Who is Shivji mpaka asikosolewe?

Kwamba spoonfeeding wakati wa Nyerere?
Asee sidhani akili yako inatosha hata kuchambia!
Kajiangalie nguo za ndani sio safi
 
Uko kwenye hoja kweli.Hoja hujibiwa kwa hoja.Jibu vipengele vinavyo bishaniwa.siyo kuleta vijembe hapa.Alisoma Wakati wa Nyerere au mkoloni siyo Issue.Tunajadili mkata wa kuingiza nchi Chaka kama vile wote ni mbumbumbu
 
Amini akili zako usisafilie nyota za watu. Hawa wameshaiba sana kupitia bandari na wanastrugle ulaji wao usipotee. Jitambue dogo
Mkuu
Mimi sifahamu nimeona profesa wa sheria na wanasheria wengi wakiongelea mkataba una tatizo na wakitoa hoja hizo kutoka kwenye mkataba huo

sasa nimeomba wajuzi waseme je profesa shivj na wengine wanajitungia nilihitaji mtu atakayepangua hoja zao kama wao walivyoleta hoja

Hoja siyo kuiba nilihitaji unisaidie kupangua hoja zao
 
Umetumia kilevi Gani?

Yaani Kabudi na Lipumba washindanishwe na Shivji ambaye ni Mwalimu wao?

HOJA ya Bandari ni kubwa, mmeiingia bila fikra.
 
Mbona wanasheria wengi wa Serikali wanazipangua daily. Hata mwanasheria wa bandari amezingua Jana unless kama hutaki kumsikiliza kwa sababu zako tu
 
Mbona wanasheria wengi wa Serikali wanazipangua daily. Hata mwanasheria wa bandari amezingua Jana unless kama hutaki kumsikiliza kwa sababu zako tu
Mkuu naomba unitajie mwanasheria aliyezipangua niende nikaangalie mwenyewe kwa mda wangu
Nisaidie mkuu nijifunze
 
Umetumia kilevi Gani?

Yaani Kabudi na Lipumba washindanishwe na Shivji ambaye ni Mwalimu wao?

HOJA ya Bandari njia kubwa, mmeiingia bila fikra.
Kila siku mbona hoja za shivji zinapunguliwa moja baada ya nyingine na kumuonesha how kilaza he is!!
Umetumia kilevi Gani?

Yaani Kabudi na Lipumba washindanishwe na Shivji ambaye ni Mwalimu wao?

HOJA ya Bandari njia kubwa, mmeiingia bila fikra.
 
Mkuu naomba unitajie mwanasheria aliyezipangua niende nikaangalie mwenyewe kwa mda wangu
Nisaidie mkuu nijifunze
Nenda you tube angalia mwanasheria wa bandari Jana alichoongea pia ingia club house ya msigwa uangalie jinsi wanasheria wa serikali walivyoichambua
 
Huwezi kumuelewa kwa sababu uelew wako ni mdogo au wakati unamsikiliza tayari una conclusions zako.
Kajibiwa hapo chini kuhusu IGA, HGA alivyoongelea diplomasia pia hawazungumzi muungano kama unayo nyingine nisaidie mkuu mm nataka nisikilize kote kote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…