Who is next ?

Who is next ?

Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Je ni nani ?
Hii yote ni kumsafishia njia nguli wa siasa Tz mh. Tundu Antipas Lissu, kuja kuchukua nchi kiulaini, hawataamini jinsi kete zinavyochezwa kwa ajili kubwa
 
Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Ni mwezi wa maumivu kwa chama LA mbogomboga, beberu kawanyima hela za kunua wapinzani,na kuvuruga uchaguzi, hamjakaa sawa kawatandika na entry ban.
 
Kazi tunayo mwaka huu. Ndani ya siku moja, vitu vinamwagika kedekede. Kweli hii ni funga mwezi.
 
M
Lengo sio Makonda lengo lao ni kuchochea vurugu Tanzania. Na hivi sasa wamewapata watanzania wenzetu ambao wako tayari kufanya nankazi, basi hapo sasa ndiyo furaha yao. Huwa wanaanzaga hivi hivi.

Dalili.mbona zinajulikana. Wewe ukiona watu kama akina Maxence Melo kupata tuzo Amerika kutoka kwa Mike Pence, kwa lipi hasa? Hapo ujue tayari wamesha waingiza watu wao kwenye System yetu.

Nimshauri Rais Magufuli na Mawaziri wote nchini kuwa makini na watumishi wote wa wizara zao. Matatizo yako kwenye wizara zetu. Ukosefu wote huu wa kutokuwa na nidham na kuto fanya kazinkwa uadilifu kwa watumishi wa umma, chanzo chake ni watumishi wa umma wizarani. Ni watu wa kuwa angalia sana myenendo yao.

Ningekuwa mimi ndiyo Rais ningefukuza NGOs zote. Haya mashirika ndiyo yanayo changia kwa kiasi kikubwa kuharibu Taswira ya Afrika.

Hizi pics kwa mfano ndiyo baadhi ya picha wanazo tumia NGOs wa ujerumani kuombea donation kwa wananchi wao na serikali zao.
Maana yake ni;
"Mkate kwa ajili ya Ulimwengu"
Utafikiri kama sisi ndiyo walaji mkate kweli!

Watanzania mnaona hao watu mnao wasujudu wanavyo tuanika sisi huko kwao? Ni wanyama sana hawa watu. Halafu hela zenyewe wanazopata matokeo yake yenyewe hatuyaoni, badala yake ni wao kula life at our expence. Kila wakati utakutana nao kwenye mandege yao na kuhadithiana mambo ya Zanzibar. Washenzi sana hawa watu. Mimi siwapendi! Natamani kama Alshababu wange kuwa wanawalipua mara kwa mara mpaka wakome kuja kwetu. View attachment 1342783View attachment 1342785

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenena vyema na nakuunga mkono. Nafikiri Serikali ingeanza na hawa maadui wa ndani kuwashughulikia. Lakini, naamini Jiwe yuko imara na katika hili atashinda na Tanzania itasinda!
 
Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Je ni nani ?
Kigogo2014 Kasema Next Week Mambo ni Moto ngoja tusikilizie PINI ya Nne......MKUU ****** apigwe PINI na yeye.
 
Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Je ni nani ?

Wamarekani hawafanyi kazi kihivyo. Ukiona wanafanya kitu tayari wamejihakikishia
 
Ni mwezi wa maumivu kwa chama LA mbogomboga, beberu kawanyima hela za kunua wapinzani,na kuvuruga uchaguzi, hamjakaa sawa kawatandika na entry ban.
Wewe ndio unaona hivyo. Sasa subiri Oktoba, ndio utaijua CCM ni NAMBARI WANI!
 
Dola milion tank USD 500 million piga pini, mtoto wa baba kwenda USA completley STOP na kizazi chake.
Online lottery to USA stop for Tanzanian

Mtanyooka na utawala wa mabavu just the matter of time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Wewe huna akili na waliokuzaa wana hasara sana...

Huo ni Ujumbe kwa dunia nzima na wanaomtuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Hao huwa wanaanza hivyo wakitoka hapo wanaenda level za askari, Mawaziri nk
 
Kwani hayo unayoyaita makubwa yakija yatakubagua wewe kwasababu ni nyumbu wa Ufipa?
Tumeshazoea maana haya mnapoongiza ninyi sisi ni shida, kuuawa na kutekwa kama kawaida. Hivyo kwetu itakuwa kawaida. Kama hujui watu wanateseka kamuulize Kabendera
 
Ukitaka kuangusha mbuyu hukati matawi unaanza na mizizi... Kila mzizi unaokatwa ni pigo kwa mbuyu
Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Je ni nani ?

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom