Who is Shivji mpaka asikosolewe?

Who is Shivji mpaka asikosolewe?

Issa G Shivji unamjua kweli ama unaropokwa?
Kaangalie maandiko ya thesis na research zake uje uongelee. Mparofesa wengi sana wanamuheshimu na kumuogopa. Haya niambie wewe ambaye hujatoka kwenye spoon-feeding mpaka sasa una journal ngapi zenye kutumika kama reference.
POINT😉
Haya mkuu tunasubiri jibu kutoka kwako
 
Unafikiri alipotunukiwa PhD ya heshima na Chuo Kikuu cha London hiyo ilikuwa spoon feeding?
Alipoalikwa kufundisha katika vyuo vikuu vya South Africa, UK, India, Mexico, Canada etc hiyo ni spoon feeding?
Acha kuropoka mkuu
 
Mimi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.

Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to JK Nyerere.

Kama ana akili kweli ashindanishwe na Kabudi au Lipumba.

Mwizi si mpaka athibitishwe? Nani anamuibia nani?
 
Back
Top Bottom