William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
-
nadhani makundi yaliokuwa ccm ndio yameweza kumficha salim kwa watanzania kuweza kumjua vizuri na pia sisi watanzania uvivu wa kutaka kujua historia ya viongozi wetu ndio imetunyima kumjua vizuri.na hata kama tungemjua makundi ya viongozi wachafu wa ccm yana nguvu sana ya pesa kuliko wale viongozi wachache wasafi.
- Mwalimu alituficha wananchi kumjua Salim? Makundi ni siasa za kisasa mkuu kweli Obama bila kundi la leftist angeshinda?
Ni the question of what kundi linasimamia kwa sababu hata Salim alikuwa na kundi mkuu yaani kina Butiku, Warioba, Ndejembi na the likes, hata leo ndani ya CCM kuna makundi ambayo hayana ubaya na wananchi, ni wajibu wa anayetaka kutuongoza kujinadi wazi tumjue ni nani na anasimamia nini, si ndio maana ya kampeni au?
Respect.
FMEs!