Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
......Huyu mama Martha Mlata ni Form IV........naona anafanya kozi fulani fulani ili kujiendeleza...........Aiy shoga wee.. mkumbushie mzee basi walau ile nafasi ya Mama Mbathia kwa kuanzia jamani....
Na kwani kuoa au kuolewa ni lazima?
Hivi Condoleeza ameolewa? Au ni lesbian?
Na kwani kuoa au kuolewa ni lazima?
Hivi Condoleeza ameolewa? Au ni lesbian?
Hilo la kuwa hana MKE ni kweli najua huyu jamaa hana mke lakini sijui kama ni MHUNI na sijui kilichomuua mkewe ni nini zidi tu ya kujua kuwa alikufa baada ya "kuugua kwa muda mrefu"(whatever that means nowadays)
Sasa hili litazusha maneno ya kila namna na najua kuwa mnaotaka kumjua kwa kila namna mtaanza kuuliza membo mengi tuu ila mindhali kila mtu anauliza maswali basi nami nimeona si vibaya nikauliza:
JE TUNA UHAKIKA NA AFYA YA WAZIRI WETU MKUU MPYA?
JE HAWA MAWAZIRI NI NANI ANAWAKATIA LIFE INSURANCE ?
AT WHAT COST?
hayo tu ndio maswali yangu kwa sasa
Ashakum si matusi. Hii thread ndiyo moja ya sababu wakati mwingine hii forum inakatisha tamaa. Tuko ukurasa wa 15 na bado, tukijadili uvaaji wa PM, mke wa PM na mmoja alitaka kujua kabila la PM! Haya yote yatatusaidia nini katika hiki tunachodai ndiyo kilio chetu? Mimi naamini kuwa hali haiwezi kubadilika bila kuwa na structural changes. PM aliyepita alikuwa na kila haki kisheria kufanya biashara. Naamini kuwa kama hao Richmond wangetekeleza mkataba kama inavyopaswa tusingekuwa tunamzungumzia Pinda sasa hivi. Cha kujiuliza ni kuwa tulifikaje pale tulipofika katika mfumo wa serikali tuliokuwa nao? Itakuwaje watu wachache waweze kudharau taratibu (hata kama kwa nia njema) bila system kuwastukia? Hao wanaoitwa wataalamu na wanataaluma walikuwa wapi? Itakuwaje walikubali kupitisha maamuzi ambayo kitaaluma ni dhahiri wangeona yana matatizo? Mabadiliko gani yafanyike ili wakina Pinda na wenzake wasijikute wameingia katika mitego iliyowanasa waliowatangulia? Muungwana mmoja alianzisha thread inayohusu hili suala (angalia http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=9676 lakini kwa vile haiuhusu masuala ya ugoni wala kumbomoa mtu hakuna anayetaka kuchangia. Wote huku tuko huku tukijaribu kumvua nguo Pinda! Tuna tofauti gani na hayo magazeti ya udaku?
Yombayomba kwa data ambazo zimeshawekwa ni za kweli kuwa mizengo alioa mke wa kwanza akafa na akamuoa mdogo mtu naye akafa.
Na data za uhakika ni kwamba Tunu ni mke wake wa tatu,Pia tunu anafanya kazi usalama wa taifa ila wanasema hataendelea kwenda kazini kwa sasa kwa vile amekuwa mke wa PM.Hizi ndio data za jikoni na za uhakika.
Naomba kuuliza, nimesikia kuwa jamaa ni "born again". Ningefurahi kupata confirmation toka kwa mtu wa karibu au anayemjua vema huyu mheshimiwa..!!
Plse...!!!
Kishazi ivi huu udini na ukabila unatusaidia nini sisi watanzania?
Mods can you please move this thread to Nyapesi/Udaku? I feel like it doesnt desrve to be in this folder maana michango mingi imekaa kiudaku udaku!!!
Naomba kuuliza, nimesikia kuwa jamaa ni "born again". Ningefurahi kupata confirmation toka kwa mtu wa karibu au anayemjua vema huyu mheshimiwa..!!
Plse...!!!
Tatizo siyo mavazi ya kiafrika, nimeongelea hili, mbona hata mzee Malecela anavaa suti zake na watu hatusemi, kwa sababu mzee anajua etiquette na anpangilia vitu.
Tatizo langu ni ile kuvaa suti tacky bila shati halafu kivest cheupe kinaonekana, on his confirmation day no less.
Clearly he is no Mandela when it comes to dress.
Kambi ya Upinzani Bungeni imemtahadharisha Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda(Baby Face),
Kishazi ivi huu udini na ukabila unatusaidia nini sisi watanzania?
Mods can you please move this thread to Nyapesi/Udaku? I feel like it doesnt desrve to be in this folder maana michango mingi imekaa kiudaku udaku!!!