Who is Salim Ahmed Salim?

Who is Salim Ahmed Salim?

Achana na ukereketwa na chuki za kidini na kikabila. Kila mTanzania anayo haki ya kuchagua na kuchaguliwa, awe ni muislamu au mkristo. Tuangalie wasifu wa mhusika na sio dini au kabila lake.

Jibu swali: mnamuhitaji wewe na nani?
 
Umesema upande mmoja mbona mapungufu yake hukusema tutampima vipi?
 
20140410_103402.jpg

Salim Ahmed Salim

Wanajamvi,

Niliaanza kuandika na gazeti la Africa Events mwaka 1988.

Gazeti hili likichapwa London na mhariri wake wa kwanza alikuwa Mzanzibari
Mohamed Mlamali Adam.

In Sha Allah nikapata wasaa kila nitajaribu kuweka hapa jamvini makala zangu
na za Mlamali Adam kuhusu siasa za Tanzania.

Mlamali Adam peke yake bila ya makala zake ni somo la kutosha.
Kalamu ya Mlamali inakata kama upanga.

Wakati ule waandishi wengine waliokuwa Africa Events walikuwa Ahmed Rajab,
Abdilatif Abdallah
na Yahya Saleh.

Hapa nyumbani gazeti lilipendwa sana lakini waliokuwa madarakani liliwakera.

Nilitembelea ofisi za Africa Events, Banner Street mwaka 1991 nikipita njia
kuelekea Glasgow, Scotland.

Tuendelee...

Unaweza kumtambua huyo aliye kwenye jalada la toleo hilo hapo juu Africa
Events Vol. 5 No. 9 September1989 ni nani?

Huyo ni Salim Ahmed Salim wakati huo Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi Huru
za Afrika (OAU).

Ndani ya gazeti hili kuna makala yangu iliyochapwa kuhusu Salman Rushdie na
kitabu chake ''The Satanic Verses.

Kitabu hiki ndicho kilichosababisha Imam Khomeni kutoka ''fatwa,'' Rushdie auawe
kwa kumkashifu Mtume Muhammad (SAW).

Ilikuwa kuanzia hapo neno, ''fatwa,'' likajulikana dunia nzima.

AHMED+RAJAB+AND+ABDILATIF+ABDALLAH.jpg

Aliyekaa Chini ni Ahmed Rajab na Aliyesimama ni Abdillatif Abdallah

20140410_103443.jpg
 
"The Satanic Verses" ni hadithi tu, ilikuwaje wewe Mohamed Saidi kuishambulia hadithi? Mbona ziko hadithi nyingi sana ambazo zimewahi kuwaudhi watu lakini waudhika wakaamua kupozea tu! Nini lengo la thread hii hapa leo?
 
Acheni kujadili hii makitu. Kuna Rasimu ya Katiba mpya mbele yenu. Jadili katiba na Utanganyika wetu kwa sasa
 
"The Satanic Verses" ni hadithi tu, ilikuwaje wewe Mohamed Saidi kuishambulia hadithi? Mbona ziko hadithi nyingi sana ambazo zimewahi kuwaudhi watu lakini waudhika wakaamua kupozea tu! Nini lengo la thread hii hapa leo?

Gwalihenzi,
Kwanza tuanze na lengo la thread hii.

Hivi sasa napekua maktaba yangu na In Sha Allah nimezimia kuwa kila nikikuta
kitu ambacho naona kitakuwa na manufaa kwa njia moja au nyingine nitakiweka
hapa jamvi kisomwe.

Hili ndilo lengo la uzi huu.

Ama kuhusu mimi kumshambulia Rushdie ni kwa kuwa alimkashifu Mtume (SAW).
 
20140410_103402.jpg

Salim Ahmed Salim

Wanajamvi,

Niliaanza kuandika na gazeti la Africa Events mwaka 1988.

Gazeti hili likichapwa London na mhariri wake wa kwanza alikuwa Mzanzibari
Mohamed Mlamali Adam.

In Sha Allah nikapata wasaa kila nitajaribu kuwekahapa jamvini makala zangu
na za Mlamali Adam kuhusu siasa za Tanzania.

Mlamali Adam peke yake bila ya makala zake ni somo la kutosha.
Kalamu ya Mlamali inakata kama upanga.

Wakati ule waandishi wengine waliokuwa Africa Events walikuwa Ahmed Rajab,
Abdilatif Abdallah
na Yahya Saleh.

Hapa nyumbani gazeti lilipendwa sana lakini waliokuwa madarakani liliwakera.

Nilitembelea ofisi za Africa Events, Banner Street mwaka 1991 nikipita njia
kuelekea Glasgow, Scotland.

Tuendelee...

Unaweza kumtambua huyo aliye kwenye jalada la toleo hilo hapo juu Africa
Events Vol. 5 No. 9 September1989 ni nani?

Huyo ni Salim Ahmed Salim wakati huo Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi Huru
za Afrika (OAU).

Ndani ya gazeti hili kuna makala yangu iliyochapwa kuhusu Salman Rushdie na
kitabu chake ''The Satanic Verses.

Kitabu hiki ndicho kilichosababisha Imam Khomeni kutoka ''fatwa,'' Rushdie auawe
kwa kumkashifu Mtume Muhammad (SAW).

Ilikuwa kuanzia hapo neno, ''fatwa,'' likajulikana dunia nzima.

20140410_103443.jpg

No news for Salim Ahmed Salim. What did you want us to know here at JF? Did you want to tell us that he has been part of the book 'The Satanic Verses' or he denied the freedom for the same at OAU? I do not see the link here unless otherwise you open up with more insight.
 
Mkomamanga,
Nimeweka hapo hilo gazeti kama kumbukumbu ya nilikotoka katika uandishi.

Gazeti lile ndani ipo makala yangu kama ulivyoona.
 
Nilipenda kusoma Afica Events - ndio walioandika kuwa President Mwinyi alilazimishwa kumteua General Kyaro kuwa CDF pamoja na ukweli kuwa hakujua kusoma wala kuandika?
 
20140410_103402.jpg

Salim Ahmed Salim

Wanajamvi,

Niliaanza kuandika na gazeti la Africa Events mwaka 1988.

Gazeti hili likichapwa London na mhariri wake wa kwanza alikuwa Mzanzibari
Mohamed Mlamali Adam.

In Sha Allah nikapata wasaa kila nitajaribu kuweka hapa jamvini makala zangu
na za Mlamali Adam kuhusu siasa za Tanzania.

Mlamali Adam peke yake bila ya makala zake ni somo la kutosha.
Kalamu ya Mlamali inakata kama upanga.

Wakati ule waandishi wengine waliokuwa Africa Events walikuwa Ahmed Rajab,
Abdilatif Abdallah
na Yahya Saleh.

Hapa nyumbani gazeti lilipendwa sana lakini waliokuwa madarakani liliwakera.

Nilitembelea ofisi za Africa Events, Banner Street mwaka 1991 nikipita njia
kuelekea Glasgow, Scotland.

Tuendelee...

Unaweza kumtambua huyo aliye kwenye jalada la toleo hilo hapo juu Africa
Events Vol. 5 No. 9 September1989 ni nani?

Huyo ni Salim Ahmed Salim wakati huo Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi Huru
za Afrika (OAU).

Ndani ya gazeti hili kuna makala yangu iliyochapwa kuhusu Salman Rushdie na
kitabu chake ''The Satanic Verses.

Kitabu hiki ndicho kilichosababisha Imam Khomeni kutoka ''fatwa,'' Rushdie auawe
kwa kumkashifu Mtume Muhammad (SAW).

Ilikuwa kuanzia hapo neno, ''fatwa,'' likajulikana dunia nzima.

AHMED+RAJAB+AND+ABDILATIF+ABDALLAH.jpg

Aliyekaa Chini ni Ahmed Rajab na Aliyesimama ni Abdillatif Abdallah

20140410_103443.jpg

mbona kichwa cha habar hakilingani na habar iliyopo ndan!!au umemua kutumia jina lake kuvuta wasomaji?
 
Kwanza weka hapa kitabu kizima cha satanic verse then tujue kilichoko ndan kilochokufanya ukasilike,hata kiongoz Wa Iran kutangaza fatwa pia uingereza Kuamua kutumia kodi Za waingereza kumlinda.
vipi kilichoandikwa humo hakina ukweli wowote?
 
Back
Top Bottom