roho mbaya na ugomvi na kuolewa na mzungu kijana..!!!
pia mwizi wa mawig,na amekiri anaendelea kuiba pics za magauni kutoka websites za wachina,anagawa kabang amekiri pia na hilo,halafu ni mwalimu kwa yeyote anayetaka kujifunza jinsi ya kuwa changudoa aka commercial sex worker.rafiki zake anonymous,anaishi double life hata mume wake hajui kama mke wake ni shangingi.pia jobless kama sie kutwa kushinda kwenye kiblog chake na wale zero brain wake.anasema msomi kutwa kuzurula Chinatown kama machinga