Who is Shivji mpaka asikosolewe?

Who is Shivji mpaka asikosolewe?

Mzingira ya Sasa hayaruhusu hata kama una mawazo makubwa sana hupati room ya kuandika hizo journal mana ushindani ni mkubwa sana. Kipindi hicho ushindani haukuwepo ndo mana hata ukipata div four Bado ulikuwa unaweza kupata kazi ya ualimu. Lecturers wengi wamefunga unga na kwa maana hiyo ni sub standard.
Mzingira wa sasa unaweza kuandika kila kitu na Chatgbt - wewe bado unaona mambo magumu. Sana nani anakuwa "spoon fed "
 
Hiyo akili yako mbon huitumii kujenga hoja??? unakuja na personal attack??

HIZO NI AKILI ZA KUVUKIA BARABARA TU
Tatizo, "Chuki humchoma anaeihifadhi".

Ujinga umekithiri sana kwa huyo pungasese mtoa mada... YUVISISIEMU wa Nyakato. (Mbuzi wa kafara).

akawaulize ma-senior wa chama chake kuhusu Shivji .

Mpe mtu heshima yake anayostahili.

Hata kama ingekuwa ni kweli maybe Shivji kakosea.. Ndio umvue heshima yake alioijenga kwa miaka dahari Afrika na nje ya Afrika.
 
Heshima ya mtu Huwa inatoweka ndani ya sekunde tu akiongea pumba kama alivyongea na kujishia heshima yeye mwenyewe
 
Mi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.

Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to jk Nyerere.

Kama ana akili kweli ashindanishwe na kabudi au lipumba.
Hoja zake hazijajibiwa bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna aliyesema asikosolewe ?

Labda ungejiuliza hawa Walamba Asali ni kina Nani mpaka wasikosolewe ? Kila mtu ana haki ya Kukosoa na Tukijikita kwenye Hoja na sio Mtu nadhani tutapunguza time wastage
 
Maprofessa wa Bongo Lipumba,Kabudi,Shivji ni Maprofessa "Bahasha" wasikupe tabu.
 
Mi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.

Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to jk Nyerere.

Kama ana akili kweli ashindanishwe na kabudi au lipumba.
Matko yapo kazini
 
Zaidi ya kujificha kwenye key board umewahi kusimama kwenye symposium/ se.minar/ workshop/ mdahalo upi ukatoa hoja kama Shivji?
Huna hata uwezo wa kusoma paper ya Shivji ukaielewa halqfj eti unadiriki kujilinganisha na Shivji. Unafikiri uprofesa unatolewa kama njugu.
 
Hatuwezi kusomama wote kwenye podium Kuna mgawanyo wa kazi. Hvi ndivyo nature ilivyo. Kuna watu tumeumbwa ki kazi zaidi ya blabla kama za shivji
 
Mi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.

Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to jk Nyerere.

Kama ana akili kweli ashindanishwe na kabudi au lipumba.
Unalinganisha ufaulu wa enzi ya kina Shivji na sasa? Mitihani enzi hizo A inaanzia 100%-81% miaka yenu sasa A inaanzia 100%-75%. Na unaruhusiwa kutumia calculator.
Ukikosa cha kusema kwa heshima kubwa, nyamaza.
Huyu Prof. Shivji alipoingia bungeni kuikosoa katiba ya Warioba, ccm mlishangilia sana na alitukanwa sana na hakuwahi kumjibu yeyote. Na hii ndio sifa ya mwanazuoni. Mtasema sana na mtatukana sana yeye keshasema.
Ajabu wanaokosoa huo mkataba ni wengi sana, wanasheria, tena wengine wamewahi kuwa mawaziri wakubwa waandamizi,mfano Mzee Warioba na Tibaijuka, lakini Prof. Shivji ndo unamwandama. Mbona mlimsikiliza kwenye bunge la katiba!!
 
Shida ni ulaji ulikuwa bandarini. Kila mtu anajaribu kutupa kete kuokoa ulaji wa eashkaji zake ambao naye analikuwa mnufaika sana. Usione wanaukosoa siyo kwa fikra zao Bali kitetea ugali mana bandari ndo ilikuwa source ya utajiri wa watu wengi kama Hao Hao mawaziri, wanasheria nk. Sasa unafikiri shivjji kutumika hata kama anajua mkataba upo ok utashangaa? Hili suala ni gumu siyo rahisi kama unavyofikiria. Tibaijuka inajulikana ameumia sana TICTs ya mshikaji wake karamagi kupokonywa mana alifikia hatua bil 20 anaiiita pesa ya mboga tu
 
Wanasiasa wamewaharibu vijana sana, eti mtaalamu wa sheria Tanzania, anayeheshimika kimataifa, visiting lecturers to the most reputable universities around the world, aliyeandika maandiko (researchable papers) unakuja kumpinga kwa siasa za DPW
Kuwaridhisha watu wote ni impossible hata uwe Genius kiasi gani. Mimi sijaona namna yeyote ya kumwita Shivj kiazi
 
shida mfalme kasha kula chake, nasikia jamaa walishalipa dau na haliko kwenye maandiko yoyote zipo kwenye account za watu, kwa vyovyote vile lazima mzigo apewe.

Mabosi wako wanamjua shivji, hao wanasheria wote waliosoma mlimani, including kabudi, mwanasheria mkuu, katibu mkuu wa wizara, walishafunga mjadala mwalimu wao (guru in law) kashaongea. sasa wewe uliyesoma uandishi wa habari kwenye vyuo vya mkabara na sheli za buguruni kumkosoa shivji tafuta wanaoendana na wewe,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida ni ulaji ulikuwa bandarini. Kila mtu anajaribu kutupa kete kuokoa ulaji wa eashkaji zake ambao naye analikuwa mnufaika sana. Usione wanaukosoa siyo kwa fikra zao Bali kitetea ugali mana bandari ndo ilikuwa source ya utajiri wa watu wengi kama Hao Hao mawaziri, wanasheria nk. Sasa unafikiri shivjji kutumika hata kama anajua mkataba upo ok utashangaa? Hili suala ni gumu siyo rahisi kama unavyofikiria. Tibaijuka inajulikana ameumia sana TICTs ya mshikaji wake karamagi kupokonywa mana alifikia hatua bil 20 anaiiita pesa ya mboga tu
Sawa sababu inaweza kua hiyo ila haimaanishi yeye ni kilaza D
 
Issa G Shivji unamjua kweli ama unaropokwa?
Kaangalie maandiko ya thesis na research zake uje uongelee. Mparofesa wengi sana wanamuheshimu na kumuogopa. Haya niambie wewe ambaye hujatoka kwenye spoon-feeding mpaka sasa una journal ngapi zenye kutumika kama reference.
Angejua asingemsema kwa style hii. Shivji amefanya theory formulation. We hapo hata kutiririka derivational methods labda huwezi. Huyo mzee msemeni kwa mengine meengi lakini siyo academic issues yupo vizuri.
 
Wewe pingana na hoja zake kwa kuweka hoja zako. Hao unaodhani washindanishwe naye, yy kawafundisha.

Usimshambulie yy kama mtu. Anayo haki ya kutetea nchi yake kama ilivyo kwa wewe unaye ongea ugoro hapa, hata neno kariri unaandika kalili kisa umerushiwa laki mbili ili umtukane.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom