Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Ila binamu una mitusi mweee....manake jana uliimwaga hatari..nikajua ban itakuhusu...
Baadae uchukue maziwa kwa Mangi usukutulie mdomo...bili ntaclear binamu yako....

Dah nilijua ban itanihusu na nilijiandaa kabisa binamu, maana Jana nilivurugwa vibaya nashukur mungu kila kitu kimeenda kama nilivyopanga binamu
 
Namshangaa tu kutwa kupiga domo wakat huu mda wa kazi, simuelewi aseme tu kama na yeye ni mwanachama tuendeleze vigodor sio kuleta mambo ambayo hata, au anatuonea wivu sie ma jobless?

Anatuonea wivu atuwachee,binam next week nakwea pipa to America yo yo yo, nikuletee zawad gani nikurudii, naenda kujifungua binam kwenye hospital aliyojifungulia beyonce mtanitaka ( jot's voice
 
Haya na siku nikirudii sili mihogo,viazi,ugali si unajua ntakua nishzoea mabaga, pizza u know za bongo sio zina nyama ya kitimotoo

Hivi huko hamnaga mchunga,mnavu wala matembele.Hivi mchunga kwa kiingereza unaitwaje.
 
Ye alivyowakosoa hadi wale marehemu wasio na hatia aliwahi kuumba hata kidole?
Kwa pale nilimshusha....na ukweli usemwe mwanae mbayaaaaaaa!

daah...!!!Mange amejuta mwaka huu..!!
Muacheni jamani ashakoma watoto...!!!
kweli watoto wake wabaya mana yule bhoke hana mbele hana nyuma na wale wengine washukuru weupe tuu...!!
Ila mpotezeeni bas mnama umaarufu bure mjini!
 
ni mmama anawatoto watatu.Ana MBA ya dubai,ambayo hawezi pata kazi marekani.Alikua anaishi dubai akahamia US,sasa hakutegemea kama angepata visa alipotua tu marekani akaanza kuwatukana watz waishio huko kwamba ni maskini wakati yeye hana kazi ya maana ambayo inamwingizia kipato.Anawacheka watu wenye RN wakati yeye ana MBA na hana kazi na anaonna noma kurudi shule.
Asante ila bado not hajawa na hako kauceleb kuna vitu still alishawahi fanya.mbona Ney wa mitego anawadis mastaa wenzake ila sio hot cake kama huyu Mange.
 
Asante ila bado not hajawa na hako kauceleb kuna vitu still alishawahi fanya.mbona Ney wa mitego anawadis mastaa wenzake ila sio hot cake kama huyu Mange.

Jamani ana MBA ya Dubai
 
Mwawado!
Ahsante kwa Taarifa Lakini sherehe ni saa 10 jioni Taarifa unatueletea saa 8 Mchana sasa kwa wale wa mbali nafikiri hawatafaidika na taarifa hii.Tafadahali pamoja na kuwaga na kuwahutubia Na nyinyi msisahau kumuuliza maswali na mojawapo naomba liwe hili ,Mheshimiwa Kuna mfununu kwamba CEO wa kampuni ya Richmond ni rafiki yako wa karibu na ndicho kilichopelekea kuishauri serikali kuipatia tender kampuni hiyo ambayo haikuwa hata na ujuzi wa maswala ya umeme, sasa yeye kama balozi wetu wakati huo haoni kwamba alitanguliza ubinafsi kuliko utaifa ktk kutuletea kampuni bomu na kuisababishia Taifa hasara ya mabilioni ya Fedha? Na kama akisema hahusiki je yeye aliishauri ni nini serikali kuhusiana na kampuni hiyo hasa ukizingatia ya kwamba kwa nafasi yake kama balozi alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo kwa masilahi ya TAIFA? Nawatakia sherehe njema!

Ahaha ahah bahat mbaya sijawahi kuishi uswazi kama mange ila matusi yote ya uswazi apa ndo mwalimu. Sasa apo ndo ujiulize akina mange watoto wa Mbezi beach uswazi wameutoa wapi

Binamu Mimi naishi Mbezi africana kwa kina mange sema Mimi nipo kwa chini uku karibu na kwa zena kawawa mi ndo nipo mitaa hii
 
Nshaaribu zaman binamu, na sas ivi wameniweza mwez mzima, kwan mi najali? Watajijua wenyew na mabalaa yao min nipo kama ifuatavyo waifunge mwez mwaka watajiju sina habaree

Binamu umetisha inabidi wakupe zawadi nahisi mpaka mwaka uishe utakuwa unaongoza kwa kupata ban
 
Tatizo lenu watu wa mujini mnakariri sana mnajua kazi kuajiriwa serikalini, benki,kampuni za simu na mwisho kujiajiri kwenye maboutique na udalali.Mkishindwa sana mnatafutiwa safari za Brazil na Pakistan.

Pakistan wananyonga kama china, ukienda Brazil wakati unarudi na nyeupe, usithubutu kupanda ndege itakayopita transit Madrid, Spain
 
Pakistan wananyonga kama china, ukienda Brazil wakati unarudi na nyeupe, usithubutu kupanda ndege itakayopita transit Madrid, Spain

Ndo vijana wengi wa mujini wanapenda maisha ya fastafasta siku hizi nasikia wanafanyishwa mazoezi ya safari hizo kwa kutumia mbilimbi.
 
Ahaha ahah bahat mbaya sijawahi kuishi uswazi kama mange ila matusi yote ya uswazi apa ndo mwalimu. Sasa apo ndo ujiulize akina mange watoto wa Mbezi beach uswazi wameutoa wapi

Binamu Mimi naishi Mbezi africana kwa kina mange sema Mimi nipo kwa chini uku karibu na kwa zena kawawa mi ndo nipo mitaa hii

Kumbe binamu nawe wa kishuaa,/?/? ,
 
Kumbe binamu nawe wa kishuaa,/?/? ,

mbezi beach viwanja havikuwa dili wala havikuwa na bei na tatizo barabara ya bagamoyo rd ilifanya washuwa wengi ambao hawakuona mbali kuachana na mbezi beach.

mfano our family tulikuwa na two plots mbezi beach moja baharini kabisa alinunuwa mzungu yuko hapo hadi leo.
 
Ndo vijana wengi wa mujini wanapenda maisha ya fastafasta siku hizi nasikia wanafanyishwa mazoezi ya safari hizo kwa kutumia mbilimbi.

wala si ajabu hata kama wanafanyishwa zoezi kwa dushelele na ky jery. wanataka kudrive na kurushia mapicha instagram.
 
Nakuelewa na kila mtu anakasoro zake hasa ukiwa na hasira ! Mange kasoro yake akichokonolewa hana utu , hana utu hata kidogo but Jamani naye katukanwa sana , hasa wazazi wake ndio hasira zake we unazani kuambiwa Baba yako kaliwa Kiboga ni vizuri ?? and Yes Tumeshamjua mkorofi tunamfatafata na mambo yake wa nini ?? tunashabikia aibu yake mitandaoni ili iweje ?? si tumuache ??

hayo maswala ya baba yake tumuachie mwenyewe na kweli waliomtukania baba yake hawakufanya jema. ilaaaa me naongelea lile swala la kuwatukana watu wakati kweli kaiba pic na kufuta trade mark hafu anajifanya ajaiba. sasa kwani huyo souzy hapo alimtukania baba yake, n kusema wenzie wabaya kawaumba yeye. sasa ye si anasema anawafundisha adabu ngoja na sie tumfunde kidogo ajue kubehave like holder wa MA ya dubai.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom