Who is next ?

Who is next ?

Achana na marekani mkuu. Utawatukana na kuwaita majina yote lakini ni nchi yenye nguvu na ushawishi mkubwa mno.

Yaani trump akiamua anaweza kucollapse uchumi wetu ndani ya masaa 48 Fedha yetu ikawa haina thamani..
tulikosea sana kuyaita haya madau ''Mababeru''.
sasa yameanza ubeberu wao.

yaani kumkatalia mtu asiingie nchini kwao tu, nchi inataka kusimama mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo sio Makonda lengo lao ni kuchochea vurugu Tanzania. Na hivi sasa wamewapata watanzania wenzetu ambao wako tayari kufanya nankazi, basi hapo sasa ndiyo furaha yao. Huwa wanaanzaga hivi hivi.

Dalili.mbona zinajulikana. Wewe ukiona watu kama akina Maxence Melo kupata tuzo Amerika kutoka kwa Mike Pence, kwa lipi hasa? Hapo ujue tayari wamesha waingiza watu wao kwenye System yetu.

Nimshauri Rais Magufuli na Mawaziri wote nchini kuwa makini na watumishi wote wa wizara zao. Matatizo yako kwenye wizara zetu. Ukosefu wote huu wa kutokuwa na nidham na kuto fanya kazinkwa uadilifu kwa watumishi wa umma, chanzo chake ni watumishi wa umma wizarani. Ni watu wa kuwa angalia sana myenendo yao.

Ningekuwa mimi ndiyo Rais ningefukuza NGOs zote. Haya mashirika ndiyo yanayo changia kwa kiasi kikubwa kuharibu Taswira ya Afrika.

Hizi pics kwa mfano ndiyo baadhi ya picha wanazo tumia NGOs wa ujerumani kuombea donation kwa wananchi wao na serikali zao.
Maana yake ni;
"Mkate kwa ajili ya Ulimwengu"
Utafikiri kama sisi ndiyo walaji mkate kweli!

Watanzania mnaona hao watu mnao wasujudu wanavyo tuanika sisi huko kwao? Ni wanyama sana hawa watu. Halafu hela zenyewe wanazopata matokeo yake yenyewe hatuyaoni, badala yake ni wao kula life at our expence. Kila wakati utakutana nao kwenye mandege yao na kuhadithiana mambo ya Zanzibar. Washenzi sana hawa watu. Mimi siwapendi! Natamani kama Alshababu wange kuwa wanawalipua mara kwa mara mpaka wakome kuja kwetu. View attachment 1342783View attachment 1342785

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliwaonya acheni kuua na kuteka watu mkajifanya wajanja kwa kuwa mna TISS na policcm sasa mambo yameiva si tiss wala policcm wanaweza kuwasaidia.

Hakuna wakulauma hapa eti mabeberu kwani walimtuma kuzuia haki za kiraia na za kisiasa?? Mabeberu ndio walioleta vikosi vya wasiojulikana?? Eti NGO hzi ndizo ziliungana kutete wananchi wanyonge.
 
Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Je ni nani ?
Huyu hapa
images.jpeg
 
Tuliwaonya acheni kuua na kuteka watu mkajifanya wajanja kwa kuwa mna TISS na policcm sasa mambo yameiva si tiss wala policcm wanaweza kuwasaidia.

Hakuna wakulauma hapa eti mabeberu kwani walimtuma kuzuia haki za kiraia na za kisiasa?? Mabeberu ndio walioleta vikosi vya wasiojulikana?? Eti NGO hzi ndizo ziliungana kutete wananchi wanyonge.
Tatizo lako hujui kitu. Unafikiri wewe ulo salama. Chochote watakacho kifanya kitakupata wewe na familia yako inayo kuzunguka. Wewe endelea tu kushabikia matendo yao.

Amerika ni Taifa ambalo lina Tapatapa kwa sababu linafikia ukingoni. Hawana kitu tena. Wairan wamewaonyesha na wameshindwa kufanya kitu. Sasa wakituchokoza sisi wajue kuwa sisi ndiyo tulio wahifadhi Black Panther.

Walirudi makwao baada ya ukombozi wao. Tuta wa activate tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hivi sasa wamewapata watanzania wenzetu ambao wako tayari kufanya nankazi
Mimi niko tayari kuwafurusha hawa wakoloni weusi ili Taifa lijipange upya bora hao wakoloni weupe kuliko hawa Uchwara Wauwaji washenzi wakubwa

Hawa wakoloni weusi wametuteka nyara sisi waafrika halafu wanajifanya kukopa mabilioni kwa jina letu halafu wanakula na kufuja halafu wakati wa kulipa sisi nfio tunaokamuliwa

Mungu awajaalie Mabeberu.
 
Lengo sio Makonda lengo lao ni kuchochea vurugu Tanzania. Na hivi sasa wamewapata watanzania wenzetu ambao wako tayari kufanya nankazi, basi hapo sasa ndiyo furaha yao. Huwa wanaanzaga hivi hivi.

Dalili.mbona zinajulikana. Wewe ukiona watu kama akina Maxence Melo kupata tuzo Amerika kutoka kwa Mike Pence, kwa lipi hasa? Hapo ujue tayari wamesha waingiza watu wao kwenye System yetu.

Nimshauri Rais Magufuli na Mawaziri wote nchini kuwa makini na watumishi wote wa wizara zao. Matatizo yako kwenye wizara zetu. Ukosefu wote huu wa kutokuwa na nidham na kuto fanya kazinkwa uadilifu kwa watumishi wa umma, chanzo chake ni watumishi wa umma wizarani. Ni watu wa kuwa angalia sana myenendo yao.

Ningekuwa mimi ndiyo Rais ningefukuza NGOs zote. Haya mashirika ndiyo yanayo changia kwa kiasi kikubwa kuharibu Taswira ya Afrika.

Hizi pics kwa mfano ndiyo baadhi ya picha wanazo tumia NGOs wa ujerumani kuombea donation kwa wananchi wao na serikali zao.
Maana yake ni;
"Mkate kwa ajili ya Ulimwengu"
Utafikiri kama sisi ndiyo walaji mkate kweli!

Watanzania mnaona hao watu mnao wasujudu wanavyo tuanika sisi huko kwao? Ni wanyama sana hawa watu. Halafu hela zenyewe wanazopata matokeo yake yenyewe hatuyaoni, badala yake ni wao kula life at our expence. Kila wakati utakutana nao kwenye mandege yao na kuhadithiana mambo ya Zanzibar. Washenzi sana hawa watu. Mimi siwapendi! Natamani kama Alshababu wange kuwa wanawalipua mara kwa mara mpaka wakome kuja kwetu. View attachment 1342783View attachment 1342785

Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆😆
 
diplomasia, diplomasia, diplomasia.... kabudi na majasusi wetu mlikuwa wapi kunusa na kumwambia mzee amtumbue Makonda kabla dunia haijatangaziwa.

Sasa bestman wako anukupa ushauri ati flani hana mazara yoyote na usijali hata ukimwacha na nkeo ati! Kumbe bestman na KILI BARIIIDI zake ni mshauri hatareee
 
imeandikwa wapi ?
Fungua hiyo link au una miwenge

U.S. bans Tanzanian official who launched anti-gay crackdown

(Reuters) - The United States said on Friday it banned from visiting the country a Tanzanian official who announced a crackdown on homosexuality in Dar es Salaam in 2018.

The U.S. State Department said it was taking the action against Paul Makonda, administrative chief of the Tanzania capital, "due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

It said Makonda had "also been implicated in oppression of the political opposition, crack-downs on freedom of expression and association, and the targeting of marginalized individuals."

Source

Back
Top Bottom