Picha ninayo pata ni kwamba U.N. ni taasisi yenye elements zaki upendeleo na ubaguzi sana. Taasisi imekaa kisiasa zaidi ilivyo kidiplomasia. Ni kama vile nchi kubwa za duniani(sasa Marekani tu nadhani) wanai tumia as a way to serve their interests internationally. Because of the U.N. naiona kama an extention of the U.S. Foreign Department.
Mtanzania,
Just a point of correction. Rais wa Marekani hakaagi na kusikiliza hotuba za viongozi wa mataifa mengine UN. Actually he is among the first speakers when the General Assembly opens. Akimaliza kutoa hotuba yake huondoka na vikao vyake na viongozi wengine hufanyia kwenye hoteli ambayo inatumika kama residency ya US ambassador to the UN. Ni kweli Reagan hakumpenda Nyerere, lakini hakuwahi kuwepo general assembly when Nyerere gave a speech.
jokaKuu,
Gharama zote za kampeni ya Salim zililipwa na sisi. Saudi Arabia ilimsaidia pia lakini we bore the brunt of the expenses.
Mwanafalsafa1,
..sifahamu kwanini Kurt Waldheim aliruhusiwa kugombea term ya 3. UN ni jungu kuu, na kuna mambo mizengwe ya kila aina ktk uendeshaji wake.
..Kurt Waldheim alikwenda kuwa Raisi wa Austria.
..sidhani kama imeandikwa mahala popote ktk 'katiba' ya UN kwamba Ukatibu Mkuu ni nafasi ya mzunguko kwa mabara. nadhani suala hilo hutokea tu kama "uungwana ktk diplomasia za UN" kutoa nafasi kwa mabara ambayo hayajashika nafasi hiyo.
..mwafrika wa kwanza kuwa UN SG alikuwa ni Dr.Botrous Ghali toka Egypt. kumbuka kwamba Butrous alishiriki kwa karibu sana ktk kufanikisha kusainiwa kwa mkataba wa amani kati ya Egypt na Israel. mkataba huo unaojulikana kama the camp david accord ndiyo uliopelekea Anwar Sadat na Manaheim Begin kupeana mikono White House Lawn chini ya usimamizi wa Mzee Jimmy Carter.
Mwanafalsafa,
Reagan alikuwa very imperialistic. Yeye aliamini kuwa Marekani ndiyo supreme power na ninyi wengine ni vinchi vidogo vidogo vinavyopaswa kufuata mkumbo wa Marekani. Nasikia kwenye mkutano wao kule Cancun, walibishana sana juu ya "the magic of the free market." Nyerere akamkumbusha Reagan kuwa Marekani ililazimika kutumia watumwa kutoka Afrika kuijenga hiyo magic. Sasa sisi Waafrika twende wapi kupata watumwa?" Tangu siku hiyo Reagan never forgave this African man who dared talk like that to the leader of the free world.
Kwa wana CCM Kikwete anafaa zaidi kuliko Salim A. Salim!
Tunakoenda lazima kizazi cha sasa kitatukanwa waziwazi na wajukuu zetu!
Mtanzania,
Just a point of correction. Rais wa Marekani hakaagi na kusikiliza hotuba za viongozi wa mataifa mengine UN. Actually he is among the first speakers when the General Assembly opens. Akimaliza kutoa hotuba yake huondoka na vikao vyake na viongozi wengine hufanyia kwenye hoteli ambayo inatumika kama residency ya US ambassador to the UN. Ni kweli Reagan hakumpenda Nyerere, lakini hakuwahi kuwepo general assembly when Nyerere gave a speech.
Mtz,Mkuu Jasusi,
Kuna sehemu kweli nimeandika Nyerere aliwahi kuwa pamoja na Reagan UN? Nafikiri umenielewa vibaya.
Sikumbuki ni mkutano gani lakini haikuwa UN wakati Thatcher na Reagan walipokuwa wanacheka wakati Nyerere anaongelea madeni na kusema nchi maskini zisilipe. Nimeshindwa kukumbuka ilikuwa mkutano gani lakini for sure haikuwa UN.
Hizi habari nili zisikia tu kwa maana zina tokea wengine watoto au hatuja zaliwa.. Nime pata kusikia kuwa miaka ya themanini Salim Ahmed Salim alikua front runner katika kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa. Nikaendelea kusikia kuwa kwa ajili sisi tulikua na mfumo wa ujamaa Warusi wali support Salim kupewa lakini Wamarekani na ubepari waka pinga hili. Ikawa zuta niku vute mpaka waka amua kumpa mtu neutral ambae ange kubalika na Wamarekani na Warusi. Je kuna mwenye taarifa ili kuaje kuaje ili sisi wengine tuelewe vizuri zaidi?
Ni makosa yaliyofanyika kumtosa Salim na kumchagua Jakaya and we shall live to regret sisi na vizazi vijavyo; Mkapa ataishia pabaya kwani kwa kukiuka taratibu za uteuzi ndio Jakaya akaweza kushinda wenziwe; Kikwete analipa fadhila za mizengwe hiyo kwa kumlinda Mkapa!! Inashangaza kuwa katika karne hii CCM bado wanasema wanautaratibu waliojiwekea kuwa mgombea wao wa Urais ni lazima amalize vipindi viwili; utaratibu wa namna hii una kasoro kwani maana yake ni kwamba hata kama huyo Rais hajaperform au ni zumbukuku ili mradi alishapata kipindi cha kwanza ni lazima apate miaka mingine mitano!! Busara ya chama hiki defeats logic kwani,kumpa mtu kipindi cha pili ni lazima awe supported na performance nzuri ambayo inapatikana baada ya review ya utendaji wake katika kipindi husika. Kuna umuhimu wa wadanganyika kubadilika kwani kumuongezea Rais kipindi kingine on the basisi ya kuchekacheka tu haiwezi kutuletea maendeleo!!
ina maana wewe umezaliwa miaka ya 90?
kama ni kweli basi ishakuwa tatizo lakini bora sasa nishajua...
duh!
Busara ya chama hiki defeats logic kwani,kumpa mtu kipindi cha pili ni lazima awe supported na performance nzuri ambayo inapatikana baada ya review ya utendaji wake katika kipindi husika. Kuna umuhimu wa wadanganyika kubadilika kwani kumuongezea Rais kipindi kingine on the basisi ya kuchekacheka tu haiwezi kutuletea maendeleo!!
-
- Kuhusu Salim, huenda ni kiongozi mzuri lakini Tanzania wananchi wengi wapiga kura wa sasa hatuku-experience ubora wa uongozi wake, na hatukuwahi kumsikia anywhere akionyesha msimamo wake ulipo katika local ishus muhimu kwa mwananchi wa kawaida, ilimchukua Muungwana miaka karibu 15 kujitayarisha na urais, na wote tulijua lakini Salim tulimsikia dakika za mwisho sana, kampeni yake haikuwa strong, kambi yake haikuwa na credible people, na the worst of all hakuwa na hela za kutosha kama siasa za sasa zinavyotaka, ninaamini sana kwamba he was the best huko kwenye International Community, lakini hata huko pia ties zake na Cuba ndizo zilimletea matata sana na Reagan na kushindwa SG - UN kwa sababu CIA wanazo records zake toka akiwa anasomea ukomandoo kule, kitu ambacho kwetu kilitakiwa kuwa siri nzito sana. Halafu ni lazima tukubali kwamba wananchi wa Tanzania hatukumjua vizuri Salim na mpaka leo hatumjui vizuri, I mean who is Salim? na how did he raise to the power
Respect.
FMEs
Du,
Wenyewe wameshaamka...
Wacha wengine tujiandae kulala.
omarilyas
- Weye bwana weye acha hizo ndugu yangu, Bwa! ha! ha! njoo tukate ishus mkuu! si ndio demokrasia hii mawazo tofauti, au?
Respect.
FMEs!