Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Men are from mars earth and women are from venus earth.
Discuss with some vivid examples.

mkuu hicho kitabu ninacho sema sijaanza kukisoma bado cuz Nina kingine nakisoma kwa muda huu ila inaonyesha ni kizuri sana au sio?
 
Ohh heloo nikizuri nilikisoma long kinahusu utofautiano wa mitazamo ya mambo kati ya men and women saivi unasoma kitabu gani i lyk books
 
Huu Uzi Ndio naumaliza mda huu...ila kidogo unicost maisha. Mungu ni mwema aliepusha Hilo janga. Ninachoweza kusema ni kwamba Mange nawe uliumbwa hukujiumba. Heshimu binadam wenzako achana na ujinga wanaokujaza Akina Koku na marichui. Karma is a bitch kumbuka.
 
Huyu ni mwadada Mtanzania ambaye anaishi ughaibuni kwa sasa, huyu Dada amejizolea umaarufu mkubwa uliomfanya kua na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kutoka na aina ya taarifa zake ambazo huzitoa ama huziandika.

Why Mange Kimambi?
Kutokana na umaarufu wake kwenye mitandao ya kijamii kuandika taarifa zinazohusu mtu yeyote pasipo kujali cheo chake au nafasi yake kwenye jamii,Inaelezwa kua hutumiwa na watu maarufu na viongozi wakubwa kupewa taarifa za siri na kuzivujisha kwenye mitandao ya kijamii! Pia kwa mujibu Mwanamitandao mwingine "lemutuz" ni kwamba huyu dada ni "FUNDI" wa kuzipata taarifa za watu maarufu kupitia marafiki zao ambao yeye hujipenyeza kama rafiki na kuzoa kila aina ya taarifa za siri atakazoona zina umuhimu kwake.Hii ndio sababu ya kufanya aaminiwe kwa taarifa zake ambazo kwa kiasi kikubwa wakati mwingine hata wahusika wakiulizwa hukiri kua ni kweli.

Binafsi nilikua simwamini kabisa Mange Kimambi kwa kujua ni mtu anayejitaftia umaarufu kwenye social media kupitia mapungufu ya maisha ya watu. Lakini baada ya kuwasikia waliokua wakihojiwa kwenye vyombo vya habari baada ya kuandikwa na yeye wakidai kua ni kweli taarifa hizo ni zao, mfano wao ni William Malecela "Lemutuzi" baada ya yeye kuandikwa na huyo kuhusu maisha yake, Mwingine ni Waziri Makamba ambaye naye aliwahi kuandikwa na huyu Dada akihusishwa na kumdanganya mzungungu mmoja kua atasaidi apate tenda kwenye ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, na Makamba alikiri kumfahamu mzungu huyo japo alikana tuhuma dhidi yake.

Kwahiyo mpaka sasa huyu Dada kulingana ukaribu wake na watu mbali mbali maarufu na wengine ni viongozi katika jamii kupitia mitandao ya kijamii,na ujasiri wake wa kuandika chochote anachokisia pasipo kujali athari yake ndiyo sababu ya baadhi ya watu kuanza kutozipuuzia habari zake.
 
Najaribu tu kujiuliza kwamba...
Kwanini serikali imekimbilia kukanusha kile alicho kuandika mange kimambi kama tetesi?
 
Kaa chini andika vizuri unachotaka kusema ni nini haswa?

Mwenyekiti CCM JF
 
Unataka kutuambia magogoni ni kweli kumechafuka wazee wanakazi ya kusuluhisha kukwepa aibu hii?
 
Unganisha dots za mleta mada, hao aliowataja kwamba wamethibitisha habari za huyu Mange, hajataja wote utaelewa anataka kusema nini.
Mimi nimesema ninachokifahamu na kusikia juu ya huyo Dada mkuu! Na nimetoa sababu ya kwanini ana followers wengi mitandaoni, Huko kwingine mimi sumo.
 
Habari za mchana ndugu zangu wa jamii forum poleni na majukumu takirabani kwa mwezi miezi miwili sasa nilianza kufuatilia kwa umakini sana posts na hoja za dada yetu blogger maarufu aishie marekani Mange Kimambi kwa maoni yangu kuna mambo huyu dada anakuawaga sahihi na kwa upande mwingine huwaga hayuko sahihi, huwaga najiulizaga maswali kichwani je angekua Tanzania angeaandika hivi, pia je ni mwanachama kweli wa ccm kama anavyodai kama ni mwanachama kweli je chama cha ccm au kama mwanaccm anavyofanya ni sahihi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom