Who is the best Ronaldo?

Usilete mambo ya Argentina maana tatizo sio messi bali ni Argentina.
Kwahiyo usimdhihaki messi ilhali yeye ndiye anaongoza kwa magoli Pale Argentina na yeye ndiye kaibeba sana mpk kuingia international tournament labda uwe unafatilia mpira juzi.

TURUDI KTK MADA.
Kiukweli Ronaldinho ni zaidi ya hao waliobakia.
Nisiongee sana nadhan unakumbuka how Skillfull he is na mafanikio aliyoipatia team yake ya Taifa kombe la dunia,kombe la mabara,
Copa america n.k n.k.
Ronaldinho he is a beast nimemiss zile skills zake aisee.
 
Sijaanza kungalia mpira juzi aisee,mimi nimeanza kuangalia mpira world cup 1994 mpaka leo,nimeshuhudia wachezaji bora wengi,gaucho alikuwa wa kipekee lakini hakudumu,mtu anakuwa bora misimu mitatu halafu awe most ofall time!!?. How come...!!?
 
Sawa ila je ktk hiyo misimu mitatu ana mafanikio gani mkuuu???
 
Sawa ila je ktk hiyo misimu mitatu ana mafanikio gani mkuuu???
Rudi kwenye swali husika, wameuliza yupi bora kiufundi kati ya hao ronaldo watatu,hata kama ..kwa mafanikio kitimu na tuzo binafsi bado cristiano anawazidi mbali..
 
Rudi kwenye swali husika, wameuliza yupi bora kiufundi kati ya hao ronaldo watatu,hata kama ..kwa mafanikio kitimu na tuzo binafsi bado cristiano anawazidi mbali..
Mkuu Gaucho ni legendary aisee.
Simpingi Cr7 lakin kumfananisha na Gaucho ni kosa.
 
aisee DE LIMA anastahili heshima dhidi ya hao wote..... ILIBIDI GAUCHO AITWE RONALDINHO(ronaldo mdogo) KWA KUMUHESHIMU HUYO JAMAA DE LIMA.
 
Kumbe Gaucho alikuwa striker?
Sasa alikuwa kiungo mshambuliaji,but kwa staili ya soka yake ilikuwa ni hatari popote alipo,kushoto,kulia,katikati,kushambulia si ni namna unaisukuma timu kuelekea timu pinzani, he was key player of it. Au mimi sielewi hapa?
 
Tunaongelea kina ronaldo aiseee,mkileta mambo ya zidane ni kama ( mnafeli mtiahani)

Hao walioko juu ni wachumba kwa Zinedine zizo. Labda Cr7 wanaweza kuringana. Fainali ya 98 aliwafanya wake zake kanzu nyingi, chenga ndo usiseme. Ustazi atabakia kuwa ustazi tu hao makuffaar wa brazili wakasome.
 
We nae...!!
 
Kwa show game uwanjani kwa kweli mpaka leo sijaona kama gaucho sio messi wala cr7 anamkaribia ila ni vile tu alipendelea sana chini kuliko carrier yake, ukija kwenye mafanikio na kudumu kwenye ubora kwa muda mrefu basi hao wote hawajamfikia CR7!!
Alkua natafta hela ale chini mzee [emoji28][emoji28]

Kama mlipenda career yake fresh
Kasema niwape hi

Hafu mwache kumdiscuss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…