Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
n
Mm nimejiajiri nauza genge,hua naingia humu nikishafunga mahesabu.Angalia muda nilioingia hapa leo hlf uangalie na muda ambao nyie majobless mmeingia humu.Najua mtajitetea kua mko nchi tunapishana na bongo,hata kama mtakua ughaibun bado naamin hamna kaz za kufanya.Tafuten shughul mfnye sio pakikucha tu mko hapa,hivi mnapataga hata muda wa kuoga kweli??
hizi ndio sababu zilizofanya Tanzania kuwa ranked in top 10 poor iq's population kwa sababu taifa limezalisha watu mazuzu kama huyu asiyejielewa.
kwamba ili uwe bize badi uee muuza genge, mtu ksma huyu ukimwambia unatengeneza pesa online hawezi kukuelewa na sidhani kama anajuwa hata freelancer ni kitu gani? bora kufuga nguruwe kuliko kuwa na viumbe mizigo kama hawa.