Who is Salim Ahmed Salim?

Who is Salim Ahmed Salim?

Kikwete hatothubutu kumteua mtu ambaye anaweza kumpiku umaarufu/kumfunika ili awe makamu wake.Salim ndiye ataonekana Rais na Kikwete Msaidizi wake.Kingine mtandao wanafanya juu chini hiyo nafasi asipewe mtu ambaye ni ambitious/influential anayeweza kuwa potential runner come 2015.Hivyo nafasi ya Salim kuteuliwa uVP ni finyu sana.
Nadhani Salim anaijutia offer ya Mkapa ya uVP,nafasi ambayo ingemuweka pazuri sana kuidhibiti mizengwe ya mtandao na hivyo kuwa Rais 2005.
Hii kuwa Mkapa alimu offer Salim U-Vipi ni kweli jamaa au maneno ya mtaa tu? Maana wakati wa msiba wa Vip Omar Ali Juma nafiriki ilikuwa 2001 Salim alikuwa ndio kwanza ka retire OAU nilifikiri angeweza kupewa nafasi ile lakini nikasikia Mkapa alikwepa kwa hofu kuwa alikuwa tayari mtu maarufu angeweza kumfunika Rais
 


Semilong!

All said and done! Charity begins at home!!Hapa Tanzania Salim Mohamed Salim atakumbukwa kwa kitu gani siku akienda mbele ya haki! Ninachokumbuka huyo ALIPEWA udaktari wa heshima sawa na aliopewa JMK aka Matonya kule Nairobi. Huyo Salim alfeli form six kama sikukosea na baada ya mapinduzi akawa Balozi huko Egypt period. From there amekuwa akipaa na akaanguka the same way. Hata huko Unguja hawamtaki for historical reasons!!

Wakati Marehemu Julius Kambarage Nyerere anamnadi kugombea kuwa Katibu Mkuu wa UN alipata taabu sana alipompeleka kwa RAIS wa USA alimwambia point blank kwamba USA haiwezi kumuunga mkono since he only had formal education!!!

Pamoja na kuungwa mkono na China hata Soviet Union (Warusi walimpigia kura ya miguu) kwa hiyo tatizo kubwa lake ni elimu ya kuchomekea na ameshindwa kustand alone mpaka mbeleko imechanika!!!! The end justify the means!!

Tusipoteze muda mwache ajiishie na takrima za huko Darfur na Zain!!! Hivi si ndio hao hao walioilamba TTCL kwa mlango wa Celte!! Kalakabaho!!!!!

Maneno yako ni makali sana na ambayo yanaonekana kabisa kuwa ni BIAS. Hivi miaka aliyosoma Dr Salim kulikuwepo Form VI au Middle class?

Kwa wale tuliokuwepo miaka ya 80, tunamkumbuka sana kwa kuruhusu mitumba iingine nchini kwani baadhi ya watu walifikia hata kuvaa magunia. Inawezekana kabisa wewe umezaliwa miaka ya 90s
 
Akaachwa na chama cha madongo ()CCM). Mtu ambaye anashika simu na kuzungumza moja kwa moja na wakuu wote wa duniani, mnamwacha kwa kichaa chenu. Potelea mbali, Watanzania majaaliwa yao ni kufa mafukara wasioendelea. Wee mtu gani mwenye akili atamwacha Salim Salim amchague JK?
 
Akaachwa na chama cha madongo ()CCM). Mtu ambaye anashika simu na kuzungumza moja kwa moja na wakuu wote wa duniani, mnamwacha kwa kichaa chenu. Potelea mbali, Watanzania majaaliwa yao ni kufa mafukara wasioendelea. Wee mtu gani mwenye akili atamwacha Salim Salim amchague JK?

The fate of Dr. Salim ni mfano mzuri jinsi viongozi mbali mbali katika CCM wanavyo betray principles upon which the party was founded. Wana ubaguzi. Lakini hawakuanza miaka ya karibuni. Baada ya mapinduzi visiwani, kuna viongozi Zanzibar ambao hawakutaka Salim aende popote kama kiongozi. Hata Tanzania bara, kuna viongozi katika CCM ambao hawakutaka Salim awe raisi wa Tanzania.

Upinzani mkubwa ulitoka visiwani lakini pia kuna "Watanganyika" ambao walikuwa totally opposed to Salim becoming president of Tanzania.

Halafu sasa tunasikia Ukatoliki wa Dr. Slaa na kwamba hafai kuwa rasi kwa sababu - ni Mkatoliki. Dr. Salim is not "qualified" because he is an Arab. Who is next?
 
The fate of Dr. Salim ni mfano mzuri jinsi viongozi mbali mbali katika CCM wanavyo betray principles upon which the party was founded. Wana ubaguzi. Lakini hawakuanza miaka ya karibuni. Baada ya mapinduzi visiwani, kuna viongozi Zanzibar ambao hawakutaka Salim aende popote kama kiongozi. Hata Tanzania bara, kuna viongozi katika CCM ambao hawakutaka Salim awe raisi wa Tanzania. Upinzani mkubwa ulitoka visiwani lakini pia kuna "Watanganyika" ambao walikuwa totally opposed to Salim becoming president of Tanzania.

Halafu sasa tunasikia Ukatoliki wa Dr. Slaa na kwamba hafai kuwa rasi kwa sababu - ni Mkatoliki. Dr. Salim is not "qualified" because he is an Arab. Who is next?
correction, sio kwa sababu mkatoliki ila kwa sababu kanisa linataka kumtumia, mbona tuliongozwa na Nyerere mkatoliki? huyo bwana kanisa linatumia nguvu ndio maana tunamkataa kwa nguvu, kanisa liendelee kutulea kiroho haya ya kaisari watuachie sisi tumpelekee wenyewe.
 
correction, sio kwa sababu mkatoliki ila kwa sababu kanisa linataka kumtumia, mbona tuliongozwa na Nyerere mkatoliki? huyo bwana kanisa linatumia nguvu ndio maana tunamkataa kwa nguvu, kanisa liendelee kutulea kiroho haya ya kaisari watuachie sisi tumpelekee wenyewe.
Hata Nyerere mlikuwa mnanong'ona under your breath kuwa anatumiwa na kanisa Katoliki. Uwongo, kweli?
 
Semilong!

All said and done! Charity begins at home!!Hapa Tanzania Salim Mohamed Salim atakumbukwa kwa kitu gani siku akienda mbele ya haki! Ninachokumbuka huyo ALIPEWA udaktari wa heshima sawa na aliopewa JMK aka Matonya kule Nairobi. Huyo Salim alfeli form six kama sikukosea na baada ya mapinduzi akawa Balozi huko Egypt period. From there amekuwa akipaa na akaanguka the same way. Hata huko Unguja hawamtaki for historical reasons!!

Wakati Marehemu Julius Kambarage Nyerere anamnadi kugombea kuwa Katibu Mkuu wa UN alipata taabu sana alipompeleka kwa RAIS wa USA alimwambia point blank kwamba USA haiwezi kumuunga mkono since he only had formal education!!!

Pamoja na kuungwa mkono na China hata Soviet Union (Warusi walimpigia kura ya miguu) kwa hiyo tatizo kubwa lake ni elimu ya kuchomekea na ameshindwa kustand alone mpaka mbeleko imechanika!!!! The end justify the means!!

Tusipoteze muda mwache ajiishie na takrima za huko Darfur na Zain!!! Hivi si ndio hao hao walioilamba TTCL kwa mlango wa Celte!! Kalakabaho!

Asante, kwa pande hii ya story angalau inbalance! My take is shud not skip education
 
correction, sio kwa sababu mkatoliki ila kwa sababu kanisa linataka kumtumia, mbona tuliongozwa na Nyerere mkatoliki? huyo bwana kanisa linatumia nguvu ndio maana tunamkataa kwa nguvu, kanisa liendelee kutulea kiroho haya ya kaisari watuachie sisi tumpelekee wenyewe.
Mkuu una uhakika kuwa kanisa linataka kumtumia Slaa? Mimi naogopa sana namna ya serikali hii inavyoyataka madaraka. Mwaka 2005 wapinzani wa JK waliundiwa mizegwe na kashfa kama yeye hana tatizo. Wananchi walikuwa hawajui mtandao ulikuwa una nia gani.

Leo hii baada ya kuona anapata upinzani toka kwa Slaa anaanza tena kuitumia dini kama kigezo cha kumuangusha mpinzani wake. Hivi nani atanufaika kama leo dini au vyama vyetu vikawa ndio chanzo cha machafuko?

Mkuu Burn, nguvu ya kanisa katoliki haitegemei kama Slaa yupo upande wao au la! Wale wanaolifahamu kanisa wanajua hilo. Haliwezi kutetereshwa ati kwasababu leo hii mtu fulani yupo madarakani au la. Influence yake is universal...we are wasting time to fight something that we cannot defeat. We cant defeat Catholic church by these fabricated stories,aiming at turnishing her image in Tanzania.

Kwenye vile vikao vytu vya kahawa, tutumie muda kutafakari jinsi ya kupigana na umaskini. Vita hivi visivyo na macho vya kidini havitatoa yale tunayoyatamani. Period!!
 


Semilong!

All said and done! Charity begins at home!!Hapa Tanzania Salim Mohamed Salim atakumbukwa kwa kitu gani siku akienda mbele ya haki! Ninachokumbuka huyo ALIPEWA udaktari wa heshima sawa na aliopewa JMK aka Matonya kule Nairobi. Huyo Salim alfeli form six kama sikukosea na baada ya mapinduzi akawa Balozi huko Egypt period. From there amekuwa akipaa na akaanguka the same way. Hata huko Unguja hawamtaki for historical reasons!!

Wakati Marehemu Julius Kambarage Nyerere anamnadi kugombea kuwa Katibu Mkuu wa UN alipata taabu sana alipompeleka kwa RAIS wa USA alimwambia point blank kwamba USA haiwezi kumuunga mkono since he only had formal education!!!

Yani mheshimiwa umeamua kudanganya umma wazi wazi? The obvious conclusion ni kuwa umesukumwa na chuki kutuandikia uongo.

Educational Qualifications and Honorary Degrees:
Dr. Salim undertook studies at the University of Delhi, India (1965-1968) and proceeded to obtain a Masters Degree in International Affairs in January 1975 at Columbia University in New York. He holds six Doctorates (Honoris Causa) including: Doctor of Laws, the University of Philippines at Los Baños (1980), Doctor of Humanities, University of Maiduguri, Nigeria (1983), Doctor of Civil Law, University of Mauritius (1991), Doctor of Arts in International Affairs, University of Khartoum, Sudan (1995), Doctor of Philosophy in International Relations, University of Bologna, Italy (1996), and Doctor of Laws, University of Cape Town, South Africa (1998).

Source Biography of Dr. Salim Ahmed Salim
 
Nyerere alitaka Dr. Salim awe raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Mwalimu kung'atuka 1985. Lakini kulikuwa na upinzani mkubwa kutoka Baraza la Mapinduzi, Zanzibar, ambalo lina viongozi wenye ubaguzi. Walimpinga tena mwaka 2005 alipogombea uraisi wa Jamhuri ya Muungano.

Wapinzani wa Salim walisema pia kwamba akichaguliwa kuwa raisi, atalipiza kisasi kwa sababu Waarabu wengi waliuawa wakati wa mapinduzi. Kwahiyo, yeye kama Mwarabu, asipewe nafasi hiyo.

Halafu kuna ambao walisema alijua kuhusu mpango wa kumuua Karume kwa sababu aliwahi kuwa mwanachama wa Umma; pia kwa sababu alikuwa karibu sana na Abdulrahman Babu aliyelaumiwa, na kushitakiwa, kuwa kiongozi wa mpango wa kumuua Karume na kupindua serikali ya Zanzibar.

Pia kuna wapinzani wake ambao hawakupenda awe raisi wa Tanzania kwa sababu alikuwa karibu sana na Nyerere. Alikuwa mwaminifu kwa Nyerere na Nyerere pia alimpenda sana. Kwahiyo kumchagua Salim kuwa raisi ingekuwa ni sawa na kumchagua Nyerere kuendelea kuwa raisi wa Muungano pamoja na sera zake za ujamaa na kadhalika.

Pia Nyerere hakuambiwa ukweli na Wazanzibari fulani - mmoja wao Ali Hassan Mwinyi - waliosema watamuunga mkono Salim kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.

Uamuzi wa viongozi hao wenye ubaguzi ulimzuia Dr. Salim kuwa raisi wa Tanzania - "one of the best presidents Tanzania never had."

Kuna mengi yaliyotokea kwenye mikutano ya viongozi wa visiwani na bara walipokutana Ikulu mwaka 1985 na kujadili nani awe raisi wa Muungano baada ya Nyerere kung'atuka. Mmoja wao ni Seif Sharif Hamad aliyekuwa kwenye mikutano hiyo kama mmoja wa viongozi kutoka Zanzibar. Ameandika yafwatayo katika kitabu, Race, Revolution, and The Struggle for Human Rights in Zanzibar: The Memoirs of Ali Sultan Issa and Seif Sharif Hamad:

"On April 12,1984, Prime Minister Sokoine, with whom we had excellent relations, died in a road accident....

Salim Ahmed Salim was appointed the new prime minister. He was forty-two years old, and I was forty-one; we were both from Pemba, both Front-liners, and both popular on the mainland.

Salim had actually once been a young member of the ZNP but had broken away when Babu formed the Umma Party. Karume had nominated him as Tanzania's ambassador to Egypt. Nyerere was very impressed by how seriously Salim took his responsibilities in Cairo; although very young, he was one of our best ambassadors....

He was very hard-working, clean, and incorruptible, and that impressed Mwalimu....The two of us had very good relations.

The hard-liners were obviously not happy with political developments in 1983 and 1984, so they began to intrigue. They knew Nyerere would soon retire from politics, so they plotted about who should succeed him. They did not want Salim Ahmed Salim - the new prime minister - and me to continue in our positions or to be considered for further promotion.

My sin was that I came from Pemba. They alleged, meanwhile, that Salim was an Arab, and as a former member of the Umma Party, he somehow knew of the conspiracy to kill Karume. They campaigned a lot and managed to convince some party elders that Salim should not be president because he would supposedly avenge the mistreatment of Arabs in Zanzibar during the revolution. History repeats itself because the same arguments were used against him in 2005.

Mwalimu thought Salim was the best candidate; Salim told me that Nyerere called him and said openly to him: 'I am leaving, and I think you're the proper person to succeed me.'

Salim told Nyerere that Vice President Mwinyi should automatically be the candidate for that position. Mwalimu replied, 'Don't worry about that because I've spoken to Ali, and he thinks you should take over.'

After that, Salim went to see Mwinyi, told him what Nyerere had said, and asked for his opinion. Mwinyi said Nyerere had consulted him, and he was not interested in the union presidency, adding, 'I'm satisfied in my present position as president of Zanzibar, and I think you're the proper person to lead Tanzania.'

Despite these conversations, the Liberators campaigned very hard for Mwinyi to succeed Nyerere, so we Front-Liners appointed a team to see Mwinyi. The team members emphasized that he was doing very well in Zanzibar, that Zanzibaris still needed him, and that it was inappropriate to abandon them when they placed so much hope in him. Mwinyi's response was, "Don't worry. Salim is the best candidate, and even if my name is proposed, I'll withdraw in favor of Salim.'

I also had a private talk with Mwinyi, and he reiterated that he was not interested in the union presidency. I advised Mwinyi that, if he really was not interested in succeeding Nyerere, he should personally tell him so. If he did not, it would be very difficult, as vice president, for his name not to be considered. He accepted my advice.

Yet when the time came in 1985 for the Central Committee to nominate candidates, we had dinner together in his private rooms, and he informed me that he had not gone to Nyerere as I had suggested. It was now clear that the man was interested.

The next morning the Central Committee met in the State House in Dar es Salaam to nominate candidates. Nyerere said that, first of all, the committee should spell out the qualities a candidate should possess, and about thirty-five qualities were mentioned.

After that, Nyerere said that we had three names to consider: Ali Hassan Mwinyi, Salim Ahmed Salim, and the secretary-general of the party, Rashidi Mfaume Kawawa.

Usually, those candidates who were mentioned then left while the others discussed their credentials. But before anyone left, Kawawa stood and asked the committee to withdraw his name, giving two reasons. First, he was not a very well man in terms of his health. Second, if he were nominated, people would generally think there would not be any changes, due to his long association with Nyerere since the 1950s. Nyerere said we had to respect Kawawa's views.

After that, Mwinyi and Salim were asked to leave. Really, the discussion was only about Mwinyi and whether the committee thought he had the necessary qualities. We agreed he had most of them, and Salim was not even discussed. Nyerere did not push Salim's name, probably because the Old Guard of both the TANU and the ASP teamed up to oppose him.

So the two candidates were called in and informed of the decision, and I could see the disappointment in Salim's face.

Salim was very loyal to Nyerere and did not expect this to happen. Salim never then or later ever uttered a word against Nyerere, but I blamed Nyerere, saying, 'Why did he give you all this hope? You had the right to be informed.'

He said, 'No, don't blame Mwalimu because he acted under pressure.'

He was very magnanimous, really." - (G. Thomas Burgess, ed., Race, Revolution, and The Struggle for Human Rights in Zanzibar: The Memoirs of Ali Sultan Issa and Seif Sharif Hamad, Athens, Ohio, USA: Ohio University Press, 2009, pp. 241, 245 - 246).
 
shwari asante kwa kutuletea hilo dondooo

kule kwetu zanzibar kuzito kuna mambo kule
 
CCM wakituletea huyu 2010 mbona nitawapenda!!, kama hawataweza kumwambia Vasco da Gama aachie usukani, basi angalau wamsimamishe Visiwani Zanzibar. just a wish

Tena kama hawataki, heri utaratibu wa mgombea binafsi ungeharakishwa, hapo watanzania tunakamata huyu tunaunganisha na Dr.Slaa, bonge la timu ya ushindi halafu uone kama TZ haitabadilika,au sio jam

Salim anafaa lakini kwa ccm haingii ikulu hata kwa risasasi kumbukeni Mwalim alifanyiwa intavyu na BBC sikumbuki vizuri lakini ni wakati Tz imeanzinsha mfumo wa vyama vingi,aliuliswa kuwa watugani anawaamini kuongoza taifahili katika majina aliyotaja DK salim alikuwemo naaliwasifu kuwa niwatu waaminifu hawahusiki na korapshen Maalim Sefu pia jina lake alilitaja na Mzee wa Mtera, lakini ccm hawataki watu watakakuwa zidi ya maslahi ya watu flani, wanataka mtutu atakae walinda labda tumuombe DK ajiunge na chadema au caf
 
Jamani wanajf wenzangu msinishambulie kabisa, mimi ni mwanakijiji mwenzenu nipo uingereza lakini nimemaliza masters ndio naosha macho kidogo kabla sijarudi kujiunga nanyi lakini nina mambo mawili nataka niwaambie.

Nimewavutiwa mno na jamiiforum lakini mwenye hii blog ni nani ila mimi siwajui mastaa wa tanzania kwahiyo kama ana jina kubwa nitakuwa simjui lakini naomba mniambie nani mwenye hii blog. Nampenda sana ninaguess atakuwa mmama msinicheke hapa.

La pili , ni hivi watu hawataki kurudi huko kwasababu ya mkwere, mbona mmetuangusha jamani siyo tuliopo huku? Naomba majibu yaliyo makini hapa sitaki utani
 
nitafurahi mno kumjua naomba hata na picha yake mnipe yani muiweke hapa nimetokea kupenda ila nina uhakika ni mwanamke mwenzangu kama ndio basi pongezi zake sana nakupenda mno, msalimie baba na watoto huko nyumbani.
mdau
Ealing Broadway, London
UK
 
Nimetokea kumpenda tu kama rafiki , msiogope mimi ni msichana mdogo tu ila nimeona mambo yanayowekwa humu yameenda shule. tafadhali mwenye profile ya huyu mtu naomba ili niwasiliane nichat naye tu kama rafiki na si vinginevyo.

Mungu awabariki nyie wote. nawapenda lakini mwenye hii blog nampenda mno ila sasa sijui ni mtu wa aina gani? ni mtoto kama mimi au mtu mzima au kijana yani naogopa mwenzenu. nisaidie nitafurahi mno. nasubiria majibu

mdau
Ealing Broadway, London
UK
 
Jamani wanajf wenzangu msinishambulie kabisa, mimi ni mwanakijiji mwenzenu nipo uingereza lakini nimemaliza masters ndio naosha macho kidogo kabla sijarudi kujiunga nanyi lakini nina mambo mawili nataka niwaambie. Nimewavutiwa mno na jamiiforum lakini mwenye hii blog ni nani ila mimi siwajui mastaa wa tanzania kwahiyo kama ana jina kubwa nitakuwa simjui lakini naomba mniambie nani mwenye hii blog. Nampenda sana ninaguess atakuwa mmama msinicheke hapa.

La pili , ni hivi watu hawataki kurudi huko kwasababu ya mkwere, mbona mmetuangusha jamani siyo tuliopo huku? Naomba majibu yaliyo makini hapa sitaki utani

wewe naona huko uliko maboksi yamekuwehua, unasema hawataki kurudi na wakati hata wewe mwenyewe hutaki kurudi? afu nyie mlioko huko ndo mtatutia kinyaa, mmekalia kuuchonga mkiwa maili laki moja ivi mnadhani nani mlimuachia hapa kazi ya kuleta mabadiliko? sasa mkimuogopa mkwere kwa kukaa huko nani atamtoa hapa nyumbani? mna mawazo mgando sana, nadhani ni aina ya elimu na maisha duni mnayoishi huko so mmekuwa waoga waoga hivi, maskini wa fikra..mnasema tumewaangusha kwa hiyo mlitutuma au?

wewe ni mwehu nambari moja, sie hatuhangaikii mabadiliko hapa ili nyie mambwiga mlio mbali mrudi, sie hapa twataka mabadiliko kwa ajili yetu wenyewe na kwa ajili ya vizazi vyetu vya baadae..nyie mloamua kukaa huko na mfie huko huko..kuhusu huo upuuzi wako wa kutaka kumjua mmiliki wa jf nadhani wahusika watakujibu, ingawa i doubt kama wana muda wa kudeal na wehu kama wewe.

unamalizia kuwa hutaki utani wakati we mwenyewe unaleta utani utani??haya potea..
 
Maneno yako ni makali sana na ambayo yanaonekana kabisa kuwa ni BIAS. Hivi miaka aliyosoma Dr Salim kulikuwepo Form VI au Middle class? Kwa wale tuliokuwepo miaka ya 80, tunamkumbuka sana kwa kuruhusu mitumba iingine nchini kwani baadhi ya watu walifikia hata kuvaa magunia. Inawezekana kabisa wewe umezaliwa miaka ya 90s

usinikumbushe mbali mzee, make hiyo ndo watu wanaita taabu ya mwana waadamu. miaka hiyo ilikuwa si miaka mizuri mzee. enzi za viatu vya mataili (enzi hizo huko kwetu tunaziita kata mbuga). magunia watu walivaa sana mzee. kwa kweli jamaa kaleta nafuu.
 
GAMBA LA NYOKA HIVI WEWE MTANZANIA KWELI??????????????????????????? HUMJUI SALIM AHMED SALIM?????????????? AU NDO YALE YALE YAKUTOKUWA MFUATILIAJI WA MAMBO???????????????/ kWA KIFUPI ALIWAHI KUWA KATIKA WA JUMUIA YA AFRIKA OAU PIA ALIWAHI KUWA WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA MUUNGANO WA TANZANIA
 
Dr. Salim Ahmed Salim NI mtu maarufu sana katika UMOJA WA NCHI ZA AFRIKA "AU".. niliwahi kukutana na officials wa AU toka eritria walikuwa wakimsifu sana huyu bwana!.. anastahiki sifa aliwakilisha nchi yetu vizuri alipokuwa nje!.
 
Back
Top Bottom