Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee nawe jaribu kuficha ujinga wako... umejaribu kumsikiliza Lipumba??? Sasa kabudi na shivji wanautofauti gn??? Umeandika kana boon kwamba umeinamishwa.. pumbavu zakoMimi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.
Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to JK Nyerere.
Kama ana akili kweli ashindanishwe na Kabudi au Lipumba.
Being intelligence doesn't matter but how your intelligence guide your attitude matters a lot.Mimi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.
Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to JK Nyerere.
Kama ana akili kweli ashindanishwe na Kabudi au Lipumba.
Wewe jamaa ni kilazaHeshima ya mtu Huwa inatoweka ndani ya sekunde tu akiongea pumba kama alivyongea na kujishia heshima yeye mwenyewe
Lipumba ama kabudi walisoma enzi gani mama?Mimi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.
Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to JK Nyerere.
Kama ana akili kweli ashindanishwe na Kabudi au Lipumba.
Hakuna Maendeleo bila kutoa jasho! Watanzania lazima tujitahidi tujiendeleza sisi wenyewe. "Eti bandarini kuna walaji "- Mamlaka inatakiwa iwashughulikie hawa mchwa ipasavyo. Kuwaleta Wageni ili kuzuia mianya ya ulaji ni kukubali kushindwa, na kutafuta njia nyepesi bila kushughulikia kiini cha tatizo. Hawa wageni wakichezea rasilimali zetu kwa kutumia ujanja wa kalamu ni sawa tu - faida itakuja baada ya miaka michache.Shida ni ulaji ulikuwa bandarini. Kila mtu anajaribu kutupa kete kuokoa ulaji wa eashkaji zake ambao naye analikuwa mnufaika sana. Usione wanaukosoa siyo kwa fikra zao Bali kitetea ugali mana bandari ndo ilikuwa source ya utajiri wa watu wengi kama Hao Hao mawaziri, wanasheria nk. Sasa unafikiri shivjji kutumika hata kama anajua mkataba upo ok utashangaa? Hili suala ni gumu siyo rahisi kama unavyofikiria. Tibaijuka inajulikana ameumia sana TICTs ya mshikaji wake karamagi kupokonywa mana alifikia hatua bil 20 anaiiita pesa ya mboga tu
Wewe huamni katika uwekezaji? Nchi Gani imeshaendelea bila uwekezaji. Marekani wenyewe wanazunguka nchi zote kutafuta wawekezaji na nchi ndo mwekezaji mkubwa marekani. Tatizo lenu ni elimu tu ndo hamna ndo mana hamjua umnachoongeleaHakuna Maendeleo bila kutoa jasho! Watanzania lazima tujitahidi tujiendeleza sisi wenyewe. "Eti bandarini kuna walaji "- Mamlaka inatakiwa iwashughulikie hawa mchwa ipasavyo. Kuwaleta Wageni ili kuzuia mianya ya ulaji ni kukubali kushindwa, na kutafuta njia nyepesi bila kushughulikia kiini cha tatizo. Hawa wageni wakichezea rasilimali zetu kwa kutumia ujanja wa kalamu ni sawa tu - faida itakuja baada ya miaka michache.
Shivji yupo sahihi.Mi siyo mwanasherea Wala wewe siyo mwanasheria. Hivyo sidhani kama tulielewa wote in these laymen's know how
hao wenyewe DPW (waarabu wa dubai) kwa mujibu wa ibara ya 7 ya katiba ya nchi za falme za kiarabu, 1996 dini yao ni Islamic, na sheria zao zitumikazo ni Sheria za kiislamu (sharia), lakini mkataba wameandika kwa elimu ya kimagharibi ( western education)
Ndio maana tunasoma kwa sheria zinazotambulika kama ulivyo mkataba huo
Aibu nimeiona mimi kwa ukinga uliouandika,Mimi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.
Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to JK Nyerere.
Kama ana akili kweli ashindanishwe na Kabudi au Lipumba.
Ukweli kabisa.Issa G Shivji unamjua kweli ama unaropokwa?
Kaangalie maandiko ya thesis na research zake uje uongelee. Mparofesa wengi sana wanamuheshimu na kumuogopa. Haya niambie wewe ambaye hujatoka kwenye spoon-feeding mpaka sasa una journal ngapi zenye kutumika kama reference.
Nyie watoto hajui hii Tanzania imetoka wapi. Hajui kuwa miaka hiyo kweingia Chuo ilivyokuwa deal. Hivi unajua ni wanafunzi wangapi walikuwa anaingia Chuo Kikuu kwa mwaka. Au ni wanafunzi wangapi walikuwa anaingia form One au form six!?Mzingira ya Sasa hayaruhusu hata kama una mawazo makubwa sana hupati room ya kuandika hizo journal mana ushindani ni mkubwa sana. Kipindi hicho ushindani haukuwepo ndo mana hata ukipata div four Bado ulikuwa unaweza kupata kazi ya ualimu. Lecturers wengi wamefunga unga na kwa maana hiyo ni sub standard.
Mimi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.
Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to JK Nyerere.
Kama ana akili kweli ashindanishwe na Kabudi au Lipumba.
Nimekupenda sana usimamizi unatakiwa na sisi wenyewe na siyo mtu kutoka mbali kuja kutuibia kwa kisingizio cha uwekezaji.Hakuna Maendeleo bila kutoa jasho! Watanzania lazima tujitahidi tujiendeleza sisi wenyewe. "Eti bandarini kuna walaji "- Mamlaka inatakiwa iwashughulikie hawa mchwa ipasavyo. Kuwaleta Wageni ili kuzuia mianya ya ulaji ni kukubali kushindwa, na kutafuta njia nyepesi bila kushughulikia kiini cha tatizo. Hawa wageni wakichezea rasilimali zetu kwa kutumia ujanja wa kalamu ni sawa tu - faida itakuja baada ya miaka michache.
Wewe mwenye elimu umefanya nini zaidi ya kutamani kuolewa na Waarabu.Wewe huamni katika uwekezaji? Nchi Gani imeshaendelea bila uwekezaji. Marekani wenyewe wanazunguka nchi zote kutafuta wawekezaji na nchi ndo mwekezaji mkubwa marekani. Tatizo lenu ni elimu tu ndo hamna ndo mana hamjua umnachoongelea
Wewe unaona sawa watu waliopewa dhamana kukiri kwamba walaji pale bandarini wamewashinda? Sasa kama umeshindwa kumdhibiti raia wako, utaweza kuwadhibiti raia wa kigeni ? Limbukeni wengi wa Elimu wana tatizo - la kukariri mambo/masomo . Wamekarilishwa neno muwekezaji - wanaona faida tu! Tusipende kujiringanisha na nchi kongwe zenye historia ya zaidi ya miaka 200. Sisi tuna miaka 61 tu ya uhuru - bado ni wachanga kwenye nyanja za kimataifa. Tunawezwa danganywa wakati macho yamefunguka. Kutoa maoni ni haki ya msomi na asiyesoma.Wewe huamni katika uwekezaji? Nchi Gani imeshaendelea bila uwekezaji. Marekani wenyewe wanazunguka nchi zote kutafuta wawekezaji na nchi ndo mwekezaji mkubwa marekani. Tatizo lenu ni elimu tu ndo hamna ndo mana hamjua umnachoongelea
Wewe unaona sawa watu waliopewa dhamana kukiri kwamba walaji pale bandarini wamewashinda? Sasa kama umeshindwa kumdhibiti raia wako, utaweza kuwadhibiti raia wa kigeni ? Limbukeni wengi wa Elimu wana tatizo - la kukariri mambo/masomo . Wamekarilishwa neno muwekezaji - wanaona faida tu! Tusipende kujiringanisha na nchi kongwe zenye historia ya zaidi ya miaka 200. Sisi tuna miaka 61 tu ya uhuru - bado ni wachanga kwenye nyanja za kimataifa. Tunawezwa danganywa wakati macho yamefunguka. Kutoa maoni ni haki ya msomi na asiyesoma.