-
- Kuhusu Salim, huenda ni kiongozi mzuri lakini Tanzania wananchi wengi wapiga kura wa sasa hatuku-experience ubora wa uongozi wake, na hatukuwahi kumsikia anywhere akionyesha msimamo wake ulipo katika local ishus muhimu kwa mwananchi wa kawaida, ilimchukua Muungwana miaka karibu 15 kujitayarisha na urais, na wote tulijua lakini Salim tulimsikia dakika za mwisho sana, kampeni yake haikuwa strong, kambi yake haikuwa na credible people, na the worst of all hakuwa na hela za kutosha kama siasa za sasa zinavyotaka, ninaamini sana kwamba he was the best huko kwenye International Community, lakini hata huko pia ties zake na Cuba ndizo zilimletea matata sana na Reagan na kushindwa SG - UN kwa sababu CIA wanazo records zake toka akiwa anasomea ukomandoo kule, kitu ambacho kwetu kilitakiwa kuwa siri nzito sana. Halafu ni lazima tukubali kwamba wananchi wa Tanzania hatukumjua vizuri Salim na mpaka leo hatumjui vizuri, I mean who is Salim? na how did he raise to the power
Respect.
FMEs