Huyu Mh Pinda ni mu-ikulu maana tangu kaanza kazi ikulu ndio ofisini kwake!
Kama mshauri wa marais Nyerere, Mwinyi, na Mkapa anawajibika kwa ushauri gani aliotoa kwa kufanikiwa na kufeli??
Kama katibu wa Kabineti nyaraka na miswaada ndio wajibu wake... Mmmh, iko mingi iliyomabomu!
Akiwa waziri wa TAMISEMI angalau alirekebisha unyanyasaji aliofanyiwa diwani wa upinzani Tanga. Courage??
Je, drive for results?? maana hii inagomba kweli kwa waserikali wengi wa TZ
[Kama katibu wa Kabineti nyaraka na miswaada ndio wajibu wake... Mmmh, iko mingi iliyomabomu!/QUOTE]
By the way, job description ya Clerk wa Ikulu ni nini? Isije ikawa mzee alikuwa anafile mafile na kuwapangia documents waezee?
Au ni euphemism ya Secret Service-State House?
Mavazi tu Pundit,
Chiluba aliiba pesa akanunua suti za 1 m USD.
Mimi hili jambo la kuvaa mitai mirefu, misuti ya ajabu ili kuiga wazungu.... yaani silipendi kabisa!
Kwanza who set the so called 'standards' ????
Muhimu ni usafi wa moyo na uadilifu- mavazi saa ingine huficha maovu!
PM vaa tu vazi la kawaida na heshima... sii lazima avae kama mzungu!
Waliokuwa wanaulizia mke wa waziri mkuu, huyu hapa kwenye picha kushoto anaitwa Tunu Rehani Pinda.
[media]http://bp2.blogger.com/_HO8ijU76ZcQ/R63UOe7u9jI/AAAAAAAAM9M/yr-Fqw61uE0/s1600-h/IMG_6596.JPG[/media]
Picha kwa hisani ya Muhiddin Issa Michuzi wa [media]
http://www.issamichuzi.blogspot.com[/media]
Tatizo siyo mavazi ya kiafrika, nimeongelea hili, mbona hata mzee Malecela anavaa suti zake na watu hatusemi, kwa sababu mzee anajua etiquette na anpangilia vitu.
Tatizo langu ni ile kuvaa suti tacky bila shati halafu kivest cheupe kinaonekana, on his confirmation day no less.
Clearly he is no Mandela when it comes to dress.
Naona hapa tumeshupalia mavazi. Siku hizi mimi nimejiamulia kuvaa ki-Ahmedinadijad,
bila tai shingoni baada ya tai kunihanisi na bakuli la mchuzi.
Natumai ulikuwa na maana ya picha hii hapo chini...
Jasusi hiyo poa, as long as inajulikana unavaa ki Ahmadinajad.
Tatizo ni pale unapomix Ahmadinajad na madudud mengine ya ajabu which is what our PM is doing and people do not get.Whatever you do be consistent.
Asante Kibunango,
Natumai ulikuwa na maana ya picha hii hapo chini...
picha ndiyo hiyo hasa niliyokusudia. Hapo anaonekana akiwa na mbunge wa viti maalumu Martha Mlata.
Kwani kusoma mpaka uwe mwanasiasa? Kuna courses nyingi tu pale Open University. Kwa siku hizi kukaa na bachelor degree miaka 30 bila hata kusoma ka certificate (post graduate certificate) ni uvivu wa hali ya juu.
Wengine tunaita continous improvement, sasa utaimpove vipi wakati hutaki kujiendeleza?
Si kozi zote unazohudhuria unazitia kwenye CV. Najua serikalini wana vikozi, visemina kibao ambavyo bila shaka huyu mheshimiwa amehudhuria. Mnasema ni mtu wa system, sasa mnataka na mafunzo aliyoyapata ki'system' ayaanike in public?
Kuna mwaka mmoja nilihudhuria kozi moja ya jinsi kutathimini miradi ya serikali na binafsi iliyochukua muda wa siku saba za kazi na kuwashirikisha wadau toka sekta mbalimbali nchini na nje. Siku ya kufungwa kwa Kozi hiyo Wadau toka nchini tulihamaki sana baada ya kugundua kuwa hakutotolewa vyeti. Kwa ufupi ilikuwa ni kizaazaa. Baaada ya majadiliano marefu, walioandaa kozi hiyo "Wajerumani" kupitia asasi moja ya miradi ya Afrika ya Kusini walikubali kukutumia vyeti kwa njia ya Posta...Fundi Mchundo,
Of course sio lazima apate vyeti na aandike kwenye CV. Unaweza kujiendeleza kwa kujisomea mwenyewe na inaweza isiwe rahisi kwasisi wengine kujua kama amefanya hivyo au la. Ila kwa jinsi ninavyowajua Watanzania, mtu akitaka kujisomea, atasisitiza iwepo na certificate ili aandike kwenye CV na kutundika ukutani.
Natumai ulikuwa na maana ya picha hii hapo chini...
Kwani Mh. Pinda ana mke?
mkuu nimeelewa mantiki ya mshangao wako kwani nami tangu juzi nimepatwa na mshangao kama wako.Sijui huyo tunu pinda amekuwa mke tangu lini.tz is full of surprises.Kwani Mh. Pinda ana mke?