Lengo sio Makonda lengo lao ni kuchochea vurugu Tanzania. Na hivi sasa wamewapata watanzania wenzetu ambao wako tayari kufanya nankazi, basi hapo sasa ndiyo furaha yao. Huwa wanaanzaga hivi hivi.
Dalili.mbona zinajulikana. Wewe ukiona watu kama akina Maxence Melo kupata tuzo Amerika kutoka kwa Mike Pence, kwa lipi hasa? Hapo ujue tayari wamesha waingiza watu wao kwenye System yetu.
Nimshauri Rais Magufuli na Mawaziri wote nchini kuwa makini na watumishi wote wa wizara zao. Matatizo yako kwenye wizara zetu. Ukosefu wote huu wa kutokuwa na nidham na kuto fanya kazinkwa uadilifu kwa watumishi wa umma, chanzo chake ni watumishi wa umma wizarani. Ni watu wa kuwa angalia sana myenendo yao.
Ningekuwa mimi ndiyo Rais ningefukuza NGOs zote. Haya mashirika ndiyo yanayo changia kwa kiasi kikubwa kuharibu Taswira ya Afrika.
Hizi pics kwa mfano ndiyo baadhi ya picha wanazo tumia NGOs wa ujerumani kuombea donation kwa wananchi wao na serikali zao.
Maana yake ni;
"Mkate kwa ajili ya Ulimwengu"
Utafikiri kama sisi ndiyo walaji mkate kweli!
Watanzania mnaona hao watu mnao wasujudu wanavyo tuanika sisi huko kwao? Ni wanyama sana hawa watu. Halafu hela zenyewe wanazopata matokeo yake yenyewe hatuyaoni, badala yake ni wao kula life at our expence. Kila wakati utakutana nao kwenye mandege yao na kuhadithiana mambo ya Zanzibar. Washenzi sana hawa watu. Mimi siwapendi! Natamani kama Alshababu wange kuwa wanawalipua mara kwa mara mpaka wakome kuja kwetu.
View attachment 1342783View attachment 1342785
Sent using
Jamii Forums mobile app