tulikosea sana kuyaita haya madau ''Mababeru''.
sasa yameanza ubeberu wao.
yaani kumkatalia mtu asiingie nchini kwao tu, nchi inataka kusimama mitandaoni
They have accomplished their homework succesfully
Tuliwaonya acheni kuua na kuteka watu mkajifanya wajanja kwa kuwa mna TISS na policcm sasa mambo yameiva si tiss wala policcm wanaweza kuwasaidia.Lengo sio Makonda lengo lao ni kuchochea vurugu Tanzania. Na hivi sasa wamewapata watanzania wenzetu ambao wako tayari kufanya nankazi, basi hapo sasa ndiyo furaha yao. Huwa wanaanzaga hivi hivi.
Dalili.mbona zinajulikana. Wewe ukiona watu kama akina Maxence Melo kupata tuzo Amerika kutoka kwa Mike Pence, kwa lipi hasa? Hapo ujue tayari wamesha waingiza watu wao kwenye System yetu.
Nimshauri Rais Magufuli na Mawaziri wote nchini kuwa makini na watumishi wote wa wizara zao. Matatizo yako kwenye wizara zetu. Ukosefu wote huu wa kutokuwa na nidham na kuto fanya kazinkwa uadilifu kwa watumishi wa umma, chanzo chake ni watumishi wa umma wizarani. Ni watu wa kuwa angalia sana myenendo yao.
Ningekuwa mimi ndiyo Rais ningefukuza NGOs zote. Haya mashirika ndiyo yanayo changia kwa kiasi kikubwa kuharibu Taswira ya Afrika.
Hizi pics kwa mfano ndiyo baadhi ya picha wanazo tumia NGOs wa ujerumani kuombea donation kwa wananchi wao na serikali zao.
Maana yake ni;
"Mkate kwa ajili ya Ulimwengu"
Utafikiri kama sisi ndiyo walaji mkate kweli!
Watanzania mnaona hao watu mnao wasujudu wanavyo tuanika sisi huko kwao? Ni wanyama sana hawa watu. Halafu hela zenyewe wanazopata matokeo yake yenyewe hatuyaoni, badala yake ni wao kula life at our expence. Kila wakati utakutana nao kwenye mandege yao na kuhadithiana mambo ya Zanzibar. Washenzi sana hawa watu. Mimi siwapendi! Natamani kama Alshababu wange kuwa wanawalipua mara kwa mara mpaka wakome kuja kwetu. View attachment 1342783View attachment 1342785
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hapaTaarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
J3 naend library pale us embassy kutulia zanguThey have accomplished their homework succesfully
Tatizo lako hujui kitu. Unafikiri wewe ulo salama. Chochote watakacho kifanya kitakupata wewe na familia yako inayo kuzunguka. Wewe endelea tu kushabikia matendo yao.Tuliwaonya acheni kuua na kuteka watu mkajifanya wajanja kwa kuwa mna TISS na policcm sasa mambo yameiva si tiss wala policcm wanaweza kuwasaidia.
Hakuna wakulauma hapa eti mabeberu kwani walimtuma kuzuia haki za kiraia na za kisiasa?? Mabeberu ndio walioleta vikosi vya wasiojulikana?? Eti NGO hzi ndizo ziliungana kutete wananchi wanyonge.
Mimi niko tayari kuwafurusha hawa wakoloni weusi ili Taifa lijipange upya bora hao wakoloni weupe kuliko hawa Uchwara Wauwaji washenzi wakubwaNa hivi sasa wamewapata watanzania wenzetu ambao wako tayari kufanya nankazi
Hivi wewe huwa unapotosha kwa faida ya nani? Makonda ni masuala ya ushogaTaarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
😆😆😆😆Lengo sio Makonda lengo lao ni kuchochea vurugu Tanzania. Na hivi sasa wamewapata watanzania wenzetu ambao wako tayari kufanya nankazi, basi hapo sasa ndiyo furaha yao. Huwa wanaanzaga hivi hivi.
Dalili.mbona zinajulikana. Wewe ukiona watu kama akina Maxence Melo kupata tuzo Amerika kutoka kwa Mike Pence, kwa lipi hasa? Hapo ujue tayari wamesha waingiza watu wao kwenye System yetu.
Nimshauri Rais Magufuli na Mawaziri wote nchini kuwa makini na watumishi wote wa wizara zao. Matatizo yako kwenye wizara zetu. Ukosefu wote huu wa kutokuwa na nidham na kuto fanya kazinkwa uadilifu kwa watumishi wa umma, chanzo chake ni watumishi wa umma wizarani. Ni watu wa kuwa angalia sana myenendo yao.
Ningekuwa mimi ndiyo Rais ningefukuza NGOs zote. Haya mashirika ndiyo yanayo changia kwa kiasi kikubwa kuharibu Taswira ya Afrika.
Hizi pics kwa mfano ndiyo baadhi ya picha wanazo tumia NGOs wa ujerumani kuombea donation kwa wananchi wao na serikali zao.
Maana yake ni;
"Mkate kwa ajili ya Ulimwengu"
Utafikiri kama sisi ndiyo walaji mkate kweli!
Watanzania mnaona hao watu mnao wasujudu wanavyo tuanika sisi huko kwao? Ni wanyama sana hawa watu. Halafu hela zenyewe wanazopata matokeo yake yenyewe hatuyaoni, badala yake ni wao kula life at our expence. Kila wakati utakutana nao kwenye mandege yao na kuhadithiana mambo ya Zanzibar. Washenzi sana hawa watu. Mimi siwapendi! Natamani kama Alshababu wange kuwa wanawalipua mara kwa mara mpaka wakome kuja kwetu. View attachment 1342783View attachment 1342785
Sent using Jamii Forums mobile app
imeandikwa wapi ?
diplomasia, diplomasia, diplomasia.... kabudi na majasusi wetu mlikuwa wapi kunusa na kumwambia mzee amtumbue Makonda kabla dunia haijatangaziwa.
Fungua hiyo link au una miwengeimeandikwa wapi ?
Tunawapongeza sana kwa kuyajua majukumu yao ipasavyo![emoji847][emoji847][emoji847]
Uchaguzi mkuu ndiyo utaleta hivyo vikwazo!Soon tunachezea vikwazo nchi nzima.
halafu tuna kiji-ofisi kinajiita TISS¶UE .... haa haaa haaa
Siro anatetemeka, lakini aliandikaga barua ya kujiuzuru ikakataliwaTaarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?