU SHUTUMA ZOTE KWENYW BLOG KUANZIA AQUISATION MPAKA FACTS ANAWEKA KAMA WMAIL ZA KUOMBWA URAFIKI ETC.
Tatizo wanaomsema HAWANA BASIS YA SHUTUMA ZAO! Ukiuliza umejuaje nimesikia, kilamtu kasikia, HAJATOKEA MTU WA KUSEMA MIMI NASEMA MANGE ABCD KAMAUNABISHA SEMA SUUUU NITOE USHAHIDI, hamnaaaaaaaa! Bla bla bla!
Asante lara1 kwa Hapo kwenye green!

Kwa hiyo sio kwamba hana taitizo bali wanao msema hawayajui!

Je wewe una mchukulia Mange kama Celebrity na watu wana haki ya kuyaju maisha yake na ikiwezekana kuyachambua?

Ulishawai kukerwa na jinsi anavyo yakabili matatizo yake hasa kwa wanao onekana ni adui zake kwa kumshauri ?

Wewe Ulishawai kumkosoa?

Katika sakata la product na tuhuma za kutumia product za watu wewe una simama upande upi? Ana singiziwa? Alikuwa sawa?
 
Last edited by a moderator:
Hahhaaaa! WEWE SI UNAMSEMA MUMEO WA MWENZIO? Anapenda kuonekana wapi? ULIITWA KWENYE BLOG SI KIRANGA CHAKO KIMEKUPELEKA! Ametoa tangazo katikati ya taafifa ya habari kujielezea alivo juu?

MZUNGU KWA MTU KAMA BAKHRESA ANAWEZA SEMA HANA KITU NDIO NDO MAANA NIKAKUULIZA WEWE MUMEO ANA NINI HADI UMUONE MUME WA MWENZIO HANA KITU? Usikute mumeo payroll 800,000 afu busy kwenye social media MZUNGU HANA KITU WAKATI ANAJIACHIA LASVEGAS wakati nyie hata nauli ya las vegas ukute hamna! Doooooh!
FAR PLAY THIBITISHA ULIVONAVI WEWE KBALA HUJAMSEMA MWENZIO TUJUE KAMA UKO QUALIFIED KUTOA ACCUSATION KAMA HIO! Ndo maana mwenye phd ana haki ya kusem mwenye masters hajasoma ila wa sekondari hana hio haki.

mume wangu si maarfu na wala sina mda wa kumtangaza
ye kwa sababu anafanya maisha yake fake kila mtu amuone haya acha aumbuliwe
mzungu kitu gani kwani hamna wazungu masikini
au ye ndo wa kwanza kua na mzungu
alikua hamtoshelezi ndo mana alikua anapga show za nje kiroho safi kudadeki
mrs.water mark pole sana come back tanzania home sweet home
kumbe mume yahaya ukaona umeopoa bonge la bwana weraaaaaaaa........!!!!!!!!
bora ungebangaiza mswazi ila pedejee km kylin baby halllllaaaaaaa...m.m!
 
lara unachenga maswalii,hapa tunaongelea Mange na yanayomuhusu tu usilinganishe na ambao hawajulikanii kama ni hivyo basi mi nakuachia uwanja ujadili na wenginee ,unaulizwa swali nawe unaulizaa tueleweshe tumjue Mange na tumuelewee sio utoke nje mada hapo unaboa bana
 
Last edited by a moderator:
Kuwa na amani tu, humu tutapeana makavu mpaka mwishooo thread ikifungwa hatuweki vinyongo. Huoni Dinazarde anajificha kwenye mgongo wa LIKES Hahahaaaaa! Ngoma nzito.

usijali mi na wewe mmu "no free p policy"ipo palepale...!mpaka kieleweke
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom