..........................................................................................
Umefanya kazi iliyotukuka ! Mazuri zaidi yanakuja
Aiseee !!!Huyo atakuwa ni Ndugai aliyeandaa risala ya kusomwa kwenye msiba wa mtu aliyekuwa bado hai.
Sasa je, alitabirije kifo cha mtu huku huyo mtu akingali mzima wa afya????
Ndugai is a threat to the American foreign policy interests and he deserves the travel restriction.
Sasa mkuu wewe na wengine muwege wazi basi . Mtuambiage nani huyo anayefuatia.Hatariiiiii !!!!!
Endelea kuwemo jfSasa mkuu wewe na wengine muwege wazi basi . Mtuambiage nani huyo anayefuatia.
Kwa dhati kabisa wamarekani na wadau wengine wa haki za binadamu wametusaidia sana kipindi hiki otherwise wengi tungeokotwa kwenye viroba huko coco beach.
Zamani humu ndio tulikuwa tunapata habari za mwanzo kabisa. Sasa siku hizi wadau mnaenda na codes, hata hatuelewi yaani.
Basi sawa. After all sina pa kwenda, humu humu tu yaani.Endelea kuwemo jf
Simple sana Corona imemaliza kz kubwa ya luxuries Dubai I sasa wote humu humuTaarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini na USA anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
mimacho ?Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini na USA anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
Wewe ni hasara kwa taifaKwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Mamaako ni faida kwa Taifa. Hongera sana!Wewe ni hasara kwa taifa
Hujui hasara anayopata? Account iliyowekwa 10% za ndege imebanwa kwani imekuwa ceased! Nalo Hilo hukulijua?Wewe ni hasara kwa taifa
Kuwa na kitufe Cha kuiajust hasira ndugu! Mama za watu waachwe Kama alivyoachwa mamako kwenye mjadala huu! Tujizuie sana kuwaingiza kwenye mijadala kwani ni watu muhimu sana kwa wengine, sijui wako unamchukuliaje! Tuwaheshimu tu!Mamaako ni faida kwa Taifa. Hongera sana!
Kwa kuwa hawapendi kumuambukiza CORONA!Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini na USA anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
An eye for an eye! Nami sikuwa na sababu ya kutukanwa.Kuwa na kitufe Cha kuiajust hasira ndugu! Mama za watu waachwe Kama alivyoachwa mamako kwenye mjadala huu! Tujizuie sana kuwaingiza kwenye mijadala kwani ni watu muhimu sana kwa wengine, sijui wako unamchukuliaje! Tuwaheshimu tu!
uncivilized ratMamaako ni faida kwa Taifa. Hongera sana!
i quite dont followHujui hasara anayopata? Account iliyowekwa 10% za ndege imebanwa kwani imekuwa ceased! Nalo Hilo hukulijua?
Yeah! Like your mother!uncivilized rat