Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
mbona barua ina neno siri halafu ipo hewani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona barua ina neno siri halafu ipo hewani
Kwa kuwa hao wanaoamiwa hawakupi wewe hizo taarifa ndiyo maana wengine wanamuona anafanya 'kitu cha ajabu'Ni upuuzi wa wale wanaoaminiwa na kupewa majukumu ndio wanamfanya huyu dada kupata sifa na kufanya yale anayofanya lakini hakuna kitu cha ajabu hapo
Aje kuongelea hapa hapa kwani yy hana kazi ya kufanya marekani? tambua yy ni mkazi wa huko lazima aongelee huko huko alipo kwani ujasiri lazima uwepo Tanzania? Watanzania wangapi wapo nje wanakerwa na udikteta wa kumkumbatia Daud bashite lakini hawathubutu kusema kitu, Vijana hawajawadharau viongozi bali tabia zao za kukumbatia Uovu ndizo huwafanya kudharaulika, heshima zipo kwa wale viongozi wanaojiheshimu tu, isipowaheshimu watanzania hakuna atakayekuheshimu dawa ya moto ni moto, wameamua kumkumbatia Daud bashite asiye na vyeti huku wafanyakazi wengine wakiwa wamefukuzwa kazi wanateseka mitaani alafu mnataka mheshimiwe kwa lipi? Ebu mfukuzeni Daud bashite muone heshima zenu zitavyorejeshwa kwa kasi.Athari itakayo kuja kurokea kwa vijana ni kuporomoka kwa maadili katika upande wa matumizi ya lugha ya staha na badala yake wataona matusi ni jambo LA kawaida tu na unaweza kutukana bila shida.
Pili, vijana wanamezeshwa mbaya sana ya kutokuthamini juhudi za serikali na matokeo yake watakuwa watu wa kulalamikia tu serikali na kutaka vitu vinavyofanywa na serikali vifanyike haraka haraka au ghafla Bini vuu.
Vijana kutokuwa na hashima kwa viongozi wao wa serikali hivyo kufanya na kuzungumza watakavyo au wanavyofikiria bila kukumbuka kuwa mbona mange haongelei hapa nchini yuko marekani ndo anatupa madongo kwa mbali kama yeye jasiri kweli si angeongelea hapahapa.
Kwa Leo niongee hayo mafupi kwanza.
Na, wewe ni walewale waliokunywa uji wa mgonjwa akafa.Athari itakayo kuja kurokea kwa vijana ni kuporomoka kwa maadili katika upande wa matumizi ya lugha ya staha na badala yake wataona matusi ni jambo LA kawaida tu na unaweza kutukana bila shida.
Pili, vijana wanamezeshwa mbaya sana ya kutokuthamini juhudi za serikali na matokeo yake watakuwa watu wa kulalamikia tu serikali na kutaka vitu vinavyofanywa na serikali vifanyike haraka haraka au ghafla Bini vuu.
Vijana kutokuwa na hashima kwa viongozi wao wa serikali hivyo kufanya na kuzungumza watakavyo au wanavyofikiria bila kukumbuka kuwa mbona mange haongelei hapa nchini yuko marekani ndo anatupa madongo kwa mbali kama yeye jasiri kweli si angeongelea hapahapa.
Kwa Leo niongee hayo mafupi kwanza.
Wajinga ni wale wasiojirekebisha baada ya kukosolewa na mange, mfano issue ya kununua ndege wakati wagonjwa Muhimbili wanalala chini, shule hazina walimu wa kutosha na nyumba za kuishi watumishi wa shule na madaktari huku wasio na vyeti wakifukuzwa kazi lakini Daud bashite yy kabakia kazini, ni aina ya mifano inayompa nafasi mange kupata wafuasi zaidi kwani amethubutu kusema ukweli ingawa Serikali imeziba masikio hawataki kusikia kitu.Nani mjinga zaidi Mange au watu wanaomchukulia Mange seriously.!?
Nadhani we we unafata mkumbo hebu ingia kwenye account yake uniambie anafanya kazi gani zaidi ya kulelewa na mzungu tu na mpaka mzungu kamchosha.Aje kuongelea hapa hapa kwani yy hana kazi ya kufanya marekani? tambua yy ni mkazi wa huko lazima aongelee huko huko alipo kwani ujasiri lazima uwepo Tanzania? Watanzania wangapi wapo nje wanakerwa na udikteta wa kumkumbatia Daud bashite lakini hawathubutu kusema kitu, Vijana hawajawadharau viongozi bali tabia zao za kukumbatia Uovu ndizo huwafanya kudharaulika, heshima zipo kwa wale viongozi wanaojiheshimu tu, isipowaheshimu watanzania hakuna atakayekuheshimu dawa ya moto ni moto, wameamua kumkumbatia Daud bashite asiye na vyeti huku wafanyakazi wengine wakiwa wamefukuzwa kazi wanateseka mitaani alafu mnataka mheshimiwe kwa lipi? Ebu mfukuzeni Daud bashite muone heshima zenu zitavyorejeshwa kwa kasi.
Sikulazimishi kukubaliana na ninachokuzunfumza ingekuwa vyema ukitoa mchango wako kwenye mada husikaNa, wewe ni walewale waliokunywa uji wa mgonjwa akafa.
Jaribu kujitambua basi
Bashite akitoka ndiyo mtapata maji au umeme na huduma zingine? Matter of fact Bashite kafanya mambo ya msingi na makubwa ikiwemo ku initiate hospital ya kina Mama na watoto wakati wenye vyeti hawajahi kufanya chochote.Bashite angekuwa kwetu Uganda siku nyingi wangezaa nae ni ingekuwa story ingawa mnasema ni mchawi sana lakini hizo hirizi zake zingetenguliwa haraka na angelazwa chali atulie hospital kama miaka 4 hivi, huko Dsm naona mnamuogopa sana ilitakiwa mda huu awe kijijni koromije anavua samaki.
Hebu ingia kwenye mita 18 zake , kama watu hawataelezwa korodani zako ni nyeusi au kijaniNani mjinga zaidi Mange au watu wanaomchukulia Mange seriously.!?
Hii haileti maana yoyote, huko Marekani sindio anakoishi! So unataka aje TZ aongee kisha arudi Marekani au.....?mbona mange haongelei hapa nchini yuko marekani ndo anatupa madongo kwa mbali kama yeye jasiri kweli si angeongelea hapahapa.
.
So mtu akikwambia korodani zangu za kijani unamuamini just like that!! Hii akili au matopeHebu ingia kwenye mita 18 zake , kama watu hawataelezwa korodani zako ni nyeusi au kijani
We mwenyewe unaongelea humu jf ambapo all ur infos are confidential,unadhani kuikosoa serekali publically ni kazi rahisi???Athari itakayo kuja kurokea kwa vijana ni kuporomoka kwa maadili katika upande wa matumizi ya lugha ya staha na badala yake wataona matusi ni jambo LA kawaida tu na unaweza kutukana bila shida.
Pili, vijana wanamezeshwa mbaya sana ya kutokuthamini juhudi za serikali na matokeo yake watakuwa watu wa kulalamikia tu serikali na kutaka vitu vinavyofanywa na serikali vifanyike haraka haraka au ghafla Bini vuu.
Vijana kutokuwa na hashima kwa viongozi wao wa serikali hivyo kufanya na kuzungumza watakavyo au wanavyofikiria bila kukumbuka kuwa mbona mange haongelei hapa nchini yuko marekani ndo anatupa madongo kwa mbali kama yeye jasiri kweli si angeongelea hapahapa.
Kwa Leo niongee hayo mafupi kwanza.
Kama ni hivyo hata wewe sio jasiri, mbona unajiita e2n? Jina gani lina namba?Athari itakayo kuja kurokea kwa vijana ni kuporomoka kwa maadili katika upande wa matumizi ya lugha ya staha na badala yake wataona matusi ni jambo LA kawaida tu na unaweza kutukana bila shida.
Pili, vijana wanamezeshwa mbaya sana ya kutokuthamini juhudi za serikali na matokeo yake watakuwa watu wa kulalamikia tu serikali na kutaka vitu vinavyofanywa na serikali vifanyike haraka haraka au ghafla Bini vuu.
Vijana kutokuwa na hashima kwa viongozi wao wa serikali hivyo kufanya na kuzungumza watakavyo au wanavyofikiria bila kukumbuka kuwa mbona mange haongelei hapa nchini yuko marekani ndo anatupa madongo kwa mbali kama yeye jasiri kweli si angeongelea hapahapa.
Kwa Leo niongee hayo mafupi kwanza.
Kwa hiyo mkuu ulitaka ndege zisinunuliwe hadi dawa ziwepo hospitali, wanafunzi wawe na madawati nk. Hii kaliWajinga ni wale wasiojirekebisha baada ya kukosolewa na mange, mfano issue ya kununua ndege wakati wagonjwa Muhimbili wanalala chini, shule hazina walimu wa kutosha na nyumba za kuishi watumishi wa shule na madaktari huku wasio na vyeti wakifukuzwa kazi lakini Daud bashite yy kabakia kazini, ni aina ya mifano inayompa nafasi mange kupata wafuasi zaidi kwani amethubutu kusema ukweli ingawa Serikali imeziba masikio hawataki kusikia kitu.
Umeeleweka vizuri sana...Athari itakayo kuja kurokea kwa vijana ni kuporomoka kwa maadili katika upande wa matumizi ya lugha ya staha na badala yake wataona matusi ni jambo LA kawaida tu na unaweza kutukana bila shida.