Who is the best Ronaldo?

Alkua natafta hela ale chini mzee [emoji28][emoji28]

Kama mlipenda career yake fresh
Kasema niwape hi

Hafu mwache kumdiscuss
Kweli kabisa kiongozi maana naskia jamaa kajiolewa mabinti wawili anaishi nao[emoji23][emoji23]. Ila kiukweli tumeumiss mpira kama wa dinho!
 
Ndo kitu nilichotaka kuandika mkuu sema umeniwahi,,CR7 kadumu sana kwenye game kwa uwezo mkubwa,ukiangalia ata timu alizopita zote kazisaidia pakubwa sana ingawa kaenda Juve umri umemtupa ila bado anaokana kabisa anavo'fightBuenosAires, post: 32288561, member: 346308
 
Ronaldinho ni Ronaldo pia, Maana ya Ronaldinho anamaanisha ronaldo mdogo, alipewa jina hilo ili kumpisha De lima pale katika timu ya taifa ya brazil apewe heshima yake, yeye akaamua kujiita ronaldo mdogo
Anaitwa Ronaldo De Asis Moreira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…