Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Usilete mambo ya Argentina maana tatizo sio messi bali ni Argentina.Wameuliza nani ni ronaldo bora,kati ya hao watatu,mnaleta habari ya messi... Huyo kirikuu aende inter milan au hata man city tuone atakuwaje,ujanja wote unaishia barca,mbona akiwa argentina anapuyanga tu?!!. Anyway turejee kwenye mada.
Gaucho- ni mchezaji wa kipekee sana linapokuja suala la soka la burudani,ana vitu vya ajabu kuwahi kuviona kwa wengine.hakudumu kwenye soka . nampa 90%
De lima- alikuwa mzuri sana kwa nafasi yake,asilimia kubwa alicheza kwenye namba yake (9) mara chache sana akitokea pembeni kulingana na mfumo wa mechi husika, nae hakudumu sana,(majeruhi) nampa 85%
Cristiano. Huyu ana kipaji cha kawaida lakini anafanyia juhudi sana uwanjani ,wapo cristiano wawili ,yupo yule wa manchester united kinda kutoka sporting cp,mshike mshike mshike wake si wa kitoto. Yupo wa madrid na juventus,kutokana na umri kwenda amebadili staili ya uchezaji ,kutoka kukimbiza mpaka kuwa finisher,kwakweli anatenda haki,amedumu kwenye ubora kwa zaidi ya miaka kumi na bado mpaka sasa yupo atakuwepo kati ya wachezaji bora watatu wa dunia mwaka huu.nampa 95%
Hitimisho. Cristiano ndiye ronaldo bora kati ya hao ronaldo watatu.
Kwahiyo usimdhihaki messi ilhali yeye ndiye anaongoza kwa magoli Pale Argentina na yeye ndiye kaibeba sana mpk kuingia international tournament labda uwe unafatilia mpira juzi.
TURUDI KTK MADA.
Kiukweli Ronaldinho ni zaidi ya hao waliobakia.
Nisiongee sana nadhan unakumbuka how Skillfull he is na mafanikio aliyoipatia team yake ya Taifa kombe la dunia,kombe la mabara,
Copa america n.k n.k.
Ronaldinho he is a beast nimemiss zile skills zake aisee.