Who is Salim Ahmed Salim?

Who is Salim Ahmed Salim?

eti aliisaidia vipi TZ kile chombo ambacho kinataka haki, inaonekana mtu kama wewe ukiwa kiongozi TZ utapeleka kila kitu jimboni kwako. yeye alikuwa kiongozi kazi yake ni kuangalia maswala ya africa na sio TZ peke yake.

muulize mama mongella alivyoribu kuleta zake akazania ni TZ ambako unaweza kufanya kitu bila kuulizwa

Semilong!

All said and done! Charity begins at home!!Hapa Tanzania Salim Mohamed Salim atakumbukwa kwa kitu gani siku akienda mbele ya haki! Ninachokumbuka huyo ALIPEWA udaktari wa heshima sawa na aliopewa JMK aka Matonya kule Nairobi. Huyo Salim alfeli form six kama sikukosea na baada ya mapinduzi akawa Balozi huko Egypt period. From there amekuwa akipaa na akaanguka the same way. Hata huko Unguja hawamtaki for historical reasons!!

Wakati Marehemu Julius Kambarage Nyerere anamnadi kugombea kuwa Katibu Mkuu wa UN alipata taabu sana alipompeleka kwa RAIS wa USA alimwambia point blank kwamba USA haiwezi kumuunga mkono since he only had formal education!!!

Pamoja na kuungwa mkono na China hata Soviet Union (Warusi walimpigia kura ya miguu) kwa hiyo tatizo kubwa lake ni elimu ya kuchomekea na ameshindwa kustand alone mpaka mbeleko imechanika!!!! The end justify the means!!

Tusipoteze muda mwache ajiishie na takrima za huko Darfur na Zain!!! Hivi si ndio hao hao walioilamba TTCL kwa mlango wa Celte!! Kalakabaho!
 
Chama cha jamii kina mpango wa kumsimamisha Dr. Salim Ahmed Salim kama mgombea wao wa uraisi ili akabaliane na JK mara kama watafanikiwa kupata usajili wa kudumu. Mkongwe huyu wa siasi za ndani na nje ni mdau mkubwa wa CCJ na anatarajia kujitambulisha rasmi kwa Watanzania kabla ya uchaguzi mkuu...
 
Source?
 
Ni kweli jamaa ana CV nzuri lkn ana udini mwingi...................................................
 
Ni kweli jamaa ana CV nzuri lkn ana udini mwingi...................................................

Mbona unajichanganya? Hebu tueleze udini wake na kama umeleta adhari yoyote katika jamii ya watanzania, au ndiyo yale yale aliyojitokeza katika kampeni za CCM mwaka 2005!!!!!
 
Chama cha jamii kina mpango wa kumsimamisha Dr. Salim Ahmed Salim kama mgombea wao wa uraisi ili akabaliane na JK mara kama watafanikiwa kupata usajili wa kudumu. Mkongwe huyu wa siasi za ndani na nje ni mdau mkubwa wa CCJ na anatarajia kujitambulisha rasmi kwa Watanzania kabla ya uchaguzi mkuu...

hakuna sisi JE ? WALA nini salim is the next vice president..and for that i will give my vote to KIKWETE!!
 
Semilong!

All said and done! Charity begins at home!!Hapa Tanzania Salim Mohamed Salim atakumbukwa kwa kitu gani siku akienda mbele ya haki! Ninachokumbuka huyo ALIPEWA udaktari wa heshima sawa na aliopewa JMK aka Matonya kule Nairobi. Huyo Salim alfeli form six kama sikukosea na baada ya mapinduzi akawa Balozi huko Egypt period. From there amekuwa akipaa na akaanguka the same way. Hata huko Unguja hawamtaki for historical reasons!!

Wakati Marehemu Julius Kambarage Nyerere anamnadi kugombea kuwa Katibu Mkuu wa UN alipata taabu sana alipompeleka kwa RAIS wa USA alimwambia point blank kwamba USA haiwezi kumuunga mkono since he only had formal education!!!

Pamoja na kuungwa mkono na China hata Soviet Union (Warusi walimpigia kura ya miguu) kwa hiyo tatizo kubwa lake ni elimu ya kuchomekea na ameshindwa kustand alone mpaka mbeleko imechanika!!!! The end justify the means!!

Tusipoteze muda mwache ajiishie na takrima za huko Darfur na Zain!!! Hivi si ndio hao hao walioilamba TTCL kwa mlango wa Celte!! Kalakabaho!!!!!

"Wanamacha lakini hawaoni" Mkereme kutokana na hii post yako nadhani unachuki tu na SAS, CV yake inasema Salim ana Masters degree kutoka Philadephia USA, unawezaje kupata Masters kama umefeli form six? ni wazi kuwa alifaulu ndio maana akasoma first degree yake kule India.

Ni kweli pia kuwa Uguja hawampendi Salim, na ki kweli kuwa ni sababu za kihistoria, kama kweli unaijua vizuri historia ya Zanzibar unguja hawampendi Salim kwa vile tu ni Mpemba na anahusishwa na chama kilichokuwa kiiipinga ASP chama cha HIZBU!

Kwa taarifa yako Julius Nyerere hakumbeba Salim kama unavyofikiria, Salim alijipambanua mwenyewe kuwa ni moja ya wazinzibar bora kabisa kama walivyokuwa Abrahaman Babu na Kassim Hanga, ndio maana Mwalimu alicteuwa kuwa balozio kule Misri akiwa bado kijana mdogo tu wa miaka 32! Ukubali au ukatae kwa umri huu mwalimu Kumuamiani ni wazi kuwa alikuwa bora, JK ( muungwana) alikuwa na miaka 45 alipoomba kugombea Urais kwa mara ya kwanza lakini mwalimu alimkataa na kujenga hoja kuwa bado hajakomaa! hebu fikiri miaka 45 mwalimu anasema mtu hajakomaa lakini kwa salim miaka 32 aliona amekomaa, unawezaje sema mtu huyu alibebwa?

Ni kweli pia USA walipiga kura ya veto kumkataa wakati anagombea ukatibu wa UN, lakini siop kwa sababu ya elimu yake ila ni sababu ya itikadi zao USA, kipindi kile kulikuwa bado kuna vita baridi kati ya USA na the then USSR, na USA walimuona Salim kuwa ni Mkomonisti ndio maana walipiga kura ya veto, na kama unakumbukumbu zuri hata muwakilishi wa USA kabal ya kupiga kura ya veto alisema...." mimi binafsi nakupenda sana na kukuheshimu, lakini nchi yangu haipendi uwe katibu mkuu..." ( tafsiri ni yangu)

So Mkereme acha kuzusha tu humu ndani wewe kama unachuki binafsi na SAS useme tu!
 
"Wanamacha lakini hawaoni" Mkereme kutokana na hii post yako nadhani unachuki tu na SAS, CV yake inasema Salim ana Masters degree kutoka Philadephia USA, unawezaje kupata Masters kama umefeli form six? ni wazi kuwa alifaulu ndio maana akasoma first degree yake kule India. Ni kweli pia kuwa Uguja hawampendi Salim, na ki kweli kuwa ni sababu za kihistoria, kama kweli unaijua vizuri historia ya Zanzibar unguja hawampendi Salim kwa vile tu ni Mpemba na anahusishwa na chama kilichokuwa kiiipinga ASP chama cha HIZBU! Kwa taarifa yako Julius Nyerere hakumbeba Salim kama unavyofikiria, Salim alijipambanua mwenyewe kuwa ni moja ya wazinzibar bora kabisa kama walivyokuwa Abrahaman Babu na Kassim Hanga, ndio maana Mwalimu alicteuwa kuwa balozio kule Misri akiwa bado kijana mdogo tu wa miaka 32! Ukubali au ukatae kwa umri huu mwalimu Kumuamiani ni wazi kuwa alikuwa bora, JK ( muungwana) alikuwa na miaka 45 alipoomba kugombea Urais kwa mara ya kwanza lakini mwalimu alimkataa na kujenga hoja kuwa bado hajakomaa! hebu fikiri miaka 45 mwalimu anasema mtu hajakomaa lakini kwa salim miaka 32 aliona amekomaa, unawezaje sema mtu huyu alibebwa? Ni kweli pia USA walipiga kura ya veto kumkataa wakati anagombea ukatibu wa UN, lakini siop kwa sababu ya elimu yake ila ni sababu ya itikadi zao USA, kipindi kile kulikuwa bado kuna vita baridi kati ya USA na the then USSR, na USA walimuona Salim kuwa ni Mkomonisti ndio maana walipiga kura ya veto, na kama unakumbukumbu zuri hata muwakilishi wa USA kabal ya kupiga kura ya veto alisema...." mimi binafsi nakupenda sana na kukuheshimu, lakini nchi yangu haipendi uwe katibu mkuu..." ( tafsiri ni yangu)! So Mkereme acha kuzusha tu humu ndani wewe kama unachuki binafsi na SAS useme tu!

Umenisaidia kuchambua binafsi Salim namkubali na mtu anauzalendo na sio viongozi wengine Tanzania. Wasiwasi wangu akiteuliwa na JK wataendana?? ndio swali naomba wadau mnijibu kama mmesikia hotuba zake na rekodi na itikadi zake sidhani kama wataendana na JK sijui lakini huwezi jua....
 
Chama cha jamii kina mpango wa kumsimamisha Dr. Salim Ahmed Salim kama mgombea wao wa uraisi ili akabaliane na JK mara kama watafanikiwa kupata usajili wa kudumu. Mkongwe huyu wa siasi za ndani na nje ni mdau mkubwa wa CCJ na anatarajia kujitambulisha rasmi kwa Watanzania kabla ya uchaguzi mkuu...

Sema source mzee kama ni kweli inabidi mzee huyu achukue risks za kimahesabu asikurupuke tu kama mrema atamalizwa maana alijeruhiwa sana na uhizbu NEC. Ila sie tupo popote akisimama tutampa kura. Ingelikuwa imepitishwa mgombea binafsi huyu jamaa angeliadhiri CCM vibaya sana!!!!
 
huyu jamaa ndo alitoa wazo la watu kuvaa mitumba

na mitumba ndo ilianza kuletwa nchini

mi namkumbuka kwa hili
 
hayo tu!!!!...........for waht then????....amekutuma umpambe ili asikie maoni yetu na baadae agombee urais ????
 
Semilong!

All said and done! Charity begins at home!!Hapa Tanzania Salim Mohamed Salim atakumbukwa kwa kitu gani siku akienda mbele ya haki! Ninachokumbuka huyo ALIPEWA udaktari wa heshima sawa na aliopewa JMK aka Matonya kule Nairobi. Huyo Salim alfeli form six kama sikukosea na baada ya mapinduzi akawa Balozi huko Egypt period. From there amekuwa akipaa na akaanguka the same way. Hata huko Unguja hawamtaki for historical reasons!!

Wakati Marehemu Julius Kambarage Nyerere anamnadi kugombea kuwa Katibu Mkuu wa UN alipata taabu sana alipompeleka kwa RAIS wa USA alimwambia point blank kwamba USA haiwezi kumuunga mkono since he only had formal education!!!

Pamoja na kuungwa mkono na China hata Soviet Union (Warusi walimpigia kura ya miguu) kwa hiyo tatizo kubwa lake ni elimu ya kuchomekea na ameshindwa kustand alone mpaka mbeleko imechanika!!!! The end justify the means!!

Tusipoteze muda mwache ajiishie na takrima za huko Darfur na Zain!!! Hivi si ndio hao hao walioilamba TTCL kwa mlango wa Celte!! Kalakabaho!!!!!

Wewe Mkereme samahani ni vibaya mtu mzima kuitwa muongo lakini wewe ndiye hasa. Kama hujui historia ya mtu sio lazima uchangie uongo ilimradi umechangia tu.

Huyu Dr. Salim hajawahi kupendelewa na Kambarage wala kuwa amefeli form six. Alifanya bidii ya kujisomesha mwenyewe degree hizo wakati alipokuwa Balozi licha ya kuwa na shughuli nyingi za ofisi katika kipindi kile kigumu cha "Mashariki" na "Magharibi".

Baadhi yenu ni udini tu ndio unawasumbua hata munashindwa kuona yale mtu aliyofanya katika nchi hii.
 
Umenisaidia kuchambua binafsi Salim namkubali na mtu anauzalendo na sio viongozi wengine Tanzania. Wasiwasi wangu akiteuliwa na JK wataendana?? ndio swali naomba wadau mnijibu kama mmesikia hotuba zake na rekodi na itikadi zake sidhani kama wataendana na JK sijui lakini huwezi jua....

Mkereme, sema usemalo na ujualo; Salim ni kati ya viongozi wasafi nchi hii imebakiza! I am skeptical kama atakubali nafasi ya u-VP katika serikali hii iliyojaa uozo.
 
Mkereme, sema usemalo na ujualo; Salim ni kati ya viongozi wasafi nchi hii imebakiza! I am skeptical kama atakubali nafasi ya u-VP katika serikali hii iliyojaa uozo.

Hebu turejee hotuba ya Steve Jobs "Jinsi ya Kuishi Kabla Hujafa". Walio na wasiwasi na elimu ya Dr Salim wajionee hiyo video na wasome maoni mbalimbali ya wadau yanayoandamana na hotuba hii.

Mimi binafsi nina shahada 4 za chuo kikuu na natafuta ya 5 lakini naamini katika maneno ya huyu jamaa.
 
Kikwete hatothubutu kumteua mtu ambaye anaweza kumpiku umaarufu/kumfunika ili awe makamu wake.Salim ndiye ataonekana Rais na Kikwete Msaidizi wake. Kingine mtandao wanafanya juu chini hiyo nafasi asipewe mtu ambaye ni ambitious/influential anayeweza kuwa potential runner come 2015. Hivyo nafasi ya Salim kuteuliwa uVP ni finyu sana.

Nadhani Salim anaijutia offer ya Mkapa ya uVP, nafasi ambayo ingemuweka pazuri sana kuidhibiti mizengwe ya mtandao na hivyo kuwa Rais 2005.
 
....salim Ahmed Salim Is The Best Presidential Material We Have Ever Losed....basi Tu 2005...tulijitahidi Kuwaelimisha Watu ....but Utafikiri Walipitiwa Na "baby..mla Vichwa"...basi Tena..nafasi Imepotea...,

Mkapa Pia Alchangia Kumuaharibia Baada Ya Kuzidiwa Nguvu Na Mtandao....

To Me Salim Is A Definate Choice!!!
Nilisikitika sana na ulimbukeni wa Wa-Tanzania kumkataa Salim 2005. Ni kweli kabisa Mkapa bila haya alimpapalia Kikwete na kumponda Salim ki waziwazi kwa hakika hakumtendea haki.

Kuna jamaa yangu mmoja wa alipata kuniambia jinsi Mkapa alivyokuwa akimchukia Salim since alipokuwa balozi foreign affairs on the past. Na niliamini pale alivyoponda pale Kizota.
 
Back
Top Bottom