Who is the greatest villain of all time ( Yupi ni Adui yako pendwa wa muda wote katika movie zote ulizowahi kuziona)

Hiyo ya kibongo sijaiona. Ila hiyo prey nimeicheki zipo kama 3 hivi. Nadhani nilikua darasa la saba 20....
Kuna muvi ilichezewa Burundi inaitwa Gustavo kama sijasahau ya mamba. Umeiona?
 
Hiyo ya kibongo sijaiona. Ila hiyo prey nimeicheki zipo kama 3 hivi. Nadhani nilikua darasa la saba 20....
Kuna muvi ilichezewa Burundi inaitwa Gustavo kama sijasahau ya mamba. Umeiona?
Inaitwa PRIMEVAL kama sikosei ila mamba ndio anaitwa GUSTAVO na imechezewa ziwa Tanganyika.Star wake yule kaka wa michael kwenye PB!.
si ndio hiyo ulikuwa unaimaanisha?.
 
Inaitwa PRIMEVAL kama sikosei ila mamba ndio anaitwa GUSTAVO na imechezewa ziwa Tanganyika.Star wake yule kaka wa michael kwenye PB!.
si ndio hiyo ulikuwa unaimaanisha?.
Hiyo hiyo. Hii na anaconda vilinifanye niogope kwenda kuoga bwawani nilipokua mdogo.
Afu nikaonaga kipindi cha nyoka wa maji kwenye Nat Geo ndio nikaacha kabisa kuogelea
 
Hiyo hiyo. Hii na anaconda vilinifanye niogope kwenda kuoga bwawani nilipokua mdogo.
Afu nikaonaga kipindi cha nyoka wa maji kwenye Nat Geo ndio nikaacha kabisa kuogelea
Kuna movie fulani hv sikumbuki jina lakini ni ya mamba hv kuna scene fulani hv mwana anakimbizwa na mamba anafanikiwa kumkwepa alafu anamtukana kwa middle finger mamba anaruka anamchukua mzima mzima anaacha kiatu tu mwana 😂😂😂
 
Jambazi Seba staa J plus . Kuna shamba ndogo na Shamba kubwa kitambo niliona miaka 99 nilicheki
 
You know who...

The one who's name can not be mentioned...

When you mention that name you get cursed...

Lord Voldemort...

I wish huyu jamaa ataseke sana...

Cc: mahondaw
Nilitaka kushangaa hakuna mtu anayemkubali huyu mzee hatimaye umetokea shabiki wake
 
Attachments

  • 2234745_images.jpeg
    14 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…